Uchaguzi wa mwaka 2015 ulikuwa mgumu mno kuwahi kutokea tangu vyama vingi vya siasa vianzishwe. CCM ilipita kwenye tundu la sindano kushinda ule uchaguzi. Chama kilikuwa hoi mno. Kabla hata ya Lowassa kuhama tayari upinzani ulikuwa una nguvu mno kutokana na kuwepo vichwa hatari mno kisiasa...
Kuna watu wanaonesha kama vile maridhiano kati ya CHADEMA na CCM yaliyoasisiwa na Freeman Mbowe, na Samia Suluhu Hassan, ni upendeleo kwa CHADEMA na CHADEMA ni lazima washukuru kwa kuonewa huruma na Samia.
Hivi Taifa la Tanzania lilipata faida gani pale CHADEMA ilipokuwa inakandamizwa isifanye...
Meditation ni mazoezi ya akili ambayo hutumiwa kufikia utulivu wa ndani na kuboresha hali ya kisaikolojia. Ni mazoezi ya kimwili na kiakili yanayojumuisha kutulia kwa muda, kuzingatia mawazo au pumzi, na kuachilia hisia na mawazo yasiyofaa.
Kwa kawaida, meditation inalenga katika kupunguza...
Hawa Ewura naona wanamkakati wananchi tutembee kwa miguu katika shughuli zetu za kila siku.
Pamoja na gharama za maisha kuwa juu bado bei ya mafuta imepanda kwa Tshs. 149 kwa lita.
Mafuta ni bidhaa muhimu sana katika uchumi wa nchi hivyo kama yakipanda bei basi ni mara moja tu madhara yake...
Kuna watu tunawafahamu kabisa hawana hii elimu ila wako vizuri na unaweza shangaa wao ndio waliotusomesha mpaka leo tuko na degree na ma PhD ila wao hata hawakunusa karatasi.
Elimu ya darasani hii imerudisha maenndeleo ya wananchi nyuma kabisa. Mtu anauza shamba eti mwanae asome mwisho wa siku...
Sasa kama Wewe Kiongozi umeshindwa Kuwapatanisha wakati Unawamudu na ndiyo Umewateua kuwa hapo kwa Kukurupuka Kwako pasi na kuwafanyia Vetting au Kutokubali Ushauri wa Wasaidizi wako unataka Sisi Wananchi tuseme nini?
Hebu acheni Kutusanifu Wananchi.
Ewe mwanaume, kamwe mwanamke asikwambie kuwa hawezi kukutunuku mpaka pale mtakapofunga ndoa. Usikubali.
Inaweza tokea mkashindwa ku match code. Unaweza kuwa aina ya mwanaume unayesukuma ukuni kwa muda mrefu, kumbe mkeo akawa ni wa dakika tatu hoi ukajikuta ishakula kwako. Hii ilinifanya nioe...
Kitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo kwa kitaalamu huitwa Allium sativum. Jamii hii ilianza kutumika katika mabara mbalimbali duniani hususani Asia, Afrika na Ulaya takribani miaka 6000 iliyopita. Matumizi makuu nyakati hizo yakiwa viungo katika mboga na tiba.
Kitunguu...
Nyuki ni moja ya kundi la wadudu hatari sana ulimwenguni,wadudu hawa wana sumu kali wakikugonga unaweza kupoteza MAISHA kutokana na sumu yao. Ila maajabu ni kwamba nyuki huyu ndo mtengeneza asali.
Asali ni bidhaa adimu duniani,hii asali ni tiba asili na inatibu magonjwa mengi sana katika mwili...
Moja kwa moja niende kwenye hoja kuu
Na bila kupepesa maneno nalitaja kabisa shirika husika...ZANZIBAR INSURANCE ni zaidi ya wasumbusu
Tena nadiriki kabisa kuwaita matapeli wakubwa msiojua thamani ya mteja wenu
Sasa ni nini maana au faida ya kuikatia gari bima ya Comprehensive?
Yaaan nipate...
Katika uchenjuaji wa dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi nakupata faida kidogo au hasara.
Changamoto hii hutokana na uzembe wa mkemia aliekabidhiwa kwani wengi wao hufanya kazi kwakuangalia masilahi yao binafsi na sio bosi hivyo wengi hukosa kutoa ushauri mzuri kwa bosi na...
Ikiwa utajifunza hiki ninachoandika hapa basi dunia hii na wewe utakuwa mtu mbele za watu na majanga yatakuondoka na hautokuwa tena wa kutegemea watu wala kutaka msaada wa yoyote zaidi utakuwa ni baina ya wewe na Mwenyezi Mungu tu,
Photo by Rakims on Rakimspiritual.com
na Mwenyezi Mungu utabaki...
Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria?
Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa...
Habari waungwana,
Ukiwa mwelewa na kuacha ubishi haya maneno yanaweza kubadilisha maisha yako kabisa. Siandiki maneno haya ili kukuonyesha kwamba mimi ni tajiri sana hapana. Naweza kuwa sina chochote lakini bado nikaandika kitu ambacho kitakufanya kesho uwe mtu mkubwa sana hapa duniani. Wapo...
Mtama ni nafaka iliyo na kiwango kingi cha protini, vitamini B6 na B1 pamoja na madini chuma, copper, magnesium, selenium na zinc.
Pia, huwa na kiasi cha kutosha cha kampaundi za Flavonoids, phenolic acids na tannins ambazo hutumiwa na mwili kama viondoa sumu.
Husaidia kupambana na aina...
Watafiti wa Vyuo Vikuu vya Victoria na York vya Canada wamebaini kuwa mazoezi hayo yanafaida kubwa katika Afya ya Akili kuliko kufanya mazoezi ya aina hiyohiyo ya ndani.
Aidha, utafiti huo umebaini kuwa mazoezi hayo pia yana faida kifiziki ambapo waliohusika katika sehemu ya utafiti huo ambao...
Ni Jumamosi nyingine ya mwisho wa mwezi, kama kawaida kila mfanyabiashara yuko nje ya ofisi yake akisubiri saa inne ifike ndio afungue biashara yake, vinginevyo apambane na mkono wa sheria.
Hivi huu utumwa ni nani ameuleta?
Kiasi cha kuogopwa hivi? Ipo kisheria kwenye katiba? Mwisho wa siku...
Ni miaka 62 imepita baada ya Tanzania kupata uhuru kamili. Lakini ukiniuliza ni faida gani tumepata kwa kuwa huru, sina jibu.
1.Hatuna uhuru wa kisiasa. Siasa yetu bado inasimamiwa na mabeberu e.g. swala la vyama vingi, demokrasia, etc
2. Hatuna uhuru wa uchumi. Uchumi wetu bado upo mikononi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.