hasara

 1. Sky Eclat

  Mabadiliko katika jamii yana faida na hasara zake

  Zamani haikuruhusiwa binti kuzaa nje ya ndoa. Ikitokea binti amepata ujauzito kabla ya ndoa, wazazi walimlea mpaka anajifungua na akisha jifungua mtoto anatolewa kwenda kuasiliwa. Wazazi wengine waliwapeleka watoto wao kwenye nyumba za watawa. Kule mabinti walifanya kazi ya kufua nguo, kuanzia...
 2. Stiffler88

  Wenye uzoefu na udereva wa Uber na Bolt, naomba kujua faida, hasara na changamoto zake

  Baada ya chuo, kama kijana naona wakati nikiendelea kutafuta kazi nifanye biashara ya Uber/ Bolt. Sasa wenye uzoefu Naomba wanijuze nn cha kufanya ukiwa unaanza, faida na hasara na pia changamoto za hii kazi. Maana nmeskia kuna ambao wana-make na ambao wanakua loss.. Pia namna nzuri ya ku...
 3. K

  Baada ya kuzuia uingiaji na usafirishaji nje bidhaa zifuatazo tumetengeneza faida au hasara?

  Tulimzuia Dangote kutoa makaa ya mawe kutoka S.Afrika, je migodi yetu ya makaa ya mawe ipo hali gani leo? Kutoka kwenye lesson leant tunaamni mawazo yetu yalikua sahihi? Tulidhibiti usafirishaji wa mazao ya chakula nje hasa Kenya ambayo inategemea chakula kutoka kwetu, je Hali ya soko la ndani...
 4. mathsjery

  Nipe faida/hasara za kulala kwenye Vitanda hivi

  Wewe mume/mke wa mtu? Kama ndio Nipe faida/hasara za kulala pamoja kwenye kitanda cha 6 kwa 6 ukilinganisha na 3 kwa 6. Toa mapendekezo yako? @2009
 5. safuher

  Hasara zipi unazipitia kwa kuwa na tabia za introvert?

  Tabia ya kupenda kukaa peke yangu bila kuwa na mazoea sana na washakaji ama majirani, kuna siku niliumwa wakuu nikakaa ndani siku nzima nakunywa maji tu hakuna anayejua kama naumwa. Homa ilinikamata vibaya nje sionekani washakaji na majirani wakajua ndio kawaida yangu kuwa ndani kumbe mwenzao...
 6. Elisha Sarikiel

  Kuna faida kubwa kwenye mfumo wa tiketi mtandao kwa ukataji tiketi kuliko hasara zake

  Ndugu Wasomaji, Mwanadamu siku zote ana tabia ya kuwa mzito kupokea mabadiliko hata yale yenye faida kwake, kwakuwa tu hajazoea mabadiliko hayo. Hofu inamtawala zaidi kuhusu madhara ya mfumo kuliko faida zake. Lakini pia mfumo wowote mpya ili utekelezwe lazima watu fulani waumie ama ni kwa...
 7. Bonheur Travels Tanzania

  Elimu kwa Umma: Tumia Wakala kwenye Safari za Ndege au Huduma za Hoteli kuepuka hasara na kuharibu ratiba zako

  Ndugu WanaJF, Kwa mara nyingine tena tunakuja na uzi mahsusi kwa wote wanaofanya safari kwa njia ya anga. Huu ukiwa ni mwendelezo wa mtiririko wa threads zetu za Elimu kwa Umma ambapo tunakusudia kuelimisha wasafiri na wanaotarajia kusafiri kuhusu mambo mbalimbali ili safari zao ziwe salama na...
 8. Mystery

  Hivi ATCL kufanya safari za ndege Chato, hakutaliletea hasara kibiashara Shirika hilo?

  Siku chache zilizopita tulimsikia Mtendaji Mkuu wa shirika la ndege la ATCL, Ladislaus Matindi akiutangazia Umma wa watanzania kuwa shirika lake la ndege, kuanzia tarehe 9/01/2021 litaanza safari zake za ndege za kwenda kijijini Chato. Ninavyojua Mimi ni kuwa unapokuwa kwenye biashara ni lazima...
 9. Sandali Ali

  Faida na hasara nilizozipata kutokana na CASINO za mtandaoni

  Mimi ni mlevi wa online CASINO hasa kutoka play Master na Meridian Bet. Nimeanza kuzicheza 2018 hivi. Nilizikuta tu mtandaoni bila kuelekezwa na mtu, nikajiunga na kuanza kucheza kwa dau dogo dogo la mia mia ila sasa hivi nacheza dau kubwakubwa. Faida nilizozipata ni hizi: 1. Muda wa kufanya...
 10. kmbwembwe

  Faida hasara na unyanyasaji raia wa kitochi cha usalama barabarani

  Sheria ya usalama barabarani licha ya lengo lake kutakiwa kusababisha usalama wa usafiri barabarani imekua ikitumika vibaya na wasimamizi wake wote kuwapatia ulaji. Ndivyo ilivyo pia kwa uanzishaji wa tochi au kamera za kudhibiti mwendo barabarani. Wakati raia wakitarajia kupungua ajali askari...
 11. Estate Tanzania

