Picha ya Addis Ababa, Ethiopia July 8, 1990 yajibu hoja ya MBOWE juu ya Rais Samia na Kikwete

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,948
Addis Ababa, Ethiopia July 8, 1990.

Rais Mwinyi akiwa na Rais mstaafu Mwalimu Nyerere na waziri wa mabo ya nchi za nje Mkapa.

Hoja ya Mbowe na CHADEMA kweney maandamano Arusha inakosa nguvu kabisa , ni ya hovyo, na chuki binafsi.

Picha kwa hisani ya maktaba ya Salim Ahmed Salim Digital Archive


Salim Ahmed Salim Digital Archive

1709393142839.png
 

Attachments

  • 1709392749098.png
    1709392749098.png
    365.7 KB · Views: 3
Addis Ababa, Ethiopia July 8, 1990
Rais Mwinyi akiwa na Rais mstaafu Mwalimu Nyerere na waziri wa mabo ya nchi za nje Mkapa.
Hoja ya Mbowe na CHADEMA kweney maandamano Arusha inakosa nguvu kabisa , ni ya hovyo, na chuki binafsi

View attachment 2922367
Upeo wako bado mdogo sana.

Hapo Adis Ababa na Nyerere ni kama Butiama. Yaani alikuwa anakwenda Addis Ababa kila mara kama msuluhishi wa migogoro mbali mbali katika nchi za Africa, hivyo uwepo wa Nyerere akiwa na Mwinyi hapo Addis Ababa hakuna ajabu.

Mkapa alikuwa ni waziri wa mambo ya nje kipindo hicho hivyo huko ndio ofisini kwake!

Hoja inabakia pale pale, kwanini Kikwete kila ziara ya mama ya nje ya nchi yupo tu?
Kwa Rostam hatuulizi maana sote tunajua Rostam ni dalali wa kimataifa.
 
Hujaeleweka
Ngoja nijitahidi
mwaka 1990 Mwinyi alikuwa rais wa JMT
Mwezi Julai alikwenda kwenye kikao Addis Ababa akiambatana na rais Mstaafu mwalimu Nyerere na waziri wa Mambo ya Nje Mkapa

Majuzi kwenye maandamano ya CHADEMA Arusha , Mbowe alijaribu kutueleza kuwa Kikwete kazidi- hakupaswa kuambatana na Rais Samia alipokwenda mwenye mkutano wa AU Addis Ababa. Kwamba huko ni kutumia vibaya fedha za serikali
 
Back
Top Bottom