watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
 1. aka2030

  Kwanini jezi za yanga za watoto hazina tangazo la sportpesa ila zinatangazo la gsmfoam mgongoni?

  Wote ni wadhamini wa yanga kwanini tangazo hili la sportpesa wamelitoa kwa jezi za watoto wadau huku la gsmfoam likibaki?
 2. kavulata

  Serikali ni chanzo Cha masomo ya ziada kwa watoto.

  Shule zinashindana kwenye ufaulu wa watoto kwa kushirikiana na wazazi wa watoto. Wanafanya hivyo kwa mbinu tofauti ikiwemo ya watoto kusoma masaa mengi hata weekend na long vacation, kuwakaririsha maswali ya mitihani na hata kuiiba mitihani yenyewe. Serikali Ina mchango mkubwa sana kwenye hili...
 3. N

  Watoto na Familia za Freeman Mbowe na washtakiwa wenzake Mwenyezi Mungu awatie nguvu sana!

  Kila siku huwa nianatafakari hali mnayoipitia. Hakika Mwenyezi Mungu awalinde, awaongoze na awatie nguvu sana ili msije jaa roho mbaya na zisizo na hofu ya Mungu kama za watesi wenu! Yote hii kwa sababu tu ya madaraka! Khaaaa!
 4. Mwalimu-Mkuu

  Mfumo unaotoa tathmini ya Tija ya tution inayofanywa na walimu Nyumbani

  Habarini wana bodi. Thred hii iende kwa wazazi wote ambao wanajituma kwa mali na hali kuhakikisha kuwa watoto wao wanapata elimu yenye ubora na viwango kwa kuzingatia mafunzo muda wa ziada/tution. Kwa muda mrefu nimeshiriki katika kutoa tathmini ya maendeleo ya watoto ya kielimu kama...
 5. KEROZENE

  Acheni tu Shule za Kishua kama za FEZA na St. Mary zifaulishe sana na zetu zifelishe

  Kwa nyakati tofauti Leo ( Jioni Saa 12 kuelekea Saa 1 ) nimepita katika hizi ( hizo ) Shule FEZA na St. Mary na kukuta Watoto wapo Kimya Madarasani mwao wanajisomea na nilipopita katika Shule za Kawaida ( za Mangumbaru ) nikawakuta Watoto wapo Madarasani wanavuta Bangi, wanaangalia Picha za...
 6. ROBERT HERIEL

  Serikali iache mzaha; kuruhusu watoto waliopewa mimba kurudi shule ni anguko la taifa la kesho

  SERIKALI IACHE MZAHA; KURUHUSU WATOTO WALIOPEWA MIMBA KURUDI SHULENI KUSOMA NI ANGUKO LA TAIFA LA KESHO. Anaandika Robert Heriel. Naiomba serikali, viongozi wakubwa msikie Jambo hili, tena msifanye mzaha. Huruma huruma za ajabu ajabu katika baadhi ya ishu ni hatari Kwa ustawi wa taifa...
 7. Uzalendo Wa Kitanzania

  Mganga wa kienyeji aua watoto wawili wa kambo na kuwazika ndani

  Habari za kusikitisha kutokea Kaliua Tabora Baba wa Kambo amewaua watoto wake wawili kwa kuwaziba pumzi na kisha kuwazika ndani ya nyumba kabla ya kutoroka kusikojulikana Tukio Hilo limetokea Novemba 17, 2021 Wilayani Kaliua na kuthibitishwa na RPC wa Tabora Richard Abwao Chanzo cha mauaji...
 8. M

  Nawakumbusha nguo Kali za watoto kwa 5,000 bei ya jumla

  Nguo za mtumba zote Kali unachagua kuanzia 100 kwa tshs 5,000 bei ya jumla. Rejareja pia unapata. 0738 664971 kwa mawasiliano zaidi
 9. M

  INAUZWA Fikiria unapata nguo Kama hizi kwa 5000 tu Bei ya jumla

  Kichwa cha habari kinajieleza, niunganisheni wadau.. nguo kali mno, nicheki kwa 0738664971 tunauza jumla na rejareja. Mfanyabiashara usipate tabu ya kufungiwa usichojua kuna nini ndani, nimekurahisishia nguo Kali kwa bei poa
 10. 6321

  Baba tafuta muda uwe unakaa na mtoto/watoto wako

  Mawasalimu kwa jina la JMT. Nalishuhudia hili jambo. Kumbuka ewe baba umri unaenda itafika kipindi hauna nguvu za kufanya kazi, utakuwa umestaafu na utakuta haukujenga ukaribu na wanao. Watoto ni faraja ya uzeeni kaa nae vizuri. Tunajua Majukumu ya baba ni kutafuta riziki ya familia lakin...
 11. Poppy Hatonn

  Tunawatunza vyema watoto wetu?

