kufufua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Mabasi kulazimishwa warudi Magufuli ni hujuma: lengo SGR ipate wateja na kutafuta mapato stendi kuu

    Jamani hii ni hujuma ya wazi kwa wamiliki wa mabasi; Serikali sikivu ni ile inayotatua kero, Lakini Tunashangaa sana badala ya kutatua Zinazidishwa: HAIWEZEKANI Mtakumbuka Enzi za mkurugenzi Kabwe aliyetumbuliwa na magufuli kwa ufisadi kupitia Stand, Sitaki kugusia makando kando ya uendeshaji...
  2. PSPA Pure'12 udsm

    JamiiForums Tanzania Kufufua uchumi kupitia usindikaji wa mafuta: somo kutoka tiper na fursa ya sasa

    Katika kipindi hiki ambacho dunia inakumbwa na misukosuko ya kiuchumi inayochangiwa kwa kiasi kikubwa na migogoro ya kimataifa, hususan katika ukanda wa Mashariki ya Kati, nchi nyingi zinazoagiza mafuta zimejikuta zikikabiliwa na mfumuko wa bei, kupanda kwa gharama za uzalishaji, na kudorora kwa...
  3. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kutazuka kiongozi wa kiroho atakayedai kuwa na uwezo wa miujiza ya kuponya magonjwa hatari na kufufua wafu

    🔥 TUKIO: KUZUKA KWA KIONGOZI WA KIROHO ATAKAYEDAI KUWA NA UWEZO WA MIUJIZA YA KUPONYA MAGONJWA HATARI NA KUFUFUA WAFU 🗓 Tarehe inayotabiriwa: Kati ya Septemba 13 na Oktoba 4, 2025 📍 Mahali: Kusini mwa Tanzania – Mbeya au Ruvuma, kwenye kijiji kilicho karibu na mlima au pori takatifu 👤 Mhusika...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Maswala gani matatu utaanza nayo ili kuufufua uchumi wa nchi hii endapo utapata nafasi ya juu katika uongozi?

  5. nimechafukwa

    JamiiForums Tanzania Ni muda wa kufufua mradi wa safari City Arusha

    Habari Wakuu, Safari City ni mradi wa Satellite City uliobuniwa na NHC mwaka 2016 ni miaka 10 imepita bila mradi kuendelezwa ukienda sasa hivi unakutana na mapori, barabara zimefunikwa na nyasi, ni muda sasa wa kufufua mradi huu muhimu kwani uko pembezoni panapojengwa uwanja wa Afcon nashauri...
  6. Capo_di_Tutti_Capi

    JamiiForums Tanzania Urusi yaanza kufufua ndege zake za abiria, kukabiliana na vikwazo vya nje

    Kwa miaka mingi usafiri wa anga wa kiraia wa Urusi umekuwa ukitegemea ndege na baadhi ya vipuli muhimu kutoka nje ya nchi kama Boeing na Airbus. Anga ya kirusi ilijaa ndege za kigeni, zikiondoa ndege za ndani, hivyo kuzuia miradi ya ndege kama vile Tu-204/214 kuendelezwa. Katika kipindi hiki...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu toa ushauri kusaidia Nchi ishinde kesi kimataifa na kufufua shirika la ndege

    Salaam, Shalom! Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini, Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini, Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za kutosha zilizonunuliwa Kwa Kodi zetu, ndege hizo mara kadhaa zimedaiwa kukamatwa kisa kuvunja baadhi ya...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kufufua Usafiri wa Reli ya Kati Kiwango cha META GAUGE Kutoka Dodoma Mpaka Singida

    SERIKALI KUFUFUA USAFIRI WA RELI YA KATI KIWANGO CHA META GAUGE KUTOKA DODOMA MPAKA SINGIDA "Je, Serikali ina mpango gani wa kufufua usafiri wa Reli kutoka Dodoma kwenda Singida? - Mhe. Martha Nehemia Gwau, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida "Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC)...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kampuni imebuni namna ya kutumia teknolojia ya AI kama njia ya “kufufua” wafu na kuwaunganisha na wapendwa wao walio hai

    Kampuni hiyo kutoka China imekuwa ikitumia teknolojia inayoiga akili ya binadamu (AI technology) kubuni nafsi ya kidijitali ya aliyefariki na kuwezesha jamaa zake kuwasiliana naye jinsi ilivyokuwa kabla ya kufa kwake. Teknolojia hiyo imesifiwa na wengi kwa kuwa inawapa waliofiwa faraja ya muda...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa viongozi na watu wote kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani

    Nawashauri hasa wanasiasa na waislamu, tusishinde kwenye maofisi ya vyama tu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani. Ni muda wa kusoma Quran mwezi huu wa Ramadhani. Tujifunze walikuwepo wengi lakini hivi sasa imekua history. Maisha baada ya kufa ndio maisha kuliko haya ya duniani. Pia...
  11. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Unahoji uhalali wa BBC kuhusu tuhuma za TB Joshua ila unashindwa kuhoji uhalali wa Gwajima Kufufua Mfu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Kama kuna jambo kwenye karne hii ya 21 linalowafanya Waafrika wafedheheke huko ulimwenguni basi ni haya mambo ya dini.Dini siyo tatizo ila tatizo ni Dini!. Narudia tena " DINI SIYO TATIZO ILA TATIZO NI DINI" Yawezekana members wenye akili nusu...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwangu ni kituko kuona mtu anamwamini mchungaji anaejinadi kufufua watu, wao kwanini walishindwa kufufua watu wao wa karibu?

