katiba mpya

 1. BAK

  Mwananchi gani hataki Katiba Mpya?

  Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna mwananchi wa kawaida anayeihitaji isipokuwa ni wanasiasa. By Daniel...
 2. B

  Baada ya Angalizo UN, Katiba Mpya - Mapambano yanaendelea

  Hii ni habari njema kutokea UN. Uthibitisho zaidi kuwa ni nini iliyo kiu ya watu kote duniani. Tusidanganyane tunataka kupumua kwa uhuru, haki na usawa kisiasa na kijamii. Kiongozi dikteta si wa zama hizi. Hautakuwa peke yako baba askofu. Zambia wametambuliwa kwa jitihada zao za...
 3. chinembe

  Siasa za kilaghai za Polepole: Awamu ya Nne aliunga mkono Katiba Mpya; Awamu ya Tano alikataa, Awamu ya Sita anaitaka kwa gia ya Shule ya Uongozi

  Huu ulaghai wa hali ya juu unaofanywa na Polepole, alikuwa anapinga katiba mpya enzi ya mwendazake, alitumia muda mwingi kukata viuno akicheza mabolingo huku akijirekodi katika camera, alishuhudia na akawa sehemu ya tawala ya hovyo kabisa katika historia ya nchi hii,alikuwa sehemu ya tawala...
 4. N

  Kama hutaki Katiba Mpya, wote mliokuwa mwenye Bunge la Katiba rudisheni pesa mlizolipana kama posho

  Hapo sikuwagusa CCM kwakuwa katiba mpya siyo yao peke yao, ni ya watanzania wote walipa kodi. Nimesikia tetesi kuhusu mipango ya kuokoa pesa zilizotumika uwanja wa Chato maana baada ya kifo cha Magufuli kumebaki ukiwa. Sasa sukuma gang wanampango wa kuona mipango iliyopangwa kuhusu Chato na...
 5. comte

  Kenya wenye katiba mpya na ambapo tozo la miamala halipo nako diseli na petroli imepanda bei

  Kenyans voice fury over fuel price hikes Kenyans voiced fury on Thursday at a jump in fuel prices, which threaten to pile on the misery for a population already suffering economic hardship because of the Covid-19 pandemic. Fuel prices are now at record levels after the country's energy...
 6. B

  Tupiganie Katiba Mpya: Madaraka Matamu Wachonga Mzinga ni kama Wote

  Amesikika Samia Suluhu Hassan akisema hatuna rais mwanamke. Akiendelea kasema rais mwanamke tutamweka 2025. Amesema huyu tunayemwona sasa kaingia kwa kudra za Mola tu. Ni wazi kuwa mheshimiwa huyu kesha nogewa kama mwonja asali vile. Tamaa yake iko sasa kwenye kuendelea kuwa rais 2025. Hii...
 7. S

  Tunataka Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

  Mengine yote yatakupotezea muda mwisho wa siku hao hao wenzako watakupiga na chini na maneno kibao, hawana kheri hao Jambo moja Rais Samia la kuwafadhaisha hao wanaokusogelea ambao hawana ukweli wanacheka ukiwepo ni kuibuka na Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya, na kuhakikishia hapo ndio...
 8. D

  Ismail Jussa na machache kuhusu Katiba Mpya

 9. Subira the princess

  Sensa na Katiba Mpya kipi muhimu na kinafaa kupewa kipaumbele?

  Nauliza tu kwa upole kuhesabu watu na kutengeneza Katiba Mpya kipi bora kwa watanzania wa leo? Maana sielewi ni nini kipaumbele cha CCM na Serikali yake. Pia soma > Serikali iachane na sensa 2022 badala yake ishughulikie Katiba Mpya
 10. K

  Story of Change Umuhimu na uhitaji wa Katiba Mpya iliyo Bora

  Utangulizi. Katiba ni sheria na kanuni zinazotungwa ili kuongoza nchi, shirika au taasisi fulani. Katiba ya nchi inatambulika kuwa sheria kuu na sheria mama na ndio msingi wa nchi. Katiba ni msingi wa mihimili mikuu mitatu ambayo ni dola, bunge na mahakama. Katiba inafafanua na kutoa mgawanyo wa...
 11. Sky Eclat

  Kibonzo cha Polisi wetu, rasimu ya Katiba mpya ni vita kuu wanayopigana nayo sasa Hivi.

