kidijitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NkomaBakhosi

    JamiiForums Tanzania Je, tunaepuka vipi kifo cha Utambulisho wetu kidijitali? Uchambuzi - barabara na reli hazitatoshi kulinda Taifa.

    Wana-JF, Kuna aina ya utajiri ambao taifa linaweza kuupoteza bila wenyewe kugundua. Mzee mmoja anapofariki kijijini, simulizi zote ambazo hazijawahi kuandikwa kwenye vitabu zinakufa pamoja naye. Lugha yetu ya asili inapopoteza watoto wanaoizungumza, sehemu kubwa ya kumbukumbu ya jamii...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wataka Ushiriki Mkubwa wa Vijana katika Ubunifu wa Kidijitali Afrika

    Viongozi wa Serikali, sekta sekta binafsi na wadau wa teknolojia wametoa wito wa kuongeza uwekezaji kwa vijana katika ubunifu na ujuzi wa kidijitali ili kuiwezesha Afrika kutoka katika utegemezi wa teknolojia na kuwa mzalishaji wa suluhu za kidijitali zinazoendana na changamoto za maendeleo ya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Content Creator jamiiclub: Ajira Mpya Katika Dunia ya Kidijitali

    Habari wakuu, Ninaamini kuwa Content Creator ni aina mpya ya ajira katika dunia ya kidijitali, na inaweza kuwa fursa muhimu kwa vijana kujiajiri na kujenga vyanzo vyao vya kipato. Kwa sasa, mitandao ya kijamii imewezesha watu kushiriki mawazo, maarifa, vipaji na ubunifu wao kwa hadhira kubwa...
  4. bless on

    JamiiForums Tanzania Chapa ya mnyama unabii na pesa za kidijitali

    Miaka ile wakati nasoma Biblia ikiwa imeandika kwamba siku hizo hutouza wala kununua kitu mpaka uwe na chapa ya mnyama nikawa nashangaa sana. How? Tunaenda sokoni, dukani, tunanunua mahitaji yetu, sasa hii chapa ya mnyama itatumikaje? Nikaona ebu tusubiri labda ni nyakati ambazo sisi tutakuwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania Utangulizi Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania Utangulizi Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
  7. Street brain

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya 'Uhandisi wa maadili ya kina' (Hyper-Moral Architecture): Silaha ya siri ya kulinda akili yako dhidi ya utekaji wa kidijitali

    Mwanafalsafa Friedrich Nietzsche aliwahi kuandika: "Yeyote anayepambana na monsters anapaswa kuangalia asije akawa monster mwenyewe." Kwenye ulimwengu wa leo, kila mtu anatafuta mbinu za "kijasusi" ili kuwazidi wengine kete (manipulation, dark psychology, na power moves). Lakini leo nataka...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Tumaini Nagu: Serikali imeelekeza matumizi ya mifumo ya Kidijitali katika vituo vya afya ili kuongeza ufanisi

    Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Tumaini Nagu, amezielekeza Timu za Usimamizi wa Huduma za Afya za Mikoa na Halmashauri kuimarisha matumizi ya mifumo ya kidijitali katika vituo vya kutolea huduma za afya ili kuongeza ufanisi wa...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna stori kuwa huyu sheikh kaikataa mimba ya huyu binti, binti naye karuka nae kidijitali kumuabisha

  10. bless on

    JamiiForums Tanzania Gereza la Kidijitali: Je, Usajili Ni Pingu Yetu?

    Wanasema duniani hakuna kitu cha bure. Lakini vipi kama "urahisi" na "usalama" tunaopewa leo ndiyo pingu za kesho? Hebu piga picha: Unaamka asubuhi, unataka kununua mkate, lakini M-Pesa yako inakataa. Unajaribu kuingia kwenye basi la mwendo kasi, kadi inasema "Hujaruhusiwa." Unajaribu...
  11. gonya

    JamiiForums Tanzania Data Science: Fursa na umuhimu wake kwa vijana wa Tanzania katika enzi ya uchumi wa kidigitali

    Utangulizi Katika karne ya 21, dunia imeingia katika enzi mpya ya mabadiliko ya kidigitali (digital transformation). Kila siku, mabilioni ya taarifa (data) huzalishwa kupitia simu za mkononi, mitandao ya kijamii, benki, hospitali, biashara, mifumo ya usafiri, na hata mashine za viwandani. Hata...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi: Kutoka Kwenye Udhibiti wa Kisiasa Hadi Kwenye Ulinzi wa Nguvu Kazi na Mamlaka ya Kidijitali.

