madini

 1. mcrounmj

  Mrejesho biashara ya madini ya dhahabu second season

  Panapo majaaliwa ya mwenyezi Mungu tumekutana tena kwenye kikao cha wapambanaji. Wakuu wa jukwaa hili hususani vijana nawasalimu kwa Salam adhimu ya mama yetu Samia Suluhu Hassan...... Bila kuwachosha ni kuwa tangu nimeianza safari yangu ya kibiashara nimekuwa nikiwashirikisha hatua...
 2. Analogia Malenga

  Tutawekeza kwenye teknolojia ili watu wasikaguliwe kwa kuvuliwa nguo Mererani

  Kumekuwa na malalamiko kuhusu mgodi wa Mererani kufanya ukaguzi kwa njia ya kudhalilisha ambapo hufanywa hivyo ili mtu asiondoke na madini ya Tanzanite Katika Ukaguzi imesemekana kuwa watu huvuliwa nguo zote kwa makundi na kuanza kupekuliwa hatua ambayo inaonekana ni ya kudhalilisha Waziri...
 3. Krav Maga

  Waziri wa Madini Dotto Biteko ulisubiri ifike tarehe 17 Machi, 2021 ndiyo uiseme hii Kauli yako iliyojaa 'Unafiki' mwingi? Tumewachokeni sasa!!

  " Sekta ya Madini nchini haitakiwi iwe au iwekewe Sheria Kali kwa Wadau wake kwani itawakimbiza na hatutopata Faida yoyote kama Serikali na itatuchelewesha kama nchi. Tuongozwe na Busara pamoja na Hekima na siyo Ukali wa Kupitiliza " Nimemsikia akizungumza haya Leo Asubuhi katika Kipindi cha...
 4. W

  Uchimbaji Madini katika Mbuga zetu Ufikiriwe Mara mbili kwanza kabla ya hatua

  Kwako Mhe. Rais, Mhe. Rais wetu mpendwa, Suluhu Hassan, Nakupongeza kwa jinsi unavyo tujali watanzania, na roho yako ya upendo, kama ulivyosema unatumia maneno ya mama. Siku zote mama uwa na lugha ya upole na sikivu lakini mama ni nguzo kubwa ya Familia. Katika hotuba yako ulitoa agizo kuwa...
 5. S

  Madini yaliyopo kwenye hifadhi nadhani tuyaache kwa sasa

  Ni kama nimesikia kwamba tufikirie kuanza kuchimba madini yaliyopo katika baadhi ya hifadhi zetu. Hoja haipingwi kwa kupigwa rungu lakini nilikuwa nadhani tufikirie na yatokanayo baada ya kuanza kuvamia hizi mbuga na kuanza kufukua chini. Huenda ikawa mazingira tuliyoyapigania kwa muda mrefu...
 6. M

  Suala la Madini: Serikali ya Magufuli haikutueleza ukweli wote

  Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katueleza wazi kuwa licha ya Ukuta wa Mererani, bado madini yanatoroshwa. Pia Rais Saia akatueleza kuhusu Mkataba wetu na Kampuni ya Madini ya Barrick kuwa kuna mambo mle kwenye mkataba hayajakaa vizuri. Sasa najiuliza, kama...
 7. Fundi Madirisha

  Pamoja na ukuta mrefu na JWTZ kulinda Mererani, nani bado wanaiba madini yetu?

  Nimemsikia jana Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema kua madini yanatoroshewa chini na wakikamatwa wanakimbilia kuonyesha jiwe kubwa la madini, najiuliza pamoja na security yote hii ni kina nani waliendelea kutuibia madini yetu? Maana yake ule ukuta hauna maana zaidi ya kupoteza fedha la...
 8. M

  Rais wangu Samia Suluhu, tusiguse Hifadhi

  Watanzania na walimwengu wamemsikiliza vema Rais Mama Samia hii leo. Amezungumza mengi yenye tija kwa nchi na wananchi wa Tanzania. Mwanzo wake ni mzuri. Hatuna budi kumuunga mkono. Pamoja na utamu wote wa hotuba, naomba kwa taadhima kubwa nimpe hadhari kwenye msimamo wake wa kuchimba madini...
 9. E

  Jinsi ya kuanza uchimbaji mdogo wa madini (Almasi na Dhahabu) bila mtaji

  Habari za leo wakuu, Nahitaji kufahamishwa jinsi ya kuanza uchimbaji mdogo wa madini bila mtaji. Karibuni wakuu.
 10. Nyani Ngabu

  Lawd hamercy!! This can’t be!!

  Is this really real or my mind is playing tricks on me? Everyone involved in this phuckery got to go.
 11. M

  Liswemwalo lipo: Je, ni kweli kuna uchotwaji wa kutisha wa pesa na madini huko BoT?

