mafuta

 1. D

  Picha: Gari la serikali na mafuta ya serikali mtu anatumia shangingi hilo kwenda kulewa na kubebea malaya kwa Kodi za walala hoi

  Kuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi! SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali!
 2. S

  Gari nne likiwemo lori la mafuta zimegongana na kusababisha ajali Mlandizi, mmoja afariki

  Gari nne likiwemo lori la mafuta zimegongana na kusababisha ajali katika eneo la Mlandizi mkoani Pwani usiku wa kuamkia leo Julai 2, na kupelekea kifo cha mtu mmoja na majeruhi watatu, abiria wanaotokea Dar es Salaam wameshauriwa kutumia barabara ya Bagamoyo. Akifafanua zaidi kuhusu tukio hili...
 3. Kabinti ka ludilo

  Kyela mafuta hakuna wiki tatu sasa

  Wakuu heshima kwenu, Nasikitika kuwatangazia kuwa, eneo la Kyela halina mafuta kwa wiki ya tatu sasa. Inasemekana depo ya kutunzia mafuta huko Dar es Salaam wauzaji mafuta wamegoma kuaupply mafuta sheli ndogo za mikoani. Kinachoshangaza Ni kuwa sheli za eneo la boda na Tukuyu hata mbeya jiji...
 4. J

  Wakurugenzi wa Makampuni ya Mafuta ya PUMA, Oryx, TOTAL na Lake Oil wakamatwa na Polisi kwa kuvuruga mfumo wa usambazaji!

  Polisi jijini Dsm imewakamata wakurugenzi wakuu wa kampuni za mafuta za Puma, Total na Oryx waliokuwa kwenye kikao cha kibiashara. Kadhalika polisi wanamsaka mkurugenzi mkuu wa Lake Oil ili aunganishwe na wenzake. Imeelezwa wakurugenzi hao wanadaiwa kuvuruga mfumo wa usambazaji mafuta nchini...
 5. MC44

  Katoro Geita, yapata uhaba wa mafuta

  Siku ya nne leo tangu vituo vya kuuzia mafuta ya vyombo vya usafiri kufungwa mafuta yamekuwa adimu kulingana na mahitaji. Vituo hivyo vilifungwa kukiwa na tetesi za uchakachuaji wa vipimo. Adha tunazopata. Foleni kubwa kwa baadhi ya vinavyofanya kazi. Kupangiwa kiasi cha mafuta Pikipiki...
 6. Nyendo

  Vituo vitano vyafungiwa, vyafutiwa leseni kwa kuuza mafuta juu ya bei elekezi

  Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imevifutia leseni za uuzaji wa mafuta vituo vitano, kwa makosa ya kuficha, kutouza na kuuza mafuta juu ya bei elekezi huku ikotoa onyo kali kwa wauzaji wa nishati hiyo wanaojaribu kufanya hujuma na kukiuka maagizo ya Serikali. Akizungumza...
 7. technically

  Nchi haina hata mafuta watu mnashangilia

  Tuna akiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda nimepita Mpanda hakuna mafuta. leo nimefika Sumbawanga hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji...
 8. Return Of Undertaker

  Mafuta yaanza kuadimika, vituo vingi havina mafuta bei yafika 3000 huko ifakara, igunga, morogoro vijijini

  Mafuta petroli na dizel yamepotea kuanzia Mji mdogo wa Ruaha hadi Ifakara. Lita moja ya petrol twauziwa shs 3,000/ kwenye chupa. Yaani ni shida tupu. Ewura saidia please.
 9. Magane

  Kilombero: Mafuta ya Petrol na dizel yapotea

  Mafuta ya petrol na dizel yapotea kilombero siku ya nne sasa hadi ifakara. Walanguzi watulangua shs 3,000/ kwa lita ya chupa za barabarani. Ewura please lioneni tatizo hili .
 10. SPINE

  Mafuta ya kukoleza weusi wa nywele

  Habari wakuu , natumaini tunaendelea vyema na majukumu ya kila siku . Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu ,nina shida ya nywele zangu kuwa na uweusi wenye rangi ya ugolo kwa mbali. Nywele hazina uweusi mzuri, napata shida kidogo kwenye suala zima la utanashati . Kwa sasa natumia...
 11. K

  Tunaiomba Serikali itupie macho vituo vya mafuta hapa nchini

  Kwa siku za karibuni Serikali ilitangaza kushuka kwa bei ya nishati ya mafuta. Jambo hili lilifurahisha sana watumiaji wa nishati ya mafuta lakini liliwakasirisha sana wenye vituo vya mafuta. Kwa sasajinsi inavyoonekana, wenye vituo vya mafuta kama vile wana mgomo baridi. Vituo vingi ukitaka...
 12. F

