Nimefungua Quraan,at random,na aya ya kwanza niliyoiona ni hii:
"Ewe Nabii! Endelea daima kwenye kumcha Mwenyezi Mungu kwa kuyafanya maamrisho Yake,na waumini wakufuate kwa kuwa wao wanahitajia hilo zaidi kuliko wewe,na usiwatii makafiri na watu wa unafiki. Hakika Mwenyezi Mungu ni mjuzi wa kila...