Zito amekengeuka kiasi hiki kweli? anasema
Masuala 6 kati ya 10 yamekubaliwa:
1. Anasema: sasa kutakuwa na tume huru, mabadiriko si ya siku moja
2. Anasema tumelipwa sehemu ya deni, baki italiwa baadaye ie madai mengine yatafanyiwa kazi huko mbeleni analinganisha haki ya asili ya demokrasia na deni la pesa!
3. Wakurugenzi wameondolewa kuwa wasimamizi wa uchaguzi, anasahau kuwa senior officers wanaopendekezwa au waliowekwa kwenye shria ni waajiliwa Rais na wanalipwa na kupandishwa vyeo na rais na wako chii ya usimamizi wa Ras ambaye ni mteule wa rais! Zito akili zimekwenda kwa Ayatollah!
4. Kumwondoa Mkurugenziwa uchaguzi kuwa katibu wa usaili.....anashau kuwa wanaosaili ni wateule /au waajiliwa wa rais ambao wanapokea amri kutoka kwake.
5. Mwenyekiti na makamu Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kutoteuliwa na rais......anasahau/anajifanya kutojua kuwa Jaji Mkuu atakayewafanyia musaili ni ni mteule wa Rais, hwezi kuktaa amri yake!
My analysis: Zito na chama chake kwa Tanganyika anajua kuwa hawezi kushinda urais au wabunge wengi. Ila kwa vile yeye ana uhakika wa may be kushinda Ubunge Kigoma mjini (kama alivyotangaza kugombea ubunge eneo hilo), haya mengine hayamhusu as long as atachaguliwa kuwa mbunge!
Kwa ufupi ni hayo!