bunifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Tuma Wazo Bunifu kuboresha Huduma ya mifumo ya kodi,Ushinde Hadi Million 50

    TUMA WAZO BUNIFU KUBORESHA HUDUMA NA MIFUMO YA KODI, USHINDE HADI MILIONI 50 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatoa fursa kwa Watanzania wabunifu kushiriki katika msimu wa pili wa kuwasilisha mawazo bunifu yatakayosaidia kuboresha huduma za kodi, kurahisisha mifumo ya utoaji huduma za TRA...
  2. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Wazo bunifu kwa kijana wa Kitanzania linahitajika

    Mambo Vijana Tanzania !. Oooooh sasa hii sio ya kukosa; kikubwa ni mwendo wa kutembea na fursa. Kwa wale vijana ambao wanajitafuta; hawajui wanaanzaje kutoboa sasa mzigo huu hapa nimeambatanisha kipepetushi toka Wizara ya Vijana. Oya Kijana karibu sana. Mshtue na mwenzio chap kwa haraka.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yawapa tuzo washindi 9 Shindano la MAWAZO BUNIFU

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa Tuzo za ubunifu kwa washindi 9 waliotoa mawazo bora zaidi yatakayosaidia kuendelea kuboresha huduma za kodi na kuongeza wigo wa kodi. Akikabidhi tuzo hizo, vyeti pamoja na hundi kwa washindi hao Februari 25.2026, Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Life hacks: Maarifa mtaani bure, bunifu manufaa lundo

    Usiwe mvivu wa kufungua links za maarifa! Zitakusaidia mengi.. Achana na links za umbea na pilau Tumia bando lako kwa manufaa Kwa kila link nitakayoweka kuna vitu rahisi utajifunza na kuokoa pesa nyingi na muda TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Vigezo na masharti ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu vyawekwa hadharani

    Mwenyekit wa kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, Prof. Penina Mlama, ametangaza vigezo vya kushiriki katika duru ya nne ya tuzo hiyo ya ya mwaka 2025/2026 yenye lengo la kukuza lugha ya Kiswahili na kuthamini mchango wa Mwalimu Nyerere. Ameeleza hayo kwenye kikao na...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Jitahidini Kuwa na "Miguno Bunifu"

    Dada zangu hamjambo? Jitahidini kubuni miguno mbalimbali inamaana kubwa sana. Mimi Ponjoro wa Kinondoni ukitaka niwe nakuhonga kila siku we toa milio mbalimbali hapo sitangoja uniombe hela. Ni ukatili sana kuniambia maneno kama "HUMALIZI TU?" AU "LIONE!" AU "SIISIKII". Asante.
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu amtangaza Dkt. Mpango kuwa Mgeni Rasmi Tuzo za Taifa za Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, kuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, itakayofanyika Aprili 13, 2025 Jijini Dar es Salaam. Hayo yameelezwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Katika malighafi zote za bunifu na sanaa mbalimbali, malighafi zitokanazo na miti zinaongoza kwa mbali

    Huu utafiti umetokana na mada za ubunifu nilizopost mwezi uliopita kwenye majukwaa mbalimbali Malighafi zitokanazo na miti na mazao yake zimejitokeza karibia kila mahali Hapa Nita post bunifu mpya Kali na nzuri zitokanazo na hiyo miti na bidhaa zake
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa: Ujenzi kituo cha bunifu za TEHAMA(STARTUPS) Tanga mbioni kuanza

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema ujenzi wa kituo cha kuchochea bunifu za TEHAMA (Innovation Hub) kinachotarajiwa kujengwa mkoani Tanga, kitasaidia vijana wa mkoa huo kujikwamua kiuchumi. Waziri Silaa ameyasema hayo tarehe 23 Januari, 2025...
  10. Companero

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu 2024-2025

    Wizara ya Elimu, Sayansi, na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu ilizindua Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu mwaka 2022. Tuzo hiyo imekuwa na mafanikio makubwa. Mwaka 2023 na mwaka 2024 waandishi mbalimbali walishinda Tuzo. Mwaka 2025 inatarajiwa waandishi wengi zaidi...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Wenye mawazo bunifu mazuri mnakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu na kupata washirika kutoka ndani na nje ya nchi na uwezekano wa kupata ufadhili

    Watu wote mnaofikiri mna mawazo bunifu manakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu kupitia usaidizi wa shirika lisilo la kiserikali la ResearchLink International. Tafandhali jaza fomu iliyopo katika link hapo juu, submit na fuatilia e-mail kwa maelezo zaidi. Wazo lako linapaswa kuwa la kipekee sana...
  12. V

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Mradi wa kutenga maeneo ya majaribio ya kisayansi na bunifu kwa vijana