  Kiwanja kikubwa sqm 1000 pamoja na pagala lake vinauzwa kigamboni bei ya hasara

  Kiwanja kinauzwa kimeanza kujengwa pagale limefikia kozi ya 4 lina vyumba vinne (vitatu vina choo) ukumbi jiko na store dinning na sehemu ya kusomea Lipo Kigamboni Dege karibu na ofisi za tanesco Kiwanja kina ukubwa wa sqm 1000 Eneo kubwa limebaki Gari inafika had kwenye eneo Bei milioni 12...
 12. S

  Gari la zaidi ya milioni 400, na chaguzi za marudio zilizotokana na watu kuunga mkono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

  Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi? Jimbo...
 13. Miss Zomboko

  Watu 2 wahukumiwa kwa hatia ya kusambaza Huduma ya Internet bila kibali na kuisababishia hasara TCRA

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuhukumu Mhandisi Baraka Mtunga (43) na Rajabu Katunda (42) kulipa faina ya Sh. Milioni 1.5 kwa kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kusambaza Huduma ya Internet bila kibali na kuisababishia hasara Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) zaidi ya Sh...
 14. Cannabis

  Vodacom yapata hasara ya shillingi bilioni 5.06 ndani ya miezi sita kutoka Septemba 2020

  Vodacom (T) imeripoti hasara ya shillingi bilioni 5.06 miezi sita kutoka Septemba 2020 kwa sababu ya adhabu dhidi ya makosa ya zamani yanazohusiana kodi kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita. Kulingana na maoni ya wachambuzi mbalimbali, ripoti hiyo ya nusu mwaka kwa kipindi hiki imechora picha mbaya...
 15. Mwansembo elly

  Uchaguzi 2020 Upinzani wakisusia Ubunge/Udiwani, nini kitatokea? Hasara au faida?

  Habari wana JF, Ni swali la kujiuliza. Endapo ikatokea wapinzani wote nchini wakashauriana katika kikao chao kinachosadikikia kuwepo leo kuwa, wabunge na madiwani wao wote waliopata nafasi katika uchaguzi huu kususia na kutoingia sehemu zao za kazi Je, nini kiatokea? Nini faida na Hasara za...
 16. Synthesizer

  Ni bora Bunge likawa na Wabunge wa CCM 100% kuliko kuwa na Wabunge wachache wa Upinzani. Faida na hasara zake kwa CCM na Upinzani ni hizi

  Kwa namna fulani matokeo tunayoambiwa ya uchaguzi kuwa CCM wamechukua viti vya Bunge kwa 100% mimi binafsi nimeyapokea kwa furaha sana, sio kwa kuwa naipenda CCM, la bali kwa kuwa CCM na wananchi kwa ujumla bado hawajatambua umuhimu wa kuwa na wabunge wa upinzani. Binafsi ningependa idadi ya...
 17. J

  Je, zuio la mikutano ya upinzani kwa miaka 5 ni faida au hasara kwa waliotoa wazo hilo?

  Bashiru na polepole hawana tena uwezo wa kuiokoa ccm isife. Chama kimegawanyika vipande vipande kwa sababu ya watu hawa wawili. Hawakuwahi kuwa wana CCM kabisa, wamekuja wameleta aidia za kizamani kabisa wakidhani Watanzania wako stone age. Hawa wapo chamani kwa maslahi yao tu ya kupata pesa...
 18. Analogia Malenga

  Mtu mmoja amefikishwa mbele ya mahakama ya hakimu mkazi kisutu akikabiliwa na makosa manne ikiwemo ya uhujumu uchumi

  Mtu mmoja amefikishwa mbele ya mahakama ya hakimu mkazi kisutu akikabiliwa na makosa manne ikiwemo ya uhujumu uchumi kwa kuisababishia hasara mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) ya shilingi milioni 48. Geoffrey Kilimba, amesomewa mashitaka hayo mbele ya hakimu mkazi mfawidhi Godfrey Kusaya na...
 19. L

  Vijana wa CCM ya Sasa ni hasara kwa taifa na chama chao, hawawezi mijadala

  Vijana Hawa wa kizazi hiki wa CCM Ni tofauti kubwa Sana na vijana wa wakati ule,enzi za akina Mwalimu,Malechela,Kikwete,n.k. Hawa walikua na hoja kwenye mijadala mbalimbali na hata ya Kimataifa. Tanzania ikiwakilishwa na vijana wa wakati huo ilikonga nyoyo za washiriki wa makongamano Kimataifa ...
 20. Castr

  Ficha IP Adress yako kwa kutumia VPN (Android users)

  Habari wadau, ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. IP Adress (Internet Protocol) ni anwani ambayo device mfano simu au computer inakua nayo pindi inapokua imeunganishwa na intaneti hivyo mtu mwingine kuweza kujua mmiliki wa hiko kifaa ni nani. VPN (Virtual Private Network) ni simulator...
Top Bottom