  Wakuu habari zenu, R.I.P jemedali na mbabe wa vita JPM. Kumekuwa na habari zikizunguka mtandaoni siku nyingi kabla hata ya Rais kutangazwa kifo, kwamba huko benki Kuu yetu ya Taifa kuna watu wamekwapua pesa na madini. Hiki kilikuwa kipindi ambacho tetesi zimezagaa kwamba Rais anaumwa na...
 12. peno hasegawa

  Secretary wa afisa madini Mkoa wa Geita ajirekebishe

  Secretary wa Afisa Madini mkoa wa Geita ajirekebishe. Ofisi ya madini Mkoa wa Geita umekuwa kero tena kero kubwa. Time ya madini imemficha PS au secretary wa afisa madini Mkoa wa Geita na kuruhusu huyu mama kufanyia wateja chochote anachotaka. 1. Hana customer care 2. Bila rushwa hakuhudumii...
 13. F

  Nataka kujitosa kwenye biashara ya madini

  Ndugu zangu wana jamvi, kijana wenu baada ya mapambano makali hapa mjini, nimeamua kujitosa kwenye Madini lakini nimelenga Mkoa wa Mbeya Wilayani Chunya, Najua issues za Madini ni Bahati, na mimi nimeona nikajaribu bahati yangu. Ninaomba kwa mwenye uzoefu wowote wa Mgodini anipe ili niwe na...
 14. majid salim dossa

  Je, haya ni madini gani?

  Kwa anayejua aina haya ya madini naomba aniambie.
 15. Erythrocyte

  Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel atoa ufafanuzi kuhusu "Matatizo ya Kushindwa Kupumua"

  Kama hujaelewa hapa basi utakuwa na Chuki binafsi ====== Akihojiwa na Mwananchi, Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel ameeleza haya: Kwanza hamna taharuki kubwa kwa huu mwaka kama ilivyokuwa mwaka 2020. Mwaka wa 2020 tatizo hilo lilivyotekea taharuki haikuingia tu Tanzania, ilikuwa dunia...
 16. Usinipite mwokozi

  Mkuu wa wilaya ya Bariadi nakuunga mkono 100% kwa hili la watendaji wa Tume ya Madini kuwaingilia

  Nimesoma taarifa za kikao kilichohusisha viongozi wa serikali ya mkoa wa simiyu na wizara ya madini chini ya kaim Afisa madini wa mkoa Ndg. Kumbulu. KWANINI NAUNGANA NA MKUU WA WILAYA MH. KISWAGA Mtu yeyote afatilie leseni zote za madini katika nchi hii, na wavumbuzi wa madini katika leseni...
 17. Hisha Sorel

  Umasikini wetu ni wa kujichagulia. Je! Inaleta maana yoyote? Bara lenye ardhi yenye rutuba, idadi kubwa ya vijana, madini adimu kuwa maskini? Hapana!

  Je! Inaleta maana yoyote kwamba Bara lenye ardhi yenye rutuba, idadi kubwa ya vijana, madini adimu, na maji tosha; kuwa masikini zaidi ulimwenguni. Umasikini wetu ni ule wa kujichagulia, Afrika inapaswa kutafakari tena mfumo wake wa uchumi na metriki za kupima mafanikio. Wengi wenu bado...
 18. Miss Zomboko

  Serikali kufufua mgodi wa Buzwagi uliofungwa na Acacia kwa madai ya Madini kuisha Ardhini

  PAMOJA na mmiliki wa sasa wa mgodi wa dhahabu wa Buzwagi, kampuni ya Acacia Mining, kutangaza kutaka kufunga mgodi wake, serikali ya Tanzania imesema, mgodi huo, uatendelea kufanya kazi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Acacia iliamua kuufunga mgodi wake wa Buzwagi, uliyopo...
 19. Mkushi Mbishi

  Madini au jiwe gani?

  Wakuu habari ya asubuhi, Hili jiwe ni aina gani, lina rangi ya kijani, ni duara kama goroli ukilipiga mwanga ndani kama lina majimaji na linatoa mwanga wa kijani. Je ni madini,ama ni goroli ya aina gani? Wataalam mnaojua mambo haya mnifafanulie.
 20. Statesman

  Kampuni ya Madini ya Montero kuishitaki Serikali ya Tanzania ikidai fidia kwa mradi wa Wigu Hill

  Naona Mabeberu yameingia kazini tena. Kampuni ya Montero imeazimia kuishitaki serikali ya Tanzania ikikusudia kudai fidia kutokana na kupoteza mradi wake wa utafiti wa madini wa Wigu Hill uliotokana na mabadiliko ya sheria ya madini ya mwaka 2010 iliyofuta baadhi ya leseni zilizokuwa zikitolewa...
Top Bottom