    Kinachotokeaga ni kwamba mchungaji anaejinadi anaweza kufufua mtu huwa ni filamu inachezwa mbele ya watu weye imani kubwa kuzidi akili, kila kitu kimepangiliwa na wahusika wanapewa script. Wenye imani na hisia kubwa kuzidi akili hasa wanawake ndio huwa wanachotwa akili hapa na ndio maana...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Yanga inambidi amfunge Medeama goli 5 ili kufufua matumaini ya kufuzu

    Ki ukweli japo mi shabiki wa Simba nataka pia Yanga apite robo, sababu itakuwa heshima kwa TZ kuwa na timu mbili robo fainali, katika timu 8 (Hata Misri ni mara chache anafanikiwa kuingiza timu 2 robo fainali) Ili Yanga awe na nafasi ya kufuzu robo sio tu amfunge Medeama bali anatakiwa...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    Kwa Jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM (T) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 17 Mfungo Sita 1436 9 Januari 2015 TAMKO LA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM TANZANIA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI KWA WATANZANIA WOTE, JUU YA MUSWADA WA MAREKEBISHO YA...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kufufua Kilimo cha Umwagiliaji Kwenye Bonde la Bugwema

    AHADI YA MHESHIMIWA RAIS YATEKELEZWA - SERIKALI KUFUFUA KILIMO CHA UMWAGILIAJI KWENYE BONDE LA BUGWEMA Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokea na kukubali ombi la kufufua kilimo cha Umwagiliaji kwenye Bonde la Bugwema la Musoma Vijijini. Ombi hilo la Wana-Musoma Vijijini liliwasilishwa kwa...
  16. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kufufua shirika la Posta, kodi zilizopo sio rafiki pia sio rahisi kwa mteja kuzielewa

    Pamoja na kazi nzuri ya Serikali ya kuboresha uchumi na miundombinu, Nafikiri ipo haja sasa ya kuja na mpango mkakati wa kufufua shirika letu la posta kwani lina uwekezaji mkubwa wa miundo mbinu karibu Nchi nzima wa Mabilioni iliyojengwa kwa kodi za wananchi Kwanini tusije na mpango mkakati na...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kufufua Kiwanda cha Nguo cha MUTEX Musoma

    GHATI CHOMETE - SERIKALI KUFUFUA KIWANDA CHA NGUO MUTEX MUSOMA MASWALI NA MAJIBU BUNGENI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete ameiuliza swali Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara ambalo lilijibiwa na Naibu Waziri Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe "Pamoja na Uwekezaji...
  18. mgt software

    JamiiForums Tanzania Njia alizotumia Msukuma kuingia kwenye Siasa Za Fanana na Za Gwajima, Msukuma upambe kwa Lowasa mpaka unafiki Gwajima Kufufua Amina na Misikule!

    Wana JF Ukimwona kwa macho ya kurukaruka unaweza ukadhani Msukuma na Gwajima ni ndugu lakini hawana ubini kabisa japokuwa wote ni kabila moja la kanda ya ziwa. Katika harakati za kutafuta pesa wamejituma haswa na baada ya kufanikiwa bila kujari viwango vyao vya elimu wakajongea kwenye siasa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kufufua gari na kuipaka rangi

    Salama wanajukwaa, Nimejiangalia nimeona siwezi kununua land Cruiser amazon au jamii ya zile gari. Lakini nimejiwa na wazo nitafute gar kama hiyo ambayo imekufa ninunue bodi lets say mil 3 au 4 then nikanunue engine mpya mil 5 matengenezo niweke mil 5 rangi pamoja na kumodify nipeleke kwa...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mandonga ni fursa ya kufufua boxing, aangaliwe kwa jicho la kibiashara, anapromoti vizuri sana

    Binafsi niliacha kufuatilia ngumi baada ya checka na Rashid matumla kustaafu, lakini ni hivi karibuni naanza kufuatilia mchezo wa boxing kutokana na Tambo za mandonga. Kuna vitu kidoogo anavikosa, sponsors wakimuona, atakuwa vizuri. Huyu jamaa ni fursa ya kuunyanyua mchezo wa ngumi
Back
Top Bottom