marufuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ahmed Khalifa: "Linda nchi zenu, utambulisho wenu, mustakabali wa watoto wenu. PIGA MARUFUKU Uislamu wa kisiasa"

    Ahmed Khalifa ni mchambuzi wa kisiasa anaehishimika sana mashariki ya kati.
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Polisi : Marufuku Bajaji kubeba abiria siti ya Mbele.

    Sheria ipo, polisi hapa anakumbushia tu, abiria wa bajaji ni 3 tu, hao wanaozidi wakipata ajali bima haiwatambui. Bajaji kalipa LATRA kubeba abiria 3 u, wewe unayeongezea untafuta balaa tu. Bajaji zote zinazopata ajali na bairia mbele, hakuna anayepona , sababu, derev anakuwa kashikilia...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Brazil wamepiga marufuku online gambling/betting. Tanzania iige?

    Rais Lula wa Brazil amepiga marufuku kamari ya mtandaoni nchini Brazil siku kama nane kuelekea uchaguzi wa Rais. Madai ni kuepuka matatizo ya kiafya na kiuchumi? Tanzania nayo ipige marufuku online gambling kama kubet, aviator na online casinos?
  4. R

    JamiiForums Tanzania LATRA yapiga Marufuku Mawakala kukamata au kuwachomolea funguo Bodaboda na Bajaji

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imewapiga marufuku mawakala wake kuwakamata madereva wa bajaji na pikipiki, kuwachomolea funguo au kufanya shughuli za utekelezaji wa sheria. Hatua hiyo inakuja wakati baadhi ya mawakala wakidaiwa kuwavizia madereva katika makutano ya taa za...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya CNN, MSNBC, na Politico vyapigwa marufuku kuingia Ikulu ya Marekani,

    Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kuwa anapiga marufuku mara moja vyombo vya habari vya CNN, MSNBC, na Politico kuingia Ikulu ya Marekani, kutokana na kile alichokiita kuripoti habari za uongo bila kukoma. Pia alisema kuwa vyombo vingine vya habari vinatarajiwa kuzuiwa kuingia huko hapo...
  6. O

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, Kenya Imepiga Marufuku Usafirishaji wa Gold Yote Nje ya Nchi?

    Taarifa kuhusu sera mpya ya madini zimeibua dhana kwamba Kenya imepiga marufuku kabisa export ya dhahabu, hivyo gold yoyote inayochimbwa nchini haiwezi tena kuuzwa nje.
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kufanya harusi na mwanamke aliyemeza mikia mingi ni kujichoresha na kujizima data

    KUFANYA HARUSI NA MWANAMKE ALIYEMEZA MIKIA MINGI NI KUJICHORESHA NA KUJIZIMA DATA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. ANGALIZO; Mada hii sio nzuri kwa watu ambao hawana bikira na hawajaolewa. Na pia waliooa ambao wanawake wasio bikira. Na vijana wenye wachumba ambao hawakuwakuta bikira...
  8. M

    JamiiForums Tanzania CNN yapigwa marufuku. Maria na Mange watakuja juu?

    Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa CNN, MSNBC na Politico hazitaruhusiwa kuingia White House, katika kile kinachoonekana kuwa hatua mpya ya mzozo wake wa muda mrefu na vyombo vya habari. Mange na maria watakuja juu kupinga?
  9. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku ndege ya abiria kukatiza eneo hili la Anga ya morogoro

    Ni nadra sana kukuta ndege isiyo ya kijeshi kuruka eneo hili kutokana na ukweli kwamba ni eneo la jeshi hivyo kuruka hapa kwenye hii boundary zone pasipo ruhusa jwtz komandi ya Anga hawana budi kuwatungua🫵🫵😎. Picha hii hapa inajieleza.
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo, iwe ni Marufuku kwa CHADEMA /Wanaharakati kumzungumzia Mbowe, kumzungumzia ni kumfanya aonekane ana umuhimu

    Mkimuona Mbowe popote pale, awe kwenye Mradi wa Serikali, awe añaupiga picha na Samia, Awe kwenye chombo chochote cha habari, MPUUZENI, MSIMUONGELEE KWA NAMNA YOYOTE ILE. Hana jipya, keshajifia kisiasa. Kauli ya Leo ya Mh Lissu , Mandela wetu, imemzika Rasimi Mbowe, Hana Tena msaada wowote...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Yajue maeneo ambayo ni marufuku kupiga picha Dar es Salaam

    Kabla sijaenda naomba kwanza nisahihishe jambo moja muhimu: si sahihi kusema kwamba kila eneo hapa chini lina sheria ya jumla inayosema “hairuhusiwi kupiga picha.” Baadhi ni maeneo nyeti ambayo hupaswi kupiga picha bila ruhusa, na baadhi yana restrictions maalumu, hasa maeneo ya kijeshi na...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kupiga marufuku vyombo vya plastic kwa matumizi ya chakula?

