akili

 1. Sky Eclat

  Tukiacha kutumia akili zetu tutaongeza umri wa kuishi duniani

 2. Meneja Wa Makampuni

  Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano?

  Habari za Leo wakuu, Leo nilikua najaribu kuiuliza akili yangu swali lifutalo. Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano? Yaani kwamba mwanadamu unafanya kazi za watu ambazo sio zako. Yaani hapo ndio najiuliza, wakuu. Wakuu...
 3. JF Member

  Nafasi za kuteuliwa zinaondoa ufahamu na akili

  Nikiwa nafuatilia jinsi hawa wateule wanafanya kazi nahisi wako kama watumwa. Kuna mda naona kabisa sisi ambao tuko kitaa tuna furaha na amani kuliko wao. Kuna haja ya wateuzi kuwaambia wawe huru kwenye kazi zao. Mfano Rais anakuja kuzindua mradi uliobuniwa na kujengwa na mtangulizi wake...
 4. FRANCIS DA DON

  Mtu anaechukua mkopo wa milioni 100 kujenga nyumba ya milioni 10, na anaemkopesha ndiye anayejenga (lazima); ana akili timamu kichwani kwake?

  Tuchukulie kwa mfano mtu anakuja kukushawishi akukopeshe pesa kiasi cha milioni 100 ili ujenge nyumba ya kuishi; ila sasa masharti ya huo mkopo ni kwamba lazima ramani za jemgo, vifaa vya kujengea, BOQ, na mafundi wote watoke kwake huyo anaekukopesha. Halafu huyo anaekukopesha anakuletea ramani...
 5. GENTAMYCINE

  Wanawake wa Tanzania kuonyeshwa kupendwa na kupendelewa na 'Mwanamke Mamlaka' mwenzao ni kuwalemaza akili na si kuwajenga

  Waambiwe tu Ukweli kuwa wao ni sawa sawa na Mwanaume na ndiyo maana hata Roho zetu pamoja na Mioyo yetu ni sawa na hakuna ulioandikwa ni wa Mwanaume au Mwanamke. Na hata Vitandani tukiwa ' tunabaiolojiana ' 24/7 usawa wa ' Kimihemko ' huwa unakuwepo na tunaheshimiana. Hii ' Sumu ' iliyoanza '...
 6. GENTAMYCINE

  Simba SC wala msipoteze muda kumpima akili Mkude; matatizo yake makuu ni haya...

  1. Uvutaji Bange (Bangi) uliopitiliza na yupo Mtu hapo hapo Simba SC (namhifadhi) ambaye alimzoesha Kuvuta na mpaka akawa anamnunulia. 2. Umalaya uliopitiliza kiasi kwamba mpaka hivi sasa ana Mahawara Watano ila kuna Mmoja kampangia Kawe (jirani na Ukuta wa Lugalo) ndiyo amemuharibu kabisa...
 7. Erythrocyte

  Kitendo cha Simba kutaka kumpima akili Mkude ni udhalilishaji

  Ni kweli Mkude anayo Makosa ya utovu wa nidhamu, lakini kitendo cha kumpeleka Muhimbili kumpima akili ni kumdhalilisha sana. Kwanini wasimuondoe tu ikiwa wanadhani haendi sawa na utaratibu wa Simba?
 8. K

  Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya wahamia Mombasa kutoka Nairobi. Je, hii ni sawa?

  Tanzanian High Commissioner to Kenya Dr John Simbachawene has moved to new consulate offices in Kizingo, Mombasa County, reports The Standard. The envoy, who is rooting for faster integration of tourism activities in Kenya and Tanzania in a bid to boost intra-boundary trade, said closer working...
 9. GENTAMYCINE

  Ni kwanini Akili yangu inazitafsiri hivi Tawala ( Awamu ) zote za Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

  Awamu ya Nyerere Ya Kujenga Misingi na Maadili mema ya Kuwakomboa Watanzania kutoka kwa Wakoloni na Kuzalishwa Kizazi cha Watu Werevu sana. Awamu ya Mwinyi Ya Kuharibu Misingi yote iliyowekwa na kusababisha nchi kuanza Kuyumba Kiuchumi huku Rasilimali nyingi za nchi zikinyakuliwa na Wachache...
 10. S

  Wabunge na mavazi yao sio jambo katika Taifa la leo

  Siku ya jana Spika Ndugai alimtoa nje Mbunge mmoja kwa kosa la kuvaa mavazi anayosema kuwa yapo kinyume na maadili ya Bunge , cha ajabu watanzania wengi wakashikilia hili jambo kama vile lina maslahi yoyote kwa taifa , ikifika mbele mpaka NGO moja ikaandika taarifa ya kulaumu kama vile...
 11. W

  Hakuna mwenye akili timamu atakayemuamini Mbowe na Chadema kuchangia hela? Kwanini hazindui ujenzi Arusha au Moshi?

