gesi

The GESIS – Leibniz Institute for the Social Sciences is the largest German infrastructure institute for the social sciences. It is headquartered in Mannheim, with a location in Cologne. With basic research-based services and consulting covering all levels of the scientific process, GESIS supports researchers in the social sciences. As of 2017, the president of GESIS is Christof Wolf.
GESIS is part of the Leibniz Association and receives federal and state funding.

View More On Wikipedia.org
  1. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta bajaj ya gesi ya hesabu au mkataba

    Ninahitaji bajaji ya hesabu/mkataba ya gesi. Namba yangu 0781156771. Leseni ninayo Nipo Maili Moja, ila ninafanya shughuli za udereva Barabara ya Morogoro
  2. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Tangazo la TLPGA halitufaidii watumiaji wa gesi ya kupikia

    Tangazo linalotolewa na chama cha waingizaji wa gesi ya kupikia(TZLPGA) haitatui matatizo yanayotupata watumiaji wa gesi ya kwenye mitungi ikiwemo ujazo na ubora wa vichomea(burner). Vichomea vilivyopo mitaani ni vya viwango vyachini pamoja na uwepo wa TBS na Tume ya Ushindani, vingi yya vifaa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania DAR: Wahalifu wa uchakachuaji wa mitungi ya gesi za kupikia wakamatwa. Je serikali inatulindaje watumiaji dhidi ya huu wizi?

    Habari wana jamii. Kuna taarifa imepostiwa mtandaoni ikieleza kukamatwa kwa wezi (wahalifu) ambao wanafanya kazi ya kuchakachua mitungi ya gesi za kupikia (LPG) jijini Dar-es-salaam. Taarifa hiyo inadai kuwa watu hao huwa wanafanya kazi ya kupunguza kilo za gesi kutoka kwenye mitungi iliyojaa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Dar kwa sasa tunahamisha taka mitaani tunapeleka Pugu Kinyamwezi, tumeamua kuanza mpango wa kuchakata taka kuwa Umeme, Gesi au Oil

    Dar es Salaam kwa sasa tunahamisha takataka kutoka point A tunapeleka point B. Tunahamisha huku kwa watu tunapeleka Pugu Kinyamwezi. Kwa hiyo kwa lugha nyepesi ni kwamba huku unaweza ukakuta kusafi lakini Pugu Kinyamwezi kuchafu. Sasa tumekubaliana jambo gani? Kwamba kwa sasa tuingie kwenye...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

    Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Ametoa kauli hiyo jana (Jumanne, Septemba 15, 2026) wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mjini, mkoani Simiyu katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya CCM Saba Saba.
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Masauni awaonya Watanzania kuingiza gesi hatari kwa Tabaka la Ozoni

    Serikali imewataka Watanzania kuepuka kuingiza nchini gesi zilizopigwa marufuku na vifaa vinavyotumia gesi zinazoharibu Tabaka la Ozoni, ikiwemo majokofu na viyoyozi vilivyotumika, ili kulinda mazingira na kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi. Wito huo umetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi...
  7. D

    JamiiForums Tanzania 40 ya Sandra - Mtoto wa Diamond (Kuna Wanaume Soda zao hazina Gesi)

    Nipo Kiwanja kimoja hapa mtaani naona wamesema Wasafi TV wanashuhudia tukio la 40 ya Sandrah mtoto wa Diamond Kuna jambo nimekuona siyo la kawaida, jukwaani yupo Mzee Yusuph na Zuchu wanaimba Taarab kwa kupokezana lakini wachezaji wa hiyo Taarabu ni midumw yenye ndevu zao, napata mashaka Sana...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Warsame: Tunaongeza nguvu ya ujenzi wa Bomba la Gesi Asilia (Kilomita 22) kabla ya El Niño

    UJENZI wa bomba la gesi asilia lenye urefu wa kilomita 22 kutoka Kisemvule hadi Mbagala umeingia hatua muhimu, huku Kampuni ya Rashal Energies Limited ikiongeza kasi ya kazi katika maeneo ya njia yanayoweza kuathiriwa zaidi na mvua kubwa. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Rashal Energies...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuielewa sheria hii ya mafuta na gesi anieleweshe. Sikiliza clip toka Bungeni

    Changu changu , chako chetu
  10. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Zimamoto Latoa Onyo Kuhusu Matumizi Mabaya ya Gesi ya Majumbani

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa wito kwa wananchi kuwa waangalifu wakati wa matumizi ya gesi ya majumbani (LPG) ili kuzuia majanga ya moto na milipuko. Katika elimu iliyotolewa na afisa wa jeshi hilo kupitia kipaza sauti, alieleza kuwa matumizi ya mpira wa gesi au valve iliyoharibika kwa...
  11. TPPB_Tanzania

    JamiiForums Tanzania Fursa za ajira kwa wahitimu wa taaluma za mafuta na gesi Tanzania