    Chembechembe za plastic(microplastic) ni moja ya vitu hatari kwa afya. Huleta kansa na pia kuathiri hormones mwilini, hasa za uzazi. Chembe hizi hutokea hasa chombo cha plastiki kikipigwa na moto au jua. Kwa kawaida huwa kuna plastic maalumu kwa ajili ya chakula(food grade) ambayo imeonekana...
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dkt. Rioba: Nilipiga marufuku nyimbo za kuwatishia wapinzani kupigwa TBC

    Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha One on One cha Wasafi Media kilichorushwa leo Julai 28, 2026. Uchaguzi huu ulioisha, niliwaambia naomba nyimbo kama zile, wapinzani hawa tuwachinje chinje, tuwakishe kete, sitaki kusikia wimbo wa aina hiyo TBC. Kwa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lipige marufuku na kuzuia mkusanyiko unaotaka kufanywa na BAVICHA mkoani Dodoma tarehe 12 Agosti kutokana na kuwa na viashiria vibaya

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona tangazo la Mwenyekiti Wa BAVICHA Taifa Deogratias Mahinyila Akisema watakuwa na mkusanyiko wa vijana utakaofanyika pale Dodoma wakitaka ama wakiwa na ajenda za kutaka Katiba mpya na kuzungumza mambo mengine ya kisiasa . Sasa kwa jicho la kijasusi na jicho la...
  15. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Malori marufuku mchana Mwanza

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Wakili Kiomoni Kibamba amesema magari makubwa hayatakuwa yakiruhusiwa kushusha mizigo katikati ya Jiji la Mwanza wakati wa mchana, hatua inayolenga kupunguza msongamano wa magari na kuwezesha Wananchi kufanya shughuli zao kwa urahisi. Akizungumza...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Aunguruma. Apiga Marufuku Na kutoa Maagizo ya Kukamatwa na kufuatiliwa viongozi Wanaojadili kuhusu Uchaguzi Wa 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Amepiga Marufuku Na kutoa Maagizo Mazito kwelikweli ya kufuatiliwa na kukamatwa wale Viongozi Wote Ambao wamekaa maofisini na kwenye makundi ya Wasapu wakifanya kazi ya kujadili kuhusu Uchaguzi...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda aenda Kuandamana Paris Ufaransa kisa Kiswahili huku Tanzania Maandamano ya KATIBA MPYA yakipigwa Marufuku

    Paul Makonda na Serikali yake Wamefungia Maandamano Tanzania, lakini ajabu ameenda kuandamana Nchi ya watu tena kapewa Ulinzi. Aliandama huku akitabasamu akifurahia kuandamana. Annatumia mmaandamano kueneza ujumbe kuhusu Kiswahili. Ila ukimwambia tuandamane kuhusu Katiba unaitwa mhani sababu...
  18. idiomer

    JamiiForums Tanzania Kwanini Levamisole imepigwa marufuku ?

  19. T

    JamiiForums Tanzania TUACHANE NA HABARI YA KUPIGA MARUFUKU MIKUTANO YA KISIASA. CHA MSINGI TUJADIRI MAANDAMANO YA 7/7 NA KUSISITIZA UMUHIMU WAKE

    Kwa wale wapenda nchi na haki naomba tujadili jinsi ya kufanikisha maandamano ya 7/7. Ishu za kuwaongelea hao viongozi fake ni kupoteza muelekeo kabisa. Na wanataka kututoa katika reli. Tuanze kutumia muda mwingi kujadili matamko yao. Hapa ishu ni moja tu. Je tumesalenda kwa matamko yao ama...
  20. Inside10

    JamiiForums Tanzania Adhana Kupigwa Marufuku Denmark

    Serikali ya Denmark imefungua upya ukaguzi wa pendekezo la sheria inayohusu wito wa kupiga marufuku 'Adhana' kusikika tena nchini humo, Waziri wa Uhamiaji Morten Bødskov alithibitisha kuwa serikali itaanza tena uchunguzi wa iwapo katazo la nchi nzima la kutangaza mwito wa Kiislamu wa sala...
Back
Top Bottom