maziwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Nitabadilisha majina ya mitaa, kata, maziwa yenye utata

    Habari wanauzi Kuna majina ya maeneo hapa bongo yenye maana za kushoto sana. Imagine Kariakoo pale kuna kasehemu kanaitwa GEREZANI Kahama kuna sehemu inaitwa KAGONGWA Buza kwa MPALANGE Ziwa Victoria, linapaswa kuitwa Ziwa Nyanza Bismark Rock litaitwa Nyanza Rock Oysterbay pataitwa kwa Bundala...
  2. Africa Kilimo News

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Ng'ombe aina ya Girolando mvumilivu wa magonjwa na anayetoa maziwa mengi

    Ng'ombe huyu ana asili ya Brazil anatokana mchanganyiko wa ng'ombe wa asili Gyr na Friesian. Anasifika kwa kutoa maziwa mengi Girolando jike aliyezaa mara ya kwanza anaweza kutoa hadi lita 18 kwa siku na aliyezaa mara ya pili anaweza kufikisha lita 30 kwa siku. Sifa nyingine ambayo inafanya...
  3. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Waarabu Zanzibar na Watutsi maziwa makuu wote walikuwa walowezi wakoloni

    Ukoloni Zanzibar haukuanzia kwa waingereza bali kwa walowezi waarabu wa Omani ambao walihamia zanzibar pamoja na ndugu ya sultani wao ambapo walimuweka akawa sultani wa zanzibar na kuanzisha utawala wa ukoloni wa kilowezi wa kiarabu. Waomani hao wakatawala eneo la zanzibar na pwani ya afrika...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kipato changu ni 400k na marupurupu 300k kila mwezi. Nahitaji kufungua biashara ya kuuza juisi na maziwa ili kidogo nipate chochote

    Awali ya yote ashukuliwe Mungu Mkuu atoaye pumzi na afya. Wadau najua wataalamu na wafanyabishara wamo humo ndani naombeni ushauri kama nilivyoeleza hapo juu kuwa kipato changu na nahitaji kufungua biashara ya kuuza juisi je hiyo pesa inatosha kwa mtaji na ni vitu gani hasa vinahitajika ili...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mifugo yaanza kampeni ya kunywa maziwa shuleni Wilayani Rungwe

    Dkt. Mackrina Nombo, Mtaalamu wa Lishe Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia Mradi wa Mageuzi ya Tasnia ya Maziwa na Mabadiliko ya Tabianchi ulio chini ya Wizara hiyo unaofadhiliwa na Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) imeanza kampeni ya unywaji wa maziwa shuleni ikiwa ni hatua...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Leo majangwa yana badilishwa kuwa misitu ,lakini Tanzania imeshindwa kutumia maziwa yaliyomo maji yake kuwa mkombozi wa maji wakati yanarudi kule kule

    Ni aibu sana kwa kila jambo wanafafanua kisocho eleweka. Hapa nauliza maana naona kuna project saudia wanataka kufuta jangwa na china wamesha weza sasa maeneo mengi. Hapa kwetu tanzania tuna vyanzo vya maji vinapeleka ziwani ila tumeshindwa kuchukua ziwani kupeleka sehemu maji ni shida...
  7. munroe

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya ng'ombe wazuri wa maziwa Aina zaidi ya tano nitafute kwa namba 0756416149

    Tunao ng'ombe wazuri wa maziwa wanaoweza kifika hadi lita 30 kwa siku Wapo Ndama Nusu mitamba Mitamba tupu Mitamba yenye mimba Waliozaa wanauzwa na vindama vyao vyenye umri wa chini ya miezi mitatu Wenye maziwa Wenye mimba na maziwa Mimba kubwa Karibu bei ni kawaida tupo rungwe mbeya Tupigie...
  8. munroe

    JamiiForums Tanzania Tunauza ng'ombe bora wa maziwa rungwe

    Tunauza ng'ombe wa maziwa rungwe mbeya Tunao ng'ombe aina mbalimbali wenye uwezo wakutoa lita 30 kutwa Kuna pure breed za Aryshire, Friesian, jersey, red bull etc. Namba zetu :0756416149 :0717847599
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa

    Wauzaji wa ng'ombe bora wa maziwa Ng'ombe wetu wana maziwa mengi kwa siku wanakamuliwa lit30 ...pia tuna ndama wadogo kuanzia miezi Mitano tupo makambako 0763 357 978
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe bora wa maziwa

    Wauzaji na wazalishaji wa ng'ombe wa maziwa makambako 0763 357 978
  11. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Wanatuonesha maziwa na matako mtandaoni kwa kigezo cha kunadi biashara ya nguo za ndani; Serikali haiwaoni?