  Ndugu zangu, Maajabu hayaishi,miaka michache iliyopita Mbowe alinifaika na ongezeko kubwa la ruzuku kila aliposhauriwa ajenge ofisi yeye na wasaidizi wake walitoa maneno makali eti "chama cha siasa sio jengo au nyumba bali ni imani". Makamanda badala ya kuhoji walishangilia kwa furaha...
 12. Kibosho1

  Wazungu wana akili na maarifa, Waafrika tuna vipaji na nguvu

  Hawa ni moja ya watu waliotumia akili na maarifa kugundua vitu: 1. Isaack Newton 2. Albert Einstein 3. Stive Jobs 4. Eric Yuan 5. Sergey Brin na Larry Page Hawa ni moja ya waafrika (black) waliovunja rekodi za dunia kwa vipaji vyao. 1. Edison Arantes do Nascimento[Pele] kwenye (mchawi wa...
 13. I

  Hivi wanawake wanakuwaga na akili gani? Wanawaza nini?

  Unakuta mwanamke anaolewa na mwanaume, ambaye amezaliwa akalelewa akasomeshwa na wazazi wake. Amekuwa pamoja na ndugu zake dada, kaka tangu akiwa mdogo. Halafu yeye anapoingia anataka yeye ndo am control huyu mwanaume. Yeye ndo awe bora kuliko wazazi wa mwanamme. Yeye ndo awe bora kuliko ndugu...
 14. William Mshumbusi

  Uzawa ni dhana ya kishenzi inayotumiwa na wanasiasa janja janja na wenye Akili ndogo kabisa

  Ukifatilia tawala kubwa zilizopitA kale, za Sasa na matAifa yaliyoendelea kiuchumi Kuna mchango mkubwa Sana wa wageni kutoka nje. Ukiangalia asili ya Trump na Obama wote walitoka nje ya marekani. Ukizungumzia nguvu ya kivita Basi zungumzia nguvu za waisraeli waishio Marekani na Russia ndio...
 15. issenye

  RC Chalamila: Nahitaji Busara Kuuongoza Mkoa wa Mwanza

  MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amewaomba wakuu wa idara na watendaji wa Serikali mkoani humo kumuazima busara akidai za kwake pekee hazitotosha. Chalamila ametoa ombi hilo leo Jumatatu Mei 24, 2021 wakati akizungumza na watendaji, wafanyabiashara, wakuu wa idara, viongozi wa dini na...
 16. Sam Gidori

  Ufahamu ugonjwa wa Skizofrenia (Schizophrenia)

  Mei 24 kila mwaka, dunia inaadhimisha Siku ya Ugonjwa wa Skizofrenia (World Schizophrenia Day). Huu ni ugonjwa unaoathiri fikra, hisia na kumfanya mtu kushindwa kujitambua vizuri. Hakuna chanzo kimoja hasa cha ugonjwa wa Skizofrenia, lakini mkusanyiko wa kigenetiki, mazingira na mabadiliko ya...
 17. J

  Mbunge Stella Manyanya ataka Walemavu nao waingizwe jeshini wakasaidie maeneo ya kutumia akili kama IT

  Mbunge wa Nyasa Stella Manyanya amemuomba Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taif mh Kuandikwa kuwafikiria walemavu ili nao watumike jeshini katika maeneo ya kutumia akili kama Tehama Manyanya amesema ajira za jeshi huwa haziwafikirii walemavu na amemwomba Waziri awasaidie. Chanzo: ITV...
 18. M

  Ni jinsi gani unaweza kuishi na mwanamke bila kukwaruzana au bila kupata stress?

  Hebu tusaidie wana ndugu kama mnavyojua wanawake ni watu wa vitimbwi, visa, dharau, vituko na maneno ya karaha yaani kuishi nao inahitaji akili sana lakini hebu leo hii tusaidiane ni njia ipi bora ya kuishi na mwanamke kwa akili bila kukwaruzana nao. Maana kuna wengine watakwambia uishi nae...
 19. GENTAMYCINE

  Watanzania wenzangu sasa ni wakati wa kuwa makini na Wanasiasa Wanafiki, Waongo na Wanaotumika kucheza na Akili zetu kama huyu...

  Asubuhi.... " Jamani Watanzania wenzangu nafuatiliwa na Watu wa CCM na Gari zao wakiwa na Panga, Sime na Mundu huku Kura za Uwizi zikiwa zimepakiwa mniombee nisife kwani nami nina Familia na Bata nalipenda vile vile na hiki Cbama sitaki nimuachie kabisa Mtu mwingine " Usiku.... " Nampongeza...
 20. Nguseroh

  Myahudi alivyowachezea akili jana Hamas jana kwa kuwadanganya anaingia Gaza

  Inakuwaje wanajamvi! Jeshi takatifu la Israel IDF Jana liliwadanganya Hamas litaingia Gaza kwa kikosi chake cha ardhini. HAMAS wakaingia kwenye maandaki yao kuwasubiri kuwaambush. Ndipo hapo jeshi teule likawashushia vitu vizito kadhaa vyenye ncha butu vikigusa ardhi tu vinalipuka paah kwa...
Top Bottom