mafunzo

Mafunzo Football Club is a Tanzanian / Zanzibarian football club.
The team competes in the Zanzibar Premier League.
They competed in the CAF Champions League for the first time in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    GCLA: Dereva anayesafirisha kemikali bila kupewa mafunzo faini Tsh500,000

    Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imewataka madereva hao kupata mafunzo ili kuepuka madhara kwao na kwa watu wengine. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Huduma za Udhibiti wa GCLA, Daniel Ndiyo leo Julai 3, akisema dereva anayesafirisha kemikali bila kupata mafunzo anafanya...
  2. M

    JWTZ wazalendo waungeni Wananchi 7/7, Viongozi wazalendo kumbukeni mafunzo yenu kutoka chuo cha Taifa cha Ulinzi, kuhusu usalama wa Taifa

    Usalama wa Taifa si tu kutokuwepo kwa vita, usalama wa Taifa unahusu umoja wa Kitaifa, Utulivu wa kisiasa, uchumi, teknolojia, masuala ya kijeshi na mazingira. Chadema kimekwisha kuwa chama cha kitaifa kutumia taasisi za serikali kama Jeshi, polisi na usalama kukizuia kufanya kazi ni...
  3. ndege JOHN

    Kuna haja gani ya kwenda kusikiliza mafunzo ambayo si mageni kwako?

    unaamka asubuhi, unatumia pesa, muda na nguvu kwenda sehemu fulani kusikiliza mtu akikuambia mambo ambayo tayari unajua.Unaenda kanisani, mchungaji anasema tuwe waaminifu, tusameheane, tusiibe, tusizini na tupendane. Unatikisa kichwa kwa nguvu huku ukisema "Amen!" wakati ukweli ni kwamba hayo...
  4. Burn the bridge _Tz

    Haya Mafunzo ya udereva kwa wiki mbili yanaukweli?

    Kuna Haya mafunzo ya udereva kwa wale ambao ni wamiliki wa leseni kwa muda wa wiki mbili?? Je vyeti ambavyo vinatolewa vinatambulika na serikali?? Je vyeti hivyo vinaweza kutumika kama sehemu ya Fani?? Au ni sehemu ya upigaji tu na ujanja ujanja?? Naomba ambaye anajua anipe maelezo!! Au...
  5. Roving Journalist

    ACT Wazalendo yaendesha mafunzo maalum kwa Mawaziri Vivuli wa Chama hicho, yatafanyika kwa siku tatu

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, leo tarehe 12,Juni 2026 amefungua mafunzo maalum Kwa Mawaziri Vivuli wa Chama hicho Mafunzo yatakayoendelea kwa siku tatu hadi Juni 14, 2026. Mbali na Mafunzo hayo Mawaziri hao pia wamekabidhiwa nakala ya vitendea Kazi Kwa nafasi zao pamoja na kutakiwa...
  6. Roving Journalist

    Rais Samia Anahitimisha Mafunzo Ya Maafisa Na Wakaguzi Wasaidizi Wa Polisi Kozi Na. 1/2025/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=AsjCN8DKAh0
  7. University of Dodoma (UDOM)

    UDOM yatoa mafunzo ya mradi wa safari kuboresha huduma za ultrasound kwa wajawazito

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), leo Mei 25, 2026, kimetoa mafunzo ya ukusanyaji wa taarifa za msingi kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa SAFARI, unaotumia teknolojia ya Akili Unde (AI) kuboresha huduma za ultrasound kwa akina mama wajawazito. Mradi huo unatekelezwa na UDOM kwa kushirikiana na...
  8. University of Dodoma (UDOM)

    Mafunzo ya Student Investor yazidi kuvutia wanafunzi wengi UDOM

    Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kushirikiana (UDOM) na TISEZA pamoja na Shirika lisilo la Kiserikali la Save Youth Dream Foundation (SYDF), leo tarehe 23/05/2026 katika Ukumbi wa Auditorium – CIVE, wameendelea na programu ya mafunzo ya Student Investor yenye lengo la kuwajengea vijana uwezo wa...
  9. Richard

    Iran yaomba ruhusa FIFA kuhamishia timu yake ya taifa Mexico baada ya kugundulika wachezaji, makocha na maofisa wote wamepitia mafunzo IRGC.