    📢 FURSA ZA AJIRA KWA WAHITIMU WA TAALUMA ZA MAFUTA NA GESI TANZANIA 🇹🇿 EQUINOR GRADUATE PROGRAMME 2027 – NORWAY 🇳🇴 Equinor inapokea maombi ya kujiunga na programu yake ya wahitimu ya miaka miwili. Programu hii inatoa uzoefu wa kazi, mafunzo ya kitaalamu, ushauri kutoka kwa wataalamu pamoja na...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Usikose Kuangalia TPDC Inavyo Fanya Makubwa Sekta za Mafuta Na Gesi, Ni Leo Saa 3:40 Usiku Huu on Star TV

    Wanabodi, Kwa wale wenye muda, Usikose Kuangalia TPDC Inavyo Fanya Makubwa Sekta za Mafuta Na Gesi, Ni Leo Saa 3:40 Usiku Huu on Star TV。 https://youtu.be/iA-uAh2h9pI?si=IbWxfD0aomZ27Tzl Kwa ambao hampata muda wa kuangalia, links hapa https://youtu.be/xhpSZds-Ydw Karibu Mzee Pasco Rejea za...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba sababu kwanini niendelee kutumia mafuta zaidi ya 400K kila mwezi wakati ninaweza kubadili gari itumie gesi ya 60K hadi 100K kwa mwezi

    Tuchukulie mfano wa mtu anayesafiri km 30 hadi 35 kila siku ndani ya mji. Kwa mwezi (siku 30), atakuwa amesafiri takribani km 900. Petrol - 4000 kwa lita Gesi - 1545 kwa Kg Sasa tuangalie upande wa gesi. Kwa gari la CC 1900, mfano Nissan X-Trail, kwa mafuta inaweza kukulamba lita 1 kwa km...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nchi zetu mbili zimegundua akiba kubwa ya gesi baharini, Namibia ina futi za ujazo trilioni 8.7 Tanzania futi za ujazo trilioni 57.5

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Namibia zinapaswa kuimarisha ushirikiano katika sekta ya mafuta na gesi kufuatia ugunduzi wa akiba kubwa ya gesi baharini katika mataifa hayo mawili. Rais Samia amesema Namibia ina akiba ya gesi inayokadiriwa kufikia futi za ujazo...
  15. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kupika vizuri wali kwa kutumia jiko la gesi

    Naomba mnisaidie kunielekeza jinsi ya kupika wali wa kuchambuka kwa kutumia jiko la gesi. Mara nyingi ninapopika, wali wangu unatoka mzito na kushikana kama ugali. Naomba maelezo ya hatua kwa hatua, ikiwemo uwiano sahihi wa maji na mchele, kiwango cha moto, na muda wa kupika ili nipate wali...
  16. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Kama Samia alikwenda Urusi na hakuzungumzia ishu ya mafuta na gesi basi tumepigwa!!

    Nilitegemea Ziara yake huko Russia na kujadili pia masuala ya mafuta!! Sote tunafahamu hali ya mafuta ni mbaya sana, na Urusi wana mafuta mengi tu mamilioni ya mapipa kiasi kwamba hawajui hata wayapeleke wapi Nilijua alivyoenda huko angesaini madili ya kuagiza mafuta Urusi ili bei ishuke au...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Is it worth it kununua Brevis milioni 6 na kuigeuza kutumia mfumo wa gesi kwa mizunguko ya town ?

    Gari ni Brevis Kwa hali ya sasa ilivyo mafuta yapo juu sana, watu wengi wanayauza kwa bei ya kutupa hata milioni 5 lqkini kupata clean kidogo inaweza kuwa milioni 6 Makadirio ya kufunga gesi ni Milioni 2 Makadirio ya Service yanaweza kuwa milioni 1 Kwa hio gharama zote zinakuwa MILIONI 9 Is...
  18. Gengis Khan wa Jf

    JamiiForums Tanzania Mafuta na gesi yakiisha Mashariki ya Kati tutaishije ?

    Mzuka wana jamvi ? Nimewaza tu kwani sasa Dunia nzima inasikitika kisa kaeneo kidogo masgariki ya kati kutokea mgogoro na flow ya energy kuwa disturbed . Sasa imagine mafuta yaishe kabisa huko au Waarabu wagome kuyaauza si tutarudi stone age ? Ina Waarabu na makobaz ndio wanaamua dunia tulie...
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gesi ya kupikia imepanda bei au napigwa?

    Wakuu. Mtungi mdogo nilikua nanunua 24,000/= Tsh sahivi napiga simu niletewe naambiwa 28,000/= Jamaa anasema imepanda. Oyaaah! Kama kweli nitapikia kuni aisee.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inatoa tamko gani juu ya kupanda kwa gharama za gesi na mafuta ya petrol na dizeli? Maisha ya Mtanzania yanazidi kuwa magumu kila kukicha

    Hii post naielekeza moja kwa moja kwa Mheshimiwa Rais, Dr Mama Samia Suluhu Hassan na waziri wa Nishati na Madini. Jamani wakuu maisha yetu watanzania wa hali ya chini yanazidi kuwa magumu. Bei hizi za gesi tunazotangaziwa kuwa zimepanda kufikia 62000 kwa mtungi wa kg 15 na 27000 kwa mtungi wa...
Back
Top Bottom