tamko

  1. Roving Journalist

    Tamko la Wizara ya Ujenzi kuhusu kuanguka kwa Jengo la Ghorofa mbili katika eneo la Magogoni

    Kufuatia tukio la kuanguka Jengo la Ghorofa mbili katika eneo la Magogoni, jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Innocent Bashungwa (Mb), amezielekeza Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Bodi ya Usajili wa Wakandarasi (CRB) na Bodi ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB)...
  2. lukala

    TFF tamko lenu kuhusu Yanga kufungiwa ni lipi?

    Habari wanamichezo wenzangu wa kabumba, sitaki poteza muda naomba TFF itoe maelezo kuhusiana na mchezaji wa Young African ambaye hakutimiza vigezo kwenye mfumo wa usajili. Imtaje Nina kamili la mchezaji husika, aangaliwe amecheza mechi Gani? Nasheria zinasemaje kuhusiana na kosa hilo? na adhabu...
  3. K

    Makonda hakutakiwa kutamka lile tamko mbele ya Rais

    Tamko alilotamka Mkuu wa Mkoa wa Arusha ni tamko mbaya sana na linaleta uchochezi na chuki. Ni aibu kutamka mbele ya kadamnasi ya watu kuwa kuna watu wanamtukana Mhe. Rais. Jambo hili alitakiwa amueleze Mhe. Rais kwa siri kubwa. Mhe. Rais Mkuu wa Mkoa wa Arusha hakufai ni bora umtumbue mapema...
  4. Informer

    Zanzibar: Serikali yalaani vitendo vya unyanyasaji wa kidini vinavyoendelea visiwani

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi. Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni...
  5. Roving Journalist

    DART yawasimamisha kazi Maafisa wa Mwendokasi walioshindwa kudhibiti vurugu zilizotokea Kituo cha Kivukoni

    Mnamo tarehe 26.03.2024 majira ya saa mbili usiku katika eneo la Kivukoni kwenye Kituo cha Mabasi Yaendayo Haraka (Mwendokasi), kulitokea hali ya vurugu kati ya abiria na madereva wa basi liendalo haraka lililokuwa linafanya safari kutoka Kivukoni Moroco. Hali hiyo ilitokana na abiria wengi...
  6. Mganguzi

    CCM toeni tamko kwamba dirisha kwa mwanachama yeyote kutia nia kuwania urais kupitia CCM limefunguliwa rasmi

    Nimeona chama changu Cha mapinduzi na Seketarieti ya chama, kamati kuu na mawaziri wote wakiongozwa na waziri mkuu ,wanapita huku na huku kukusanya pesa za fomu ya urais 2025. Ni kama Wana uoga Fulani kwa sababu muda wenyewe Bado sana! Wameanza hata kumpigia kampeni mgombea mmoja kwamba...
  7. Msanii

    Tetesi: Kuna mashaka Bandarini. Serikali itoe tamko ya kinachoendelea ili kama yanayoripotiwa ni tetesi yasilete taharuki

    Nimepitia mtandao wa X na kukuta mjadala kwenye kurasa wa Martin Maranja M asese almaarufu MMM kuhusu DP World kusitisha mikataba ya wafanyakazi ili kuleta wafanyakazi wao. Serikali ambayo ni sehemu ya huu mkataba uliopigiwa kelele na wananchi, itoe maelezo kukanusha ama kufafanua...
  8. Msanii

    Serikali isipuuze tamko la APHFTA kusitisha matumizi ya bima ya NHIF kutibiwa hospitali binafsi. Yanazungumzika

    Tangu Mwenyekiti wa Vyama vya Watoa Huduma Binafsi za Afya nchini (APHFTA), Dk Egina Makwabe atangaze azimio la vituo vyote vya afya kutaendelea kutoa huduma kwa wagonjwa wapya wa bima ya NHIF kuanzia Machi 1, 2024, hakuna response yeyote kutoka upande wa serikali kuhusu tamko hilo. Je, tuamini...
  9. JanguKamaJangu

    Tamko la NHIF kuhusu mapitio ya Kitita cha Mafao cha NHIF

    https://www.youtube.com/watch?v=wuinOtEhEjk YAH: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAPITIO YA KITITA CHA MAFAO CHA NHIF CHA MWAKA 2023 Ndugu wanahabari, Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa niaba ya Kamati ya kupitia Kitita cha Mafao cha NHIF cha mwaka 2023, naomba nitoe taarifa...
  10. B