    UTANGULIZI Kumekuwa na changamoto nyingi zinazo wakabili vinaja wabunifu nchi nifurahi kuleta wazo hili kwa mara ya kwanza kama mtu ninayependa kushauriana nawe katika maana ya kuleta maendeleo katika kizazi kijacho, binanfisi nimejaribu kufanya majabio kazaa ambao hayakufanikiwa kwa sababu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wazo Bunifu kwa Mabadiliko ya Kijamii na Kiuchumi Nchini Tanzania kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo

    Wazo Bunifu kwa Mabadiliko ya Kijamii na Kiuchumi Nchini Tanzania kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo Utangulizi Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi na nafasi kubwa ya maendeleo. Ili kufikia maendeleo endelevu na kujenga jamii yenye ustawi, ni muhimu kuanzisha miradi bunifu itakayowezesha...
  14. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tubadilishe fikra zetu, na tuzalishe wataalamu wenye kuweza kupambana kimataifa kupitia bunifu zao za Kiteknolojia kwa ajili ya kukuza Uchumi wetu

    ''Fikira au Fikra (kutoka neno la Kiarabu) ni ujumbe uliotumwa kutoka akilini kwa ajili ya viumbe hai ili kujua kutenda jambo bila kukosea. Fikra husaidia na maamuzi: wanyama(mfano mifugo n.k) mara nyingi huishi bila ya kufikiri, yaani kujua nini kesho atafanya, lakini wanadamu hutumia fikra na...
  15. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Fikra bunifu kuboresha Sekta ya Afya kwa miaka 5 hadi 25 ijayo

    Zifuatazo ni changamoto kuu zinazopaswa kushughulikiwa ndani ya kipindi Cha miaka 5-25: 1. Upungufu wa watumishi wa Afya Changamoto: Tanzania inakabiliwa na upungufu mkubwa wa madaktari,wauuguzi,na wataalamu wa Afya kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa na idadi ndogo ya wahudumu Mikakati ya...
  16. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bunifu ya kuboresha Sekta ya Kilimo yanayoweza kutekelezwa kuanzia sasa mpaka miaka 25 ijayo ili kupata Tanzania tuitakayo kwenye kilimo

    Kilimo ni shughuli ya uzalishaji wa mazao kwenye mashamba ambayo inajumuisha uzalishaji wa mimea, ufugaji wa wanyama, na uvuvi wa samaki. Kilimo hulenga kuzalisha chakula, malighafi za nguo, na nishati kutoka kwa mimea. Mkulima ni mtu au shirika linalojihusisha na shughuli za kilimo kwa lengo la...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tune Shaaban Salim: Mshindi wa Tuzo ya Nyerere ya Uandishi Bunifu Maktaba

    TUNE SHAABAN SALIM MWANDISHI NGULI NA MSHINDI WA TUZO YA NYERERE YA BURT AMEFIKA MAKTABA Leo nimetembelewa Maktaba na mwandishi Bingwa na Mshindi wa Tuzo ya Nyerere ya Burt inayoshindaniwa na waandishi vijana kutoka Tanzania, Ethiopia, Kenya na Ghana. Amekuja kunipa kitabu chake, ''Posa za...
  18. Mabula marko

    JamiiForums Tanzania SoC04 Silikoni Bongo Mkombozi wa Bunifu Tanzania, ili kuchochewa ongezeko la ajira katika nchi yetu

    SILIKONI BONGO MKOMBOZI WA BUNIFU TANZANIA, ILI KUCHOCHEA ONGEZEKO LA AJIRA KATIKA NCHI YETU Utangulizi Ukitazama picha hapo juu wazo la uumbaji wa ulimwengu kama ambavyo maandiko matakatifu hutueleza linakuijia kichwani, lakini vile vile ukiendelea kuangalia vizuri utaona nembo za bunifu...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kasulu: Eneo la NYAKITONTO, Kamchape wanahatarisha usalama wa raia na Polisi wapo kimya!

    Ni muda sasa kumekuwepo na hili wimbi la watu wanaojiita kamchape kiboko ya kutoa uchawi katika wilaya ya kasulu. Mwanzoni Serikali kupitia jeshi la polisi walitoa maonyo kuhusu hawa watu lakini wananchi wengi waliyapuuza. Kinachotokea sasa wanadhalilisha watu, wanatengeneza chuki dhidi ya...
  20. Msanii

    JamiiForums Tanzania Serikali inashindwa nini kutunga sheria ya mamlaka ya kuendeleza tafiti na bunifu za Teknolojia

    Siyo siri, hatuwezi kuendelea kwa kutegemea ujimba tunaoukumbatia. Tunajua kwamba serikali inajenga hofu kubwa sana kwenye suala la mawasiliano kwa sababu mpaka leo inajiweka mbali kwenye maendeleo ya ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano. Dunia inakimbia kwa kasi mno, na sasa akili bandia...
Back
Top Bottom