Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.
Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania...
Tumeona Nachingwea kilichotokea, tumeona kwa Mrisho Gambo Arusha namna alivyoondolewa kwenye siasa za ushindani; tumeona huko Arumeru nako Mbunge aliyepo ameondolewa kabisa kwenye tamani ya kisiasa.
Hali ipo hivyo jimbo la Hai, Moshi mjini, Mikumi, Tarime, Bunda, majimbo ya Mwanza, Baridi...
Ni Wazi kabisa 2025 Serikali ya Mseto inanukia na CCM imeanza mazoezi kwa kuteua Naibu Waziri mkuu ambaye hapigiwi kura na Wabunge.
Japo haipo kikatiba lakini uwezekano mkubwa ni Vyama vya Upinzani kutoa Wabunge wengi kuliko CCM na hivyo maamuzi ya nani awe Waziri mkuu yatakuwa mikononi mwao...
Huu ni mtazamo wangu binafsi kuhusu hali ya kisasa nchini sijui ni nini kimetokea kwenye taifa letu. Hilo jambo litatokea si Kwa sababu watu wanamapenzi mema na CCM na wala si kwa sababu watu wana Imani na CCM na sera zake, bali itatokea Kwa sababu ya watanzania kukosa mwamko wa kisiasa...
Kauli za kiongozi mwandamizi wa CCM ndugu A. Kinana kuwa Chadema wanakiuka misingi ya maridhiano ni picha kuwa Chadema wanashusha maneno mazito yanayoumiza umtima.
Sakata la bandari limeibua mengi. Huko mikoani Chadema wanashambulia majukwaa . Wanaongea mengiii kiasi cha kuonekana wanakiuka...
Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba.
Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili akiwataja viongozi wa CCM ambao akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba kutawala biashara hivyo na hivyo...
Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba.
Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili akiwataja viongozi wa CCM ambao akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba kutawala biashara hivyo na hivyo...
Ule usemi wa "nyani haoni kundule" umedhihirika pale Katibu Mkuu wa CCM, Abdallahaman Kinana alipowachana wanachama wa CCM katika mkutano alioufanya hapo jana mjini Kigoma kwa kuwaambia wanachama wa chama hicho waache kupendeleana wala kubebana kwani kwa kufanya hivyo tutazalisha makundi mengi...
Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea wao wa uraisi ambae bila shaka atakuwa ni Mama Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2025.
Kashifa...
Ikumbukwe kuwa wakati hayati JPM alipokuwa anazindua daraja la Kijazi Ubungo aliahidi kuanza na ujenzi wa barabara za Kimara lakini mpaka sasa hakuna barabara moja iliyotengenezwa. Ukienda Temeke lami au zege mpaka vichochoroni. Kwa kimara kuna barabara nyingi mbovu sana tena sana ila baadhi ni...
Taarifa za rafiki yangu ambaye ni mfanyabiashara ni kwamba wabunge wengi ikiwa pamoja na waziri wa Fedha schoolmate wangu Mwigulu ni wawekezaji wakubwa kwenye magari. Tatizo wanaogopa safari za treni zikianza biashara zao zitapata wakati mgumu.
Hivyo wanahujumu kucheleweshwa kwa mradi kwa...
22 August 2023
https://m.youtube.com/watch?v=jOoXIZ27tUA
Abdulrahman Kinana anasema toka mfumo wa vyama vingi idadi ya wabunge na wawakilishi imekuwa ikipanda na hata uchaguzi wa 2020 idadi ingekuwa kubwa zaidi ya namba za wabunge kutoka vyama vya upinzani ila changamoto mbalimbali ikiwemo...
Haya sasa. Mwisho wa siku mkataba utabakia kuwa wa Samia tu.
====
Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Mhe. Robert Chacha Maboto, amesema hakuuelewa Mkataba wa PD WORLD alipokuwa bungeni.
Sasa wabunge wote wa ccm walishindwa kutetea maslahi ya taifa je tuendelee kuliamini hili bunge la makanjanja? Kigezo cha mbunge kuishia la saba kimepitwa na wakati hebu fikiria jinsi kina kibajaji na msukuma leo wanaweka wapi sura zao? Elimu hawana lakini wanajitumbukiza kwenye kujadili mambo...
Wabunge na mawaziri pamoja na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wamefika katika makanisa mbalimbali NCHINI leo kushuhudia usomwaji kwa waumini maazimio na tamko ya TEC.
Katika hatua hiyo hakuna kiongozi yeyote aliyeripotiwa kupinga badala yake wote wamepiga makofi na kuwaombea maisha...
Umofia kwenu.
Dibaji inasomeka.
Bunge na wabunge ambao kimsingi ni wawakilishi na sauti za wananchi wameonesha wazi kutowatetea tena wananchi na limeungana na serikali kuu kuitafuna nchi.
Kupitia Mkataba wa DPW tumeona wazi namna Bunge letu linavyojipendekeza kwa watawala badala ya kuisimamia...
Wapo viongozi wengi wa dini wamepinga adharani kwa sauti na maandishi mkataba wa bandari.
Wabunge wetu ni waumini wa viongozi hawa wa dini; lakini pia kielimu hata hawa viongozi wa dini wameenda shule tena kubwa kuliko wabunge walio wengi.
Hoja za viongozi wa dini zinafanya watu wajiulize...