sheria

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC: Kurejea kwa kasi kwa matukio ya utekaji ni tishio kwa uhuru wa raia na Utawala wa Sheria nchini

    LHRC: KUREJEA KWA KASI KWA MATUKIO YA UTEKAJI NI TISHIO KWA UHURU WA RAIA NA UTAWALA WA SHERIA NCHINI Tarehe 22 Mei 2026, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kupinga vikali kurejea kwa kasi matukio yenye sura ya utekaji nchini. Katika siku za hivi karibuni...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shigongo: Biashara za Wazawa Kariakoo zinafungwa, tutunge sheria Biashara chini ya Bilioni 50 isifanywe na Wageni

    Katika kikao cha Bunge kilichofanyika leo Mei 22, 2026, Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa mchango wake kwenye Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2025/2026 akiibua kilio cha wafanyabiashara wazawa wa soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wabunge wetu, hasa Msukuma, mmeiumbua serikali kwa kuvunja sheria ya ROAD FUND

    Inatia moyo kwa wabunge wetu kwa kuikemea serikali kwa kuvunja sheria. Kisheria fedha za ROAD FUND zinalindwa kutotumika kwingine kokote, ila ujenzi na ukarabati wa barabara nchini. Sasa leo kuna wajanja serikalini wamevunja sheria. Kwanza tutaomba watajwe hao wahusika serikalini. Pili...
  4. P

    JamiiForums Tanzania CCM na utii wa sheria

    Siku za hivi karibuni nimemsikia msajili msaidizi wa vyama vya siasa ndugu Sisty Nyahoza akikiri hadharani kuwa pamoja na ukubwa wa CCM lakini wamekuwa wanatii na kuwajibika kwa makosa mbalimbali yanayofanywa na wanachama wake Si mara moja au mbili wamekuwa wakiwaandikia barua za onyo na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ambayo inamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya kupata kibali

    Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ya Mwaka 2009 Kifungu Na.173 (1), ambacho kinamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya ya jamii kupata kibali kutoka kwa waziri wa afya au ofisa aliyeidhinishwa na waziri. Kauli hiyo imeolewa bungeni leo Na Naibu Waziri wa Afya...
  6. Kitchener

    JamiiForums Tanzania USILOJUA kuhusu mpango wa kufuta Sheria ya kutaifisha Mali

    Dunia yote, ukifanya uhalifu, au kutumia gari au kitendea kazi kufanya uhalifu, ili kukomesha tabia za kihalifu, matunda ya uhalifu au kitendea kazi huwa vinataifishwa. Jiulize, kwa nini PM amekuja leo ati ametumwa kuwa sheria ya kutaifisha mali ifutwe? Awamu hii wameiba sana, wanaogopa wao au...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Chadema na Wajibu wa Kuheshimu Amani na Sheria

    Watanzania wengi tunaendelea kuamini kuwa siasa za amani mshikamano na kuheshimu sheria ndizo msingi wa ustawi wa taifa letu. Ndiyo maana kumekuwa na wito mkubwa kwa vyama vya siasa hususan Chama cha Demokrasia na Maendeleo kuhakikisha kuwa shughuli zao za kisiasa hazigeuki chanzo cha...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Serikali iunde sheria kwa makampuni ya ulinzi Tanzania

    Wamiliki wa makampuni ya ulinzi binafsi wanapaswa kuwasilisha kilio chao kwa njia ya kitaalamu, kisheria na yenye hoja nzito kuhusu umuhimu wa kutungwa kwa sheria maalum ya kusimamia sekta hiyo pamoja na madhara ya kucheleweshwa kwa muswada husika. Wanapaswa kueleza kuwa kucheleweshwa kwa...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Sheria hairuhusu kutoa Nywila yako hata kwa mpenzi wako

    Mhadhiri Msaidizi wa chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (COICT), Merina Lumbalo, anasema kisheria nywila ni ya mtu mmoja na haishauriwi kushirikishwa, hata kwa mtu wa karibu. Ameeleza kuwa simu au kompyuta inaweza kuwa na taarifa binafsi au za kazi, hivyo kutoa nywila kunaweza...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana wasio na adabu wachapwe bakora kwa Mujibu wa Sheria na sio utashi binafsi wa viongozi

    Hamjambo! 1. Kuwanyoosha vijana ni jukumu la wazazi, walezi na Mahakama. 2. Msingi Mkuu wa Malezi na kunyoosha Tabia ni kwa Viongozi na wazazi ambao hapa watakuwa role model kwa vijana wao 3. Kama Wazazi na viongozi wanafanya mambo yasiyo na uadilifu wanapoteza haki ya kuwanyooshea vidole...
  11. hamis77

