kuandaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuandaa chakula bora murua kwa jina la kichuri

    Kichuri ni chakula kinachotengenezwa kutokana na mabaki ya chakula kilichosagwa tumboni mwa ng'ombe kabla ya kutolewa kama kinyesi. Kinapendeza sana kuliwa pamoja na nyama choma. Ni maarufu miongoni mwa Wakurya. Mabaki ya tumbo (kichuri mbichi) kutoka ng'ombe/mbuzi — safisha vizuri. Nyongo...
  2. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mimi binafsi riport ya Tume ya Jaji Chande naona kama wamepoteza kodi zetu kuandaa ujinga

    Unaweza kudanganya lakini huwezi kudanganya miaka yote hiyo tume imepoteza kodi zetu na kuja na riport ya kijinga namna ile ? Uliona wapi mtu ambae ndo anatuhumiwa kwa mauaji anaunda Tume ya kujichunguza? Kwenye hiyo Tume...
  3. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Israel kuandaa tamasha la LGBT

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel imetangaza kuandaa tamasha kubwa la jamii ya LGBTQ+ (mapenzi ya jinsia moja) linalofahamika kama "Pride Land," ambalo linatarajiwa kufanyika katika fukwe za Bahari ya Chumvi mwezi Juni. Tukio hilo limetajwa kuwa tamasha kubwa zaidi la aina yake kuwahi kufanyika...
  4. CyberTz

    JamiiForums Tanzania Haja ya vyuo vikuu na vyuo vya kati kuandaa mazingira bora ya wanafunzi kujifunza kwa vitendo katika masomo yao

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati kuhitimu elimu zao bila kuwa na ujuzi wa kivitendo katika taaluma walizozichagua. Hali hii imesababisha changamoto kubwa mitaani, hasa katika mchakato wa kutafuta ajira. Nitazingatia zaidi upande wa kada za teknolojia. Hii ni...
  5. Chibike

    JamiiForums Tanzania Imefahamika: Wamoroko walishinikiza CAF wawape ubingwa ili waweze kuandaa WAFCON, sababu nyingine mbili zisome hapa chini

    Ukweli ndio huo ndugu zangu waafrika. Imebainika hivyo ya kwamba michuano ya WAFCON kwa wanawake ilimsimamishwa ghafla kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi, ila imekuja kubainika ya kua kumbe wamoroko walitoa mashinikizo makubwa na vitisho kwa CAF kuhusu rufaa yao kua wanaitaji kushinda na wawe...
  6. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Bungea La Tanzania kuandaa mkutano IPU 153

    SPIKA wa Bunge Mussa Azzan Zungu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Martin Chungong, leo Februari 27, 2026, wamesaini mkataba unaowezesha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 153 wa IPU utakaofanyika Oktoba 2026 jijini Arusha. Spika Zungu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuandaa ramani ya maeneo ya dhahabu

    16 February 2026 Baraza la Dhahabu Duniani laashiria utayari wa kushirikiana na Tanzania kuimarisha sekta ya dhahabu - SADC https://m.youtube.com/watch?v=W9De1WL7Rh8 Baraza la Dhahabu Duniani World Gold Council limeonyesha utayari wake wa kushirikiana na Tanzania kuimarisha sekta ya dhahabu...
  8. Amicable Group

    JamiiForums Tanzania Je, unapata changamoto katika kuandaa au kuwasilisha TRA Returns zako?

    Je, unapata changamoto katika kuandaa au kuwasilisha TRA Returns zako? Usihangaike tena — tupo hapa kukusaidia kwa haraka, usahihi na kwa kuzingatia sheria zote za TRA. Tunatoa huduma zifuatazo: ✔ Kuandaa na kuwasilisha VAT Returns ✔ Income Tax Returns (Individuals & Companies) ✔ SDL, PAYE &...
  9. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Harmonize jana arudi kupiga show za club na sio kuandaa matamasha tena

    Wakuu jana usiku wa kuamkio leo Kondeboy ameonekana visiwa vya Zanzibar akipiga show kwenye club moja ambapo watu walikuwa akisherehekea Christmas. Limekuwa jambo la tofauti sana kutoka Harmonize yule wa kuandaa concert kubwa leo hii karejea mitaani tena. Naona kuvunga wameshindwa na kumbe sisi...
  10. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Zelensky asema yupo tayari kuandaa uchaguzi

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amesema yuko tayari kuandaa uchaguzi wa urais ndani ya siku 60 hadi 90 endapo hali ya usalama na masharti ya kisheria yatatimizwa, akitoa wito kwa Marekani na washirika wa Ulaya kusaidia kuandaa mazingira salama kwa uchaguzi huo wakati wa vita. ‎...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Uhakiki wa video za CNN unaendelea, serikali inatoa wito wa CNN kufuata weledi na maadili ya uandishi

    Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema: Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari. Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
  12. biz_mtaa

    JamiiForums Tanzania Unatamani kuanzisha biashara ya event planning? Zijue hizi siri za kufika malengo ya wateja wako katika kuandaa matukio yao

    Kama mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya event planning, jambo kubwa linalokutofautisha na ushindani ni uwezo wa kuhakikisha kila tukio linaendana na malengo ya mteja wako. Tukio linaposhindwa kuendana na matarajio ya mteja, linageuka hasara, sio tu kwa mteja bali pia kwa sifa ya biashara...
  13. Knock life

    JamiiForums Tanzania Watu weusi tunashindwaje kuandaa wealth generation kama Rockefeller Family , ili watoto wetu wasiishie kuwa vibarua au bodaboda!

    Ukisoma historia ya Rockefeller Family . Unaona kabisa lipo swala la kujifunza sisi watu weusi au blacks. Juzi nimeangalia Familia ya Job Ndugai naona kabisa Changamoto. pamoja na ukwasi wa Ndugai Ila ndugu zake wamechoka na kujikatia tamaa.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandaa Katiba ya Kampuni

    Usajili wa Kampuni unahitaji documents nyingi, moja ya document muhimu ambayo kama ikikosewa utakataliwa usajili ni "Katiba ya Kampuni" Ili katika yako iwe imekamilika inahitaji kua na vipengele kadhaa, hivi ni baadhi na vya muhimu zaidi; 1. Jina la Kampuni Jina la Kampuni linatakiwa kuonekana...
  15. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Sheria na taratibu za kufuata ili kuandaa pambano la masumbwi ni zipi? Kuna member watatu humu nataka niwadunde

    Bila kupepesa macho watu hao ni huyu jamaa anajiita Mume halali wa Ephen, mwingine ni huyu anajiita Mme Mwenza na watatu ni huyu secretarybird. Tajiri Sina BAYA nataka niwakunyuge kisawasawa hawa, tena ulingoni tukaingia wanne kwa pamoja, mimi nitakuwa mwenyewe tu wao watakuwa wananichangia...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mhandisi mwenye sifa kuandaa michoro ya plumbing kulingana na house plan ya vyumba vitatu. Plan imeshapata kibali cha ujenzi.

    Kama una huo ujuzi tuongee. Hata kama huna degree ya engineering ili mradi una uzoefu wa kutosha
  17. J

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA huu ni wakati wenu kuandaa Taifa Lijalo

    Habari wanajukwaa hili pendwa kabisa la Jamii forums/Jamii Afrika. Siku zote taifa imara linajengwa na vijana imara na sio vijana wa ovyo ovyo! Mara kadhaa tumeshuhudia mifumo yetu ya kuandaa vijana imara kulitumikia taifa ikifeki kwa kuchezewa na watu wachache kwa masikahi Yao binafsi. Hebu...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni documents 6 unazohitaji wakati wa kuandaa Financial statement.

    Kama wewe ni mfanyabiashara au Mmiliki wa Kampuni utakua unajua ni jinsi gani ni muhimu kuandaa Financial statement ya biashara yako kila mwaka. Ili uandaaji wa document hii uwe mrahisi, utahitaji kua na hizi documents 6; 1. EFD sales Hii utatumia ku track rekodi ya mauzo yote uliyofanya kwa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Ewe Mmiliki wa Shule/Chuo Tumia Njia hizi MPYA Za Kuandaa Hesabu Za Biashara Yako 2024

    Kama umekuwa ukivutana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) sababu ya kodi inayotokana na uandaaji wa hesabu za shule au chuo chako…Basi soma mpaka mwisho… UKWELI USIOPINGIKA…Zipo shule pamoja na vyuo mbalimbali hadi leo hii wamelemewa na madeni makubwa yatokanayo na kodi kutoka TRA. Hili siyo...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Msaada anaejua namna ya Kuandaa ndizi kwajili ya Export kwenda nje ya Nchi Nimuajiri anahitajika hata saivi

    Habari Ndugu Nina ndugu zangu waarabu wamepata tenda uko kwao ya kupeleka ndizi kwa maana ya export kwenda nje ya nchi za uarabuni na wamenieka mimi kuwa mtu kati yao niwasaidie na tunagawana percent ila sina ninachojua kwenye uandaaji na packaging ili zifike salama ninachojua ni ndizi...
Back
Top Bottom