Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.
Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara.
Sasa basi suluhisho ni nini?
Serikali iamue, kama kweli inataka kuondoa tatizo la msongamano wa...
ajali
bandari
bandari kavu
barabarani
basi
chanzo
chanzo cha ajali
iko
kutatua
malori
mfumo
mikoani
msongamano
muendelezo
nchini
nyingi
reli
serikali
serious
suluhisho
uwepo
wazi
Yaani unataka mtu awe na degree, experience ya miaka kibao, skills za kutosha, afanye kazi under pressure, lakini kwenye mshahara unaweka kimya
Boss, unatafuta mfanyakazi au unatafuta mtu wa kujitolea? Kama ni siri sema!
Wekeni hata salary range basi, watu wajipime kabla hawajapoteza muda na...
Ukweli mchungu ila tutafute chanzo cha haya yote.
Utawala wa JPM kulipitishwa sheria mbovu kupita kiasi hata huko ulipo pole pole,nchimbu,ndungai,tulia na CCM zina watafuna wenyewe.
Hii ya kushinda asilimia zote kila ngazi ni nyie mlianza kwa JPM.
bunge kuwa FM academia limianza kwa JPM...
Rais William Ruto sasa amesema makubaliano kati ya Serikali ya Kenya na Mfanyabiashara Aliko Dangote kuhusu Refinery ya Lamu hayatawekwa wazi, huku akimuelekeza yeyote anayetaka kuyaona kutumia utaratibu wa Bunge kuyaomba.
Kauli hii inakuja wakati mradi huo wa takriban Shilingi trilioni 2.2...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha maeneo ya wazi yanalindwa kwa kuwekewa alama za kudumu na mabango yanayoonyesha mipaka akisisitiza kuwa maeneo hayo hayapaswi kubadilishiwa matumizi.
Mhe. Mmuya...
Nimefuatilia mjadala wa chief odemba na wale ambao waita waandishi wa habari nzuri,nakili baadhi yao ni nguli kweli kweli, ila wengine ni mamluki wa tabaka tawala.
Balile aliulizwa kuna waandishi wa habari na wahariri wapo news room lakini wakati wa uchaguzi walionekana live kuvalia nguo za...
Kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu, hataki kuagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Manispaa ya Moshi kupatiwa Hati za Umiliki, ili kuweka utaratibu wa kisheria wa umiliki na matumizi ya maeneo hayo?
Amani kwenu wakuu,
Ukiingia Mtandao wa Instagram hivi sasa, kurasa za wauzaji wa magari zimefurika matangazo ya mikopo yenye ushawishi mkubwa. Makampuni maarufu ya kuuza na kuagiza magari Dar es Salaam yote yanatangaza fursa za kutoa magari kwa mkopo.
Kijuujuu inaonekana ni msaada kwa vijana...
Mahakama Kuu imeamuru kuwa kujumlisha na kuthibitisha matokeo ya uchaguzi wa urais katika ngazi ya kitaifa(National tallying Centre) ni halali, na hivyo basi imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Seneta wa Busia, Okiya Omtatah, iliyopinga mchakato huo.
Mahakama imeeleza kuwa masharti ya...
Kwa wale wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii wanafahamu namna Dudu Baya alivyoamua kupambana na ushoga na tabia za kishoga hadharani
Wapo wanaosema kwamba huenda ni namna alivyochagua kuendelea kujadiliwa kwenye media (ku trend) kwasababu uhai wa msanii hutegemea pia kusemwa semwa
Hata hivyo...
Tunamlaumu Nasaoro Katuga kwa ku expose mali za kiongozi wa CHADEMA.
Wakili wa serikali yuko kwenye minyukano mahakamani tunategemea aje kusema Heche ni malaika wa Bwana ??? Anapiga kwenye mishono anapoona pana madhaifu.
CHADEMA tujenge utamaduni wa uwazi kwenye masuala ya fedha na mali...
Ninaiweka barua hii hapa nikiamini itamfikia mlengwa, Nabii David Richard anayehudumu hapa Dar es Salaam katika huduma ya The Angels of God Ministry au itawafikia wasaidizi wake wa karibu.
Ninaandika haya si kwa nia ya kushambulia huduma yake, chuki, wala dharau. Ama kumshambulia yeye mwenyewe...
Ukitaka kujua mchango wa China kwenye maisha ya Mtanzania wa kawaida, usianzie Beijing, anzia Kariakoo
Leo mtu mwenye budget ya kawaida anaweza kuingia dukani na kutoka na bidhaa ambayo miaka kadhaa iliyopita angeiona kama luxury
1. FRIDGE
Samsung/LG zikiwa na features za kisasa zinaweza...
Viongozi wa chadema semeni chopa zipo wapi mbona hazipo ufipa Wala unyaturuni🤣🤣
Na zile gari zipo wapi naskia zilibadilishwa rangi na usajiri haya wazee wa ufipa karibu kwa mjadala
Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu kozi ya Community Development for Water Supply and Sanitation (CDWSS) inayotolewa na Chuo cha Maji (Water Institute) chini wa Wizara ya Maji.
Kozi hii ni specific kwenye sekta ya Maji na usafi wa mazingira lakini cha kusikitisha, hakuna utaratibu wa wazi...
Anonymous
Thread
ajira
community
development
fursa
fursa za ajira
kozi
sanitation
supply
water
water supply
wazi
za ajira
Nimeyasikia mahojiano ya Wakili wa serikali Said Katuga kwa shahidi wa utetezi John Mnyika mpaka nimefunika uso kwa aibu.
Aina ya maswali, mpangilio wake na nia yake haiendani na kesi ya msingi hata kidogo na hana weledi kiasi kuwa kama hawa ndio watetezi wa kesi zinazofunguliwa dhidi ya...
Habari za uzee wako:
Nakuandikia ujumbe huu nikikusihi ufanye kila linalowezekana ukishawishi chama chako,umshawishi aliye kitini kufanya kila linalowezekana kutengeneza kijitabu ambacho kitawaongoza wananchi wadanganyika kwa kipindi kingine cha miaka 50 ijayo.
Kwa sasa hali ni mbaya ingawa...
Sio maneno yangu, ni kauli iliyotolewa na aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Simba, mwenyekiti wa Simba na katibu mkuu wa TFF wakati huo ikiitwa FAT Ismail Aden Rage akihojiwa na wasafi Redio.
Anasema akiwa high table kwenye mkutano wa Simba alimwomba mweka hazina nakala ya ripoti ya Simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.