    Ijumaa ilopita Iran wamezungumza na shirikisho la kandanda Duniani FIFA kuomba kuhamisha timu yake ta taifa ya kandanda na maofisa wote wanoandamana na timu hiyo nchini Mexico, baada ya kukikiri kuwa wachezaji karibu wote wamepitia mafunzo maalum kutoka jeshi maalum la mapinduzi la Iran maarufu...
  10. Roving Journalist

    Madai ya Ajira Mpya VETA walioitwa Dodoma ‘kutelekezwa’, VETA yasema “Wanaandaliwa mafunzo elekezi 21-22 Mei 2026”

    Baada ya andiko lililowekwa na Mdau kupitia Fichua Uovu ndani ya JamiiForums.com, alipoandika “Watu 178 tulipata ajira VETA, tukaenda kuripoti Dodoma, ni mwezi wa tatu huu hatujapangiwa kituo, wametusahau?” Meneja Uhusiano kwa Umma na Masoko wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi...
  11. Zack Abdul

    Mafunzo ya Siri Vijana: Mkakati Hatari Wafichuka

    Tume ilibaini kwamba vikundi vya vijana vilifunzwa kwa zaidi ya siku 28 katika maeneo ya siri. Muda huu mrefu wa mafunzo unaonyesha wazi kwamba hii haikuwa ni operesheni ya haraka bali ni mkakati ulioandaliwa kwa uangalifu mkubwa, ukithibitisha haja ya mfumo bora wa ujasusi wa mapema wa...
  12. Zack Abdul

    Serikali awamu ya sita yawezesha NIT kuanza Mafunzo ya Urubani, Wanafunzi Wafanya Solo Flight

    Serikali awamu ya sita yawezesha NIT kuanza Mafunzo ya Urubani, Wanafunzi Wafanya Solo Flight Serikali kupitia National Institute of Transport (NIT) imeanza rasmi kutoa mafunzo ya urubani tangu Julai 2025 baada ya chuo kukidhi vigezo vya Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) na kupokea ndege...
  13. University of Dodoma (UDOM)

    Mafunzo ya AI na DATA analytics Monitoring and evaluation in local government

  14. Roving Journalist

    Walimu 150 wa Amali Waliohudhuria Mafunzo India Warejea, Prof. Shemdoe awapongeza kwa kuonesha nidhamu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda wamewapokea walimu wapatao 150 wa amali waliokwenda kwenye ziara ya mafunzo ya mwezi mmoja nchini India, ambayo...
  15. Roving Journalist

    TARSI endeleeni kutoa Mafunzo ya Usalama wa Miundombinu ya Barabara kwa Wahandisi: Prof. Shemdoe

    https://youtu.be/V8w-2LzbQSQ?si=EP9MVrdcvS8xs8jJ Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameishukuru na kuitaka taasisi ya Tanzania Road Safety Initiative (TARSI) kuendelea na utaratibu wa kutoa Mafunzo ya Usalama wa...
  16. A

    DOKEZO Hali ya Uendeshaji na Utendaji Kazi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA

    Salaam, Tafadhali kama mdau mwenye kutakia mama nchi naomba muangaze mambo haya ndani ya VETA. 1. Mamlaka ina shida kubwa kwenye utoaji wa mafunzo, shida kubwa ikiwa kwenye upatikanaji wa dhana za kufundishia (trainning materials). Kwa makadrio ya chini kinachopatikana ni kama 20% ya...
  17. Roving Journalist

    Dkt. Charles Msonde: Serikali imeongeza kasi ya kuimarisha usalama barabarani kupitia mafunzo ya kitaalam

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde, amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua za haraka katika kuimarisha usalama barabarani kwa kuboresha usanifu wa miundombinu, kuimarisha utekelezaji wa sheria, pamoja na kuwajengea uwezo wataalamu ili juhudi hizo ziweze kuleta matokeo...
  18. L

    Ushirikiano kati ya China na Tanzania Waendelea kwa Kipaji cha Mafunzo kwa Wafanyakazi wa Reli

    Kwa miaka mitatu na nusu, Amina Ally Sauko amesaidia kuratibu operesheni za treni za Shirika la Reli la Tanzania (TRC) kutoka kwenye Kituo chake cha Usimamizi wa Operesheni kilichoko jijini Dar es Salaam, ambako uhakika na kufanya kazi pamoja kama timu ni muhimu. Amina, ofisa usafiri wa TRC...
  19. Taasisi ya Mifupa-MOI

    Wauguzi MOI wapatiwa mafunzo ya kudhibiti msongo wa mawazo

    Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wamepatiwa mafunzo maalum yanayolenga kuwajengea uwezo wa kutambua, kuepukana na kudhibiti msongo wa mawazo unaotokana na mazingira yao ya kazi pamoja na changamoto za kijamii wanazokutana nazo majumbani. Mafunzo hayo yamenyika leo...
  20. cnx

    DOKEZO Walioitwa kwenye mafunzo Zimamoto, siyo wale walioitwa kwenye usahili

    Hili ni swali linalohitaji ufafanuzi: kwa nini vijana waliyoitwa kwenye usaili wa Zimamoto kuanzia tarehe 15 Disemba 2025 hadi tarehe 20 Disemba 2025 hawakupata nafasi ya kwenda kwenye mafunzo, ilhali baadhi ya waliokuwa hawakuitwa kwenye usaili wamepata nafasi hiyo? Mtu anajituma na kusafiri...
Back
Top Bottom