    Bunge la Wananchi wanatoa tamko muda huu, kuhusu ardhi

    23 February 2024 Morogoro, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=Z53l5mEXWwU Migogoro ya ardhi kutokana na wingi ya idadi ya watu nchini, matumizi ya ardhi kwa kilimo na ufugaji yanatakiwa kupatiwa ufumbuzi wa haraka. Pia ufafanuzi wa umiliki wa ardhi elimu ya uraia yatolewa na bunge la...
  11. HaMachiach

    Kukamatwa kwa katibu mkuu wa CWT ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa, education international yatoa tamko

    Inawezekana wengi hawana habari ya kinachoendelea chama cha walimu, ila kwa habari zilizotufikia ni kwamba mgogoro unaoendelea ndani ya chama cha walimu umechukua sura nyingine mara baada ya katibu mkuu wa CWT kukamatwa hapo jana 16 Februari 2024. Punde tu baada ya kukamatwa shirika la kimataifa...
  12. GENTAMYCINE

    Msemaji wa Singida Fountain Gate FC Hussein Massanza umewasikia lakini Wana Mkoa wa Singida (Watani Zangu) na Tamko lao hili takatifu na tukuka?

    "Tumeshachoka sasa na hii tabia ya Uongozi wa Singida Fountain Gate FC ya kila mara kubadili Jina la Timu, kuhamisha Timu kwenda Mikoa mingine na kufanya Biashara kimya kimya ambazo hazileti Tija kwa Timu yetu. Sisi wakazi wa Singida tunaomba hii Timu ibadilishwe Jina na watumie Majina ya huko...
  13. The Boss

    Wanaotuhumiwa kuwa sio raia. Serikali itoe tamko

    Kabla hata ya mkuu wa Majeshi kuongea lolote hapa JF hizo story za Viongozi ambao wanaotuhumiwa kuwa raia wa nchi Jirani zilikuwa zimesambaa Sana. Binafsi siamini kama kweli Jeshi limechunguza saana. Zaidi ya kuja hapa JF na Ku connect dots. JF imekuwa source ya habari nyingi. Sasa nafikiri...
  14. D

    Tetesi: Jumuiya za Kimataifa kutoa tamko kuhusu maandamano ya CHADEMA

    Leo nilifika Ubalozi wa Marekani kwa shughuli yangu binafsi. Nimekutana na jamaa yangu mfanyakazi wa Ubalozi huo. Ameniambia baada ya Mbowe kufanya mazungumzo na Ubalozi huo kuhusu masuala ya demokrasia na siasa za Tanzania, Marekani imemuunga mkono. Na baada ya Mbowe kuondoka Balozi huyo...
  15. U

    Uchambuzi wa Tamko la RC - DSM Ndugu A. Chalamila: Watawala kutumia majeshi kizembe na kiholela ni jaribio la kujipindua!

    Maswali muhimu kujiuliza na utakayoyatumia kama msingi wa majadiliano katika mada hii: 1. Kikatiba Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama anaweza kukasimu mamlaka yake ya kutoa amri au maelekezo kwa majeshi yetu ya Ulinzi na usalama kwa mtu mwingine ili kufanya...
  16. Roving Journalist

    Umoja wa Vyama vya Siasa: Hatukubaliani na Maandamano ya CHADEMA, walijitenga nasi, sasa hivi wanatushirikisha

    https://www.youtube.com/watch?v=G4tNsKr16_o Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa unaoundwa na Vyama 13 vyenye usajili Nchini unazungumza na Wanahabari, leo Jumatano Januari 17, 2024. Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa, Abdul Mluya Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa, Abdul Mluya...
  17. FRANCIS DA DON

    Hakuna mjadala, Visungura vinaua nguvu kazi ya vijana, havina tofauti na viroba, serikali itoe tamko juu ya mauaji haya ya makudi

    Wapo watakaosema kwamba hakuna anaelezimishwa kunywa hivyo visungura, fine, ila imetosha sasa. Vipigwe marufuku, pombe kali za kiwango hiki hazipaswi kuwa readily available kiasi hiki kama bigijii. Waweke either kwa packaging ya ujazo mkubwa zaidi ili isizagae na kununuliwa hovyo kama karanga...
  18. B

    Mapinduzi kutoka Roman Catholic (RC) hadi Tanzanian Catholic (TC) kutokana na tamko la papa

    Naona ni muda muafaka kanisa katoliki Tanzania kujitoa kwenye makucha ya Papa chini ya mfumo wake wa Roman Catholic. Haingii akilini, makanisa tumejenga sisi waumini, magari tuwanunulie mapadri na maaskofu halafu hatokee mtu from nowhere kisa ni papa abadilishe asili ya mwanadamu kwa kutaka...
Back
Top Bottom