HAkuna utofauti wa sisi na ecosytem ya mbugani
Ni basi tu Sisi ni wanyama tulio vaa nguo.
Mjini na vijijini hakuna tofauti na mbugani.
Bila ya ku-evolve kuwa kama fisi, utalika kikatili kama swala, unang'atwa nyama ya paja huku ukiwa hai ukisikilizia maumivu.
Hakuna faraja ya mnyonge hapa...
Kama ningekuwa mimi ningemfukuza uwanachama wa CCM mzee Sinde Warioba kwa kulitoboa jahazi lizame na waliomo ndani yake waliwe na papa.
Sera ya CCM ni serikali mbili, yeye anataka serikali 3. Hii haitoshi kumvua uanachama wake?
Mzee Warioba haoni zuri hata moja CCM na serikali yake wanafanya...
Kihisitoria, Makamu wa rais wa kwanza kujiuzulu nchini alikuwa Aboud Jumbe.
Alirubuniwa na wachoyo na walafi wa madaraka hasa vijana wakiongozwa na marehemu Seif Shariff Hamad ili wamuondoe wachukue ukanda wakaisha kuishi na kufa kwa upanga kama walivyoishi kwao. Nchimbi kaondolewa. Tunajua ni...
Mungu ananilinda, Dkt samia suluhu ndo raisi wa nchi na Jakaya Kikwete baba wa taifa aliebaki yupo mzima wa afya wacha waandamane wataisoma number
Moja ya vitu nashukuru Mungu ni uwepo wa Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete, anayeijua ccm na serikali na viongozi wastaafu na wapinzani...
Utawala wa Samia umefanya makosa makubwa ya kimkakati (strategic mistakes) yaliyoweka fursa ya kushitakiwa na kunyongwa.
Kosa la kwanza ni "Coup D'etat" mtu yoyote anayejua siasa na sheria anafahamu October 29 Samia na Washirika wake walifanya mapinduzi dhidi ya maamuzi ya kiraia (Katiba...
Mji mdogo wa Bomang'ombe, uliopo Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, umekuwa ukikua kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni. Hata hivyo, ukuaji huu umeletwa na changamoto kubwa ya uanzishwaji wa viwanda vidogo katikati ya makazi ya watu, jambo linaloathiri utulivu na maisha ya wananchi.
Kumekuwa...
Anonymous
Thread
hai
makazi
makazi ya watu
mdogo
mji
nani
ndani
viwanda
viwanda vidogo
Iran imetoa video ya zamani ya Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei akiwa hai, baada ya taarifa zinazodai kuwa alijeruhiwa vibaya katika shambulio la Marekani na Israel.
Iran imeripoti siku ya Jumapili kwamba Mojtaba amekutana na rais wa Iran Masoud Pezeshkian, ambae anaanza mwaka wake wa...
Nashindwa kuwaelewa kabisa hivi vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama viko wapi?
Mtu anahamasisha watu wapiganie Katiba huu ni ugaidi na Uhaini wa wazi kabisa...Anataka kuiondoa serikali Tukufu iloyochaguliwa kwa Asilimia kubwa 98%
Vyombo vya ulinzi vipo tu vinamuangalia huyu Mtu
IGP, Mkuu wa...
Kila nafsi iliyoonja uhai lazima itafikwa na umauti. Sisi sote tutakufa. Hakuna mtu atakayeondoka hapa duniani akiwa hai.
Hii ni lazima na sio hitari. Sio mtoto sio mkubwa. Sio Kijana sio mzee. Sio mwanaume sio mwanamke.
Sio mfalme wala mtumwa. Sio tajiri wala maskini. Sio mwerevu sio mjinga...
Nmeona sehemu kadhaa watu wakifurahia na kunywa pombe toka asubuhi wakifurahia na kuchekelea kwa yule jamaa mbabe wa JF kufungiwa. Kwa kweli kumekuwa na utulivu kwa baadhi ya watu huku wengine wakifanya sherehe .
Mod uliyefanya hivyo weka namba yako ya simu hapa yufanye tone tone. Chizi Maarifa...
Kwa Peter Msigwa, Akili, Uwezo, Ubunifu wake ndani ya CCM Ulikua ni 'Umefungwa'.
Peter Msigwa nayemfaham yeye hawezi kaa kuvumilia Watu watekwe, Kuuwawa, Kusumbua Kanisa, Kufunga wapinzani Kufungia Chama , Maisha ya Mtanzania kua Juu, Gharama kupanda ,huku Mafisadi wachache wakijineemesha ...
Habari, tunaomba msaada wa kutupazia sauti juu ya changamoto kubwa tunazokumbana nazo sisi watumishi katika Wilaya ya Hai.
Mimi ni Afisa Mtendaji niliyeajiriwa mwaka 2024 katika Wilaya ya Hai. Hadi sasa, sijapatiwa fedha ya kujikimu kama inavyostahili kwa mujibu wa taratibu za ajira serikalini...
Muache ngonjera za kusema Aliruka na kutokomea akiwa na PINGU.
Ukimfunga Mtu Míkono kwa namna yoyote ile, UMEMUONDOLEA BALANCE YA KUKIMBIA , HIVO HAWEZ KUA NA UWEZO WA KUKIMBIA KWA KASI HATA KUWASHINDA MAASKARI
UHUNI MLOUFANYA KWA POLEPOLE, KWAKUA HAMNA AKILI, NDIO MNAURUDIA ULEULE
Ni kweli Humphery sababu ya kisema ukweli tu kuwa Rais Samia anaiba rasilimali za Watanganyika?
Kosa lako lilikuwa ni nini?
Kuwaeleza ukweli Watanganyika kuwa Samia ni zao la wanaCCM chini ya mstaafu?
Mkiti msaafu wa Chadema Freem mbowe wamekutana na mkuu wa wilaya ya Hai Mstaafu Lengai Ole Sabaya katika msiba wa Mama yake mbunge wa Hai Saasisha Mafuwe.
Katika Msiba Huo,mbowe amesema yeye ameshamsamehe sabaya kwa mambo yote kwa hakuna mwanaadamu mkamilifu.
Nae sabaya alipopata nafasi ya...
Miaka 100 kuanzia sasa yaani mwaka 2126 sisi tulio hai leo, hatutakuwepo kwenye uso wa dunia.
Kwa takwimu za mwaka huu, dunia ina watu takribani bilioni 7.8. maana yake miaka 100 ijayo dunia itakua imemeza watu wote hawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.