    JamiiForums Tanzania Hii ni sheria kandamizi kwa Mwanamke

    Tuangalie kwenye Kitabu cha Sahih Bukhari kipengere Kitabu cha Ndoa Hadithi ya Aisha (r.a) kuwa mtu Fulani alimwacha mkewe talaka tatu, yule mwanamke akaolewa na mwanamme mwingine ambaye vile vile alimuacha. Mtume (s.a.w) akaulizwa kama mwanamke huyu anaweza au hawezi kuolewa na mume wake wa...
  12. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Wito kwa serikali kuhusu uzingatiaji wa sheria ya takwimu (sura ya 351

    Kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 37 cha Sheria ya Takwimu, kinachokataza utoaji na upotoshaji wa takwimu rasmi kwa nia ya kuwahadaa wananchi, Serikali inapaswa kuimarisha usimamizi kwa wanasiasa na viongozi wa kijamii wanaotoa takwimu bila weledi. Nukuu ifuatayo inapaswa kuwa muongozo...
  13. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Content Creators wawekewe sheria hii

    Leo kila mtu ana simu, data na account ya TikTok, YouTube, Instagram au Facebook. Hilo ni jambo zuri kwa uhuru wa taarifa. Lakini pia limeleta tatizo kubwa: Watu wengi wanafundisha mambo nyeti bila ujuzi wowote. Tunashuhudia: Watu wanafundisha uwekezaji wa uongo Watu wanashauri dawa bila...
  14. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Tume iliundwa kwa mujibu wa sheria, ilipaswa yote wanayofanya yawe kwa mujibu wa sheria

    Wakili Peter Madelekea ameyasema hayo leo Aprili 27, 2026 wakati akichambua ripoti ya Jaji Chande kuhusu matukio yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
  15. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kunyongwa mpaka kifo na kifungo zaidi ya miaka 20 visiwepo

    Habari Tanzania !. Nawaomba watanzania wenzangu tuamue kwa pamoja kuwa katika Sheria zetu hasa upande wa Jinai; tuondoe vifungo vya zaidi ya miaka 20 pamoja na kufuta kifungo cha maisha jela au kunyongwa mpaka kufa. Uhalisia ni kuwa; hakuna aliyemkamilifu isipokuwa ni Mungu pekee. Ikumbukwe...
  16. O

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa Ripoti hii ya Chande, Je, Samia ataweza kuukwepa mkono wa Sheria wa ICC?

    Wachache wenye uelewa hatukutegemea jambo jipya kutoka kwa Tume ya Jaji Chande. Hata hivyo, ukifuatilia kwa makini uwasilishaji wa ripoti hii, unaonekana kama utetezi kwa Samia na serikali yake mbele ya jumuiya ya kimataifa. Kwa wataalamu wa sheria, je, ripoti hii inamaanisha kwamba Samia...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande, sawa maandamano yalikiuka sheria. Sasa, jibu swali hili

    You might be sahihi as per my heading, kwa hiyo serikali ilikuwa na uhalali wa kuwaua waandamanaji wasio na silaha? na kuwazika in mass graves?
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Sheria za tume ya uchunguzi Tanzania

    Sheria ya Tume za Uchunguzi ya Tanzania, Sura ya 32 Toleo Lililorekebishwa 2002, inampa Rais mamlaka ya kuanzisha tume za kuchunguza masuala ya maslahi ya umma, ikiwa ni pamoja na mwenendo wa watumishi wa umma, idara za serikali, na masuala ya rushwa. Sheria hii inaruhusu uteuzi wa makamishna...
  19. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Sheria UDOM wanufaika na wiki ya usuluhishi

    Viongozi mbalimbali kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria, leo tarehe 16 Aprili 2026 wamefanya majadiliano ya pamoja na wanafunzi wa Sheria wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Majadiliano hayo yamefanyika katika ukumbi wa CT1 uliopo Ndaki ya Biashara...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Julius Malema wa EFF atiwa hatiani kwa kukutwa na silaha/matumizi kinyume cha sheria akikabiliwa na kifungo cha miaka 15 jela

    Amekutwa na hatia (convicted) ya kumiliki silaha bila kibali na kufyatua risasi hadharani kinyume cha sheria. Kesho saa tatu asubuhi atasomewa adhabu (sentensing) ambapo prosecutors wanaiomba mahakama impe maximum sentense of 15 yrs in prison Kosa hili alilifanya mwaka 2018 katika mkutano wa siasa
Back
Top Bottom