Video: Hii Teknolojia ipigwe marufuku kwenye mikusanyiko ya watu

Shida sio technology, shida ni tabia za mtu binafsi
Huyo bwana ni chakula na anaoneka kabisaa..... Prank za hivi kabla camera man hajasogea basi PF3 inakungoja ukaifate......
 
😂😂😂😂

Huyo mjomba hapo aliyetomaswa amemstahi tu lakini kama mimi alikuwa anakula banzi moja hatakaa asahau.
 
Back
Top Bottom