  Jumla ya watoto 6,168 wamefanyiwa ukatili wa kijinsia kati ya Januari hadi Desemba 2021, Bunge limeelezwa leo Ijumaa Novemba 12, 2021. Kati ya hao, watoto wa kike walikuwa 5,287 na wanaume ni 881 ambao kesi zao zikiripotiwa katika vituo vya Polisi nchini. Takwimu hizo zimetolewa bungeni na...
 12. ROBERT HERIEL

  Wazazi acheni uhuni na visingizio, toeni urithi kwa watoto. Elimu sio urithi!

  WAZAZI ACHENI UHUNI NA VISINGIZIO VYA KIPUUZI. TOENI URITHI KWA WATOTO. ELIMU SIO URITHI Anaandika Robert Heriel. Yule shahidi kutoka Nyota ya Tibeli. Andiko hili laweza waumiza wengi. Ikiwa unajihisi unamoyo dhaifu nakusihi usisome. Na ikiwa utasoma basi nisihusike na maumivu na madhara...
 13. B

  Kuna wimbi kubwa sana la Ulimbukeni na ushamba kwa Watanzania hasa Mtu akijua kusoma na kuandika

  Dunia nzima ukisikia jina Ukechukwu, Obina directly linakupeleka kwenye asili yake. Ukisikia Patel, Sanjay, unapata asili yake. Ukisikia Yamamoto, Sadaaki Numata unapata mwanga huyo asili yake wapi. Hali kadhalika kwa Tanzania ukisikia majina kama Kamugisha, Aika, Bhoke unapata picha asili yao...
 14. Da'Vinci

  Wazazi kuweni makini na watoto wenu kuangalia muvi zenye superheroes Content

  Head's Up: Maneno nitakayoandika hapa haimaanishi kua nina dharau Uweza na Uumbaji/ Status ya-wa mwanamke katika Jamii. Kwanza kabisa mimi ni mpenzi wa Superhero based content, hasa content zinazotengenezwa na kampuni ya Marvel. Muvi hizi zinapendwa na watu wengi sana duniani wa rika zote na...
 15. Sky Eclat

  Hii picha ilipigwa mwaka 1937, hawa vijana wawili wa mbele ni watoto wa wapigiwa kura, kule nyuma wamesimama watoto wa wapiga kura

  Wenye hats wanaliitwa toff kids.
 16. Analogia Malenga

  Niger: Watoto wapatao 25 wamefariki baada ya darasa lao kuungua moto

  Watoto wapatao 25 wenye umri kati ya miaka mitano na sita wamefariki baada ya darasa lao kuungua moto Wengine kadhaa walijeruiwa wakati wa ajali hiyo ya moto ambayo ilitokea Jumatatu asubuhi wakati watoto wakiwa darasani wakisoma katika shule iliyopo eneo la Maradi. Chanzo cha moto huo bado...
 17. Maghayo

  Malawi kuna watoto wakali sana.

 18. Ferruccio Lamborghini

  TUONGEE KIUME: Mwenzetu aliletewa watoto wake baa na mkewe...

  Kama una kawaida ya kwenda baa utakuwa unaelewa kuwa hiyo ndiyo sehemu hutokea mambo ya kushangaza zaidi ya sehemu yoyote ile. Nina uhakika ukiwa huko umewahi kushuhudia mzee mtu mzima akiwa amelewa chakari, amevua shati liko mabegani, anacheza wimbo wa ‘chizi karogwa tena’. Lakini...
 19. Sky Eclat

  Kheri iwaendee wazazi wa watoto hawa wanaokuzwa katika maadili na hofu ya Mungu

 20. Mohamed Said

  Watoto wa wapigania uhuru wanapoingia kwenye masanduku ya marehemu wazee wao

  WATOTO WA WAPIGANIA UHURU WANAPOINGIA KATIKA MASANDUKU YA NYARAKA ZA MAREHEMU WAZEE WAO Nimepata kusema hapa siku chache zilizopita kuwa historia nyingi ya TANU na harakati za kupigania uhuru ipo katika mikono ya watu binafsi. Kwa zaidi ya miaka 20 nilikuwa natafuta picha ya Ismail Bayumi bila...
Top Bottom