  Bodi ya Maziwa kuharibu maziwa ya ng'ombe kwa kuyamwagia mafuta ya taa

  ITV leo asubuhi imemuonyesha Waziri wa Mifugo, Mhe. Luhaga Mpina akitoa maelekezo ya kuzuia vitendo vya KISHETANI vinavyofanywa na Msajili wa Bodi ya Maziwa Tanzania kuchafua maziwa ya ng'ombe yanayouzwa na Wajasiriamali wanawake katika eneo la Ubungo kwa kuyamwagia mafuta ya taa, au rangi ili...
 13. Analogia Malenga

  Faida za Mafuta ya Mkaratusi

  Mkaratusi ni mti wenye harufu nzuri na unapatikana kila sehemu duniani. Mafuta hukamuliwa kutoka kwenye majani yake na kuweza kutumika kama tiba Hutuliza kikohozi. Hii ni kwa kujichua kwa mafuta kwenye kifua na koo kuondoa dalili zote za kikohozi. Husafisha kifua, kwa vifua vya kubana na kamasi...
 14. Nyendo

  Mmiliki wa kituo cha mafuta kufikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi

  Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa kushirikiana na ofisi ya Taifa ya mashtaka mnamo tarehe 22/06/2020 itamfikisha katika mahakama ya wilaya ya Simanjiro mmiliki wa kituo cha mafuta Simon Lemeya kilichopo Wilaya ya Simanjiro Simon Lemeya Tukai. Lemeya...
 15. miss zomboko

  Serikali kuwasaka wafanyabiashara wanaoficha mafuta au kuuza mafuta juu ya bei elekezi

  WAZIRI wa Nishati, Dk Medard Kalemani ametoa siku saba kuanzia jana kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) na Wakala wa Kuagiza Mafuta kwa Pamoja kuwasaka wafanyabiashara wanaofi cha mafuta au kuuza mafuta juu ya bei elekezi na kuwachukulia hatua za kisheria. Akizungumza...
 16. Z

  Partnership : Biashara ya uuzaji mafuta ya gari

  Habari Ningetaka kuanzisha biashara ya uuzaji mafuta ya gari Ninatafuta partner. Masharti : Awe na skype, tuzungumze kwa haraka. Kama hapendi kuandika / Kusoma, sina haja. Ahsante
 17. B

  Naomba kujuzwa Uulaji wa mafuta wa Toyota V8

  Naomba kujua ulaji wa mafuta wa gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 kwa upande wa injin ya disell na petrol per KM. Toyota Land Cruiser V8
 18. R

  TPDC kuanzisha vituo vyake vya mafuta kwa kasi kila wilaya, Je tutarajie anguko na kifo cha GPSA katika kumiliki vituo vya mafuta?

  Habari zenu wanabodi. Siku chache zilizopita TPDC ilifungua rasmi kituo cha mafuta cha kisasa kabisa Musoma mjini, na jana wamefungua tena huko Segera mkoani Tanga na katika mahojiano na vyombo vya habari Mkurugenzi mkuu wa TPDC ndugu James Mataragio, Alinukuliwa akisema kwamba lengo lao ni...
 19. MziziMkavu

  Zijue faida ya matumizi ya mafuta ya zaituni olive oil

  Mafuta ya Zaituni Olive Oil Mafuta ya zaituni yana manufaa mengi katika mwili na maisha ya binadamu kwa ujumla kama ifuatavyo; (1)Mafuta ya zaituni hutibu maumivu ya tumbo kwa kunywa kijiko 1 mara 2 kwa siku kwa muda wa siku 7 hadi siku 11 inshaallah...
 20. J

  Gairo: DC amtuhumu mwenyekiti wa CCM kuhongwa gari na mbunge Shabiby mwenyewe akana asema amenunuliwa na Dr Mwigulu kesi iko Takukuru

  Mkuu wa wilaya ya Gairo amemtuhumu mwenyekiti wa CCM wa wilaya kwamba amehongwa gari na mbunge Ahmed Shabiby ili wambebe kwenye uchaguzi. Mkuu wa wilaya amewataka Takukuru wamshughulikie mwenyekiti huyo. Naye mwenyekiti wa CCM amesema gari hilo hajahongwa na Shabiby kama inavyodaiwa bali...
Top Bottom