 12. T

  Sio kweli kwamba kila tatizo hapa nchini litatatuliwa na Katiba Mpya

  Kumezuka kasumba ya wanasiasa hasa wa upinzani kuwaaminisha wananchi kwamba mambo matatizo mengi tuliyo nayo, yanatokana na katiba mbovu tuliyonayo. Madai haya yanaweza kuwa na ukweli ila ni kwa kiwango kidogo sana. Ukweli ni kwamba hata katiba bora yenyewe huwa ni matokeo ya msuguano wa hoja...
 13. S

  Huu si wakati wa longolongo; Katiba Mpya, Tume Huru iwe ndiyo wimbo wa Taifa

  Naona kuna dalili za kuyahepesha madai ya katiba mpya na haswa tume huru ya uchaguzi, kuna harakati zimeibuka kutoka kusiko julikana na ni nyingi na zinakuwa kama moto wa nyasi kavu. Lengo likupinsha muelekeo ulioanza kubaleghe kwa maana uoga umeanza kuondoka juu ya kupiga makelele ya kudai...
 14. BAK

  Mtanzania gani anayejitambua na ana mapenzi ya kweli na Tanzania hataki Katiba Mpya?

  Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna By Daniel Mjema More by this Author Vuguvugu la madai ya Katiba...
 15. Erythrocyte

  Jaji Francis Mutungi atangaza kuzuia Mikutano na Makongamano ya Vyama vya Siasa kwa muda kutafuta suluhu

  Msajili wa milele wa vyama vya siasa Tanzania, Francis Mutungi amekubali kutumika hadharani na CCM baada ya kutoa Tangazo la kukataza makongamano ya vyama vya siasa , kwa maelezo kwamba wanasiasa wasubiri kwanza kikao na IGP katika tarehe isiyojulikana. Kwa wasiojua katiba ya nchi, Francis...
 16. BAK

  Dkt. Hoseah: Hakuna ubaya kudai Katiba

  ‘Hakuna ubaya kudai Katiba’ Sunday September 05 2021 Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Dk Edward Hoseah amesema si kosa kwa wananchi kudai Katiba Mpya na kwamba wakati umefika kwa mamlaka za nchi kutoa mwongozo mpya wa kufikia hatima ya dai hilo. By Bernard James Dar es...
 17. B

  Katiba Mpya: Mapambano bado yanaendelea

  Kupigania katiba mpya Tanzania ni wajibu wetu na hasa wote tulio na akili timamu. Tutake nini kwa Mungu kama katiba mpya itatuhakikishia uwepo wa usawa, haki, uhuru na utawala wa demokrasia? Mambo mema kabisa kwetu, watoto wetu na hata watoto wa wajukuu zetu. Mapambano haya yaliyoendelezwa...
 18. kagoshima

  Zuio la mijadala ya katiba mpya ni kuzuia elimu hii isiwafikie wananchi

  Jumapili njema wakuu! Huu ndo ukweli wenyewe! Kwa kengo lile lile la CCM kutawala raia wasio na elimu, ndiyo chanzo cha nguvu kubwa ya kuzuia elimu ya katiba mpya isisambae kwa raia kwa kukataza uwepo wa mijadala ya katiba mpya. Tafiti za huko nyuma zinaonesha wazi shabiki wakubwa wa ccm ni...
 19. Erythrocyte

  Kongamano la Katiba mpya lafanyika Tarime kwa amani na utulivu

  Siku zote tumesema humu na kurudia mara nyingi sana kwamba , HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU , japo wapagani wametupuuza mara zote lakini ukweli huu hauwezi kupingwa . Pamoja na RC wa Mara kumwaga majeshi yote barabarani na mitaani , ikiwa ni pamoja...
 20. B

  Katiba Mpya: Mapambano yako katika Hatua za Mwisho

  Mapambano ya kudai katiba mpya ni mapambano kudai haki, uhuru na demokrasia. Demokrasia ni kuwa na utawala unaowajibika kwa wananchi. Siyo utawala unaowajibika kwa watawala. Kwenye demokrasia: 1. tozo za miamala ya simu zisingekuwapo, 2. bambikizaji za kesi zisingekuwapo, 3. polisi...
Top Bottom