    Kwanza nikiri huyu dada ni chuma haswa yani ni mzuri mpaka mzuri tena Ana rangi ya chocolate, macho mazuri na shape pia mashaallah anayo. Ana biashara yake ya kusimamisha maziwa na yeye mwenyewe ndiye anayefanya kama sampuli kuvutia wateja ila sasa kukaa kifua wazi kabisa bila chochote...
  12. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania MPYA je? ni kweli kuwa kuna Mende anayetoa maziwa yenye virutubisho vingi zaidi kuliko maziwa ya Ng’ombe.

    Kumekuwa na taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa kuna mende anayetoa maziwa” yenye virutubisho vingi zaidi kuliko maziwa ya ng’ombe. Taarifa hizo zinadai kuwa mende wa aina ya Pacific Beetle Cockroach, ambaye huzalisha kimiminika maalumu cha lishe kwa watoto wake...
  13. Inside10

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yatumia Bilioni 23 Kuagiza Maziwa Nje Ya Nchi

    Wakati Tanzania ikijivunia kuwa na idadi kubwa ya mifugo, bado inalazimika kutumia zaidi ya Sh23 bilioni kila mwaka kuagiza wastani wa lita milioni 11.6 za maziwa kutoka nje ya nchi. Hali hiyo inayochangiwa na changamoto za ubora ambapo miundombinu na elimu kwa wadau wa sekta maziwa ni vikwazo...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni ng'ombe wa maziwa wa mpira wa Tanzania, wapewe heshima yao.

    Hakuna timu ambayo inataka mechi yake ya nyumbani ya Simba na Yanga ichezwe saa 8 mchana. Hakuna mdhamini wa timu ambae anapenda mechi ya timu inayoidhamini icheze mechi zake na simba na yanga saa 8 mchana. Mwenye haki ya matangazo asilani hawezi kukubali mechi za simba na yanga zichezwe mchana...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuita maziwa na majani ya kuchovya(teabags) chai ya maziwa?

    Hivi ukiagiza chai ya maziwa halafu ukaletewa maziwa na majani ya kuchovya(teabags) pembeni hapo unakuwa umepewa chai ya maziwa au ni maziwa yaliyowekewa majani ya chai? Mimi nafikiri chai ya maziwa ni lazima majani na maziwa vichemshwe pamoja jikoni, tofauti na hapo ni utapeli tu.
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Samia: Tanzania tunamuunga mkono Museveni kuimarisha usalama Maziwa Makuu

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania iko tayari kumuunga mkono Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, katika juhudi za kuimarisha amani na usalama katika ukanda wa nchi za Maziwa Makuu, kufuatia nafasi yake kama mwenyekiti wa jumuiya hiyo. Rais Samia amesema hayo leo Jumamosi, Februari 7, 2026...
  17. Keynez

    JamiiForums Tanzania "Wanatoa maziwa na mayai, wanastahili kuwa jikoni" maneno ya Mdau

    Kuna haya maneno nimesikia kutoka kwa mdau mmoja akisema "Hawa wanatoa maziwa na mayai, wanapaswa kukaa jikoni ndiyo sehemu yao, huku kwingine tunalazimisha tu" Ni kauli ya kufikirisha sana. Inawezekana ni kauli ambayo imepitwa na wakati au inawezekana ina ukweli fulani tunaoukataa. Tujadili...
  18. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Maziwa Mara kiko wapi leo?

    Habari za Tanzania ! Hivi nyinyi watu wa Mkoa wa Mara mmeamua kwa dhati kabisa Kiwanda Maziwa kiwafie kabisa ? Haya sasa tutapata wapi Maziwa Mgando yenye vifungashio vizuri na matamu kweli dah. Haya bana si ndio mambo yenu kuua viwanda vizuri na kuanzia viwanda vibanda vya kutuuzia maziwa...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa alisemaga humu eti ukifuha ng'ombe mmoja wa maziwa mwajiriwa wa serikali hakufikii😂 ila JF bana isifutwe aisee

    Hii ndio zile ahadi za kiujamaa tukaishia kula vumbi hadi leo
  20. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe mmoja anatoa sio chini ya lita 25 za maziwa, ninao zaidi ya 10 wateja hadi tunawakataa

    📌 KUMBUKIZI LA UHALISIA “Ng’ombe mmoja akiwa amezaa, huwezi kukosa lita 25 za maziwa kwa siku ukiwa na ng’ombe bora na lishe sahihi. Mimi nina zaidi ya ng’ombe 10, na soko la maziwa ni kubwa sana. Tunauza katika maeneo mbalimbali ikiwemo mashuleni kutokana na ubora wa maziwa tunayozalisha.” —...
Back
Top Bottom