    KWA: Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi Wote wa Mataifa ya Afrika. KUHUSU: Vita Mufilisi Dhidi ya Sauti za Wananchi na Kupuuza Bomu Halisi la Kiuchumi na Usalama wa Taifa. Waheshimiwa Viongozi, Nawaandikia waraka huu wa wazi kutoa tahadhari ya kimkakati kuhusu mwelekeo wa sasa...
  13. contask

    JamiiForums Tanzania Kwanini sekta ya usafiri imegoma kuingia katika mifumo ya kidijitali

    Habari wakuu. Leo natamani tujadili mapinduzi ya mifumo ya malipo kwenye sekta yetu ya usafiri wa umma, hasa hapa mjini ambapo kero ya chenji imekuwa ya kudumu. Kila siku tunashuhudia mabishano yasiyo na tija kati ya abiria na makondakta, jambo ambalo linaweza kuisha kabisa tukiamua...
  14. NassoroTechtz

    JamiiForums Tanzania SAFARI YANGU: Nassoro Hemedi Kilimbite na Mapambano ya Nassoro TechTz – Huduma za Computer, Madishi na Mifumo ya Kidijitali

    Habari za muda huu Wakuu wa JamiiForums. Leo nimeona niingie mtaani kwenu rasmi. Jina langu ni Nassoro Hemedi Kilimbite, kijana wa kitanzania niliyezaliwa mwaka 2000. Mimi ni mmoja wa vijana wanaoamini kuwa teknolojia ndiyo mkombozi wa uchumi wetu wa sasa na chachu ya maendeleo kwa kila...
  15. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale 2023 Mercedes benz c200 ya kidijitali naileta rasmi sokoni

    A V A I L A B L E NOW‼️ Bei/Price🏷️👉🏾TSH 130M Call📞+255 747 999 927 MERCEDES BENZ C200 AMG Year: 2023 Engine: 1,990Cc Mileage: 91,000+ Fuel Used: PETROL Transmission: AUTO ✨360° Camera ✨Cruise Control ✨Ambient Lights ✨Panoramic Roof ✅Clean Interior ✅100% Duty Paid ✅Free Registration ✅Swap...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kuna aina mpya ya kutengwa kwa njia ya kidijitali kwenye magroup, ni kitu nilichogundua kinawumiza wengi

    Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
  17. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China yasaidia Afrika kuingia katika zama za kidijitali

    Katika enzi ambapo utandawazi na Mapinduzi ya Nne ya Viwanda yanapokutana, mageuzi ya kidijitali yamekuwa nguvu muhimu ya kuhimiza maendeleo. Kwa bara la Afrika, mageuzi ya kidijitali si kama tu ni fursa ya kihistoria ya kutimiza maendeleo endelevu, bali pia ni njia kuu ya kutekeleza Ajenda ya...
  18. President of China

    JamiiForums Tanzania China, Tanzania, Russia Kushirikiana Kurusha Satelaiti 2026: Je, Huu Ndiyo Mwelekeo Mpya wa Ulinzi na Uchumi wa Kidijitali? (Eneo Chamwino Dodoma)

    Mpango wa pamoja kati ya China, Tanzania na Urusi wa kurusha satelaiti mpya ya kufuatilia masuala ya mawasiliano unaripotiwa kukamilika, na maandalizi ya hatua ya mwisho yanatarajiwa kufanyika mwaka 2026 katika Chamwino, Dodoma. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mwelekeo wa Tanzania katika...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sijawai kumkubali Mange ila sioni anaemfikia hata robo kuconnect dots, kutumia mitandao kuingiza hofu au matumaini, kucontroll wafuasi, n.k

    Sijawahi kuwa fan wa huyu dada lakini siwezi kupuuza uwezo wake wa jinsi anavyoweza kufanya vingi kwa mpigo kwa kutumia mtandao tu lakini ninachojua kuna muda huwa anaongeza chumvi. kuconnect dots na ku analyze taarifa, kupewa taarifa ni kitu kimoja ila kukipangilia kiwe data inayoleta maana ni...
  20. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Katika Dunia ya Kidijitali, kwanini Mwananchi abebeshwe mzigo wa vitambulisho?

    Ni jambo la kusikitisha kuona mwananchi wa kawaida analazimika kubeba kadi takribani 10 kila siku ili kupata huduma mbalimbali. Kuanzia Kitambulisho cha Taifa (NIDA), kadi ya mpiga kura, kadi ya benki, ya ajira, ya bima ya afya, hadi kadi za usafiri au zile za klabu zaa michezo, mzigo huu wa...
Back
Top Bottom