Wasira anadai mauwaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na wali uwawa hadi watoto na wajawazito.
kwa sheria za nchi na kimataifa hakuna mauwaji sahihi tuna sheria za nchi na mahakama mbali na hayo mauwaji yaliyo fanyika hayakulenga wahalifu bali watoto na wanawake ambao hawakuwa...
Mwalimu anakwenda kusahihisha mtihani wa Taifa kazi kubwa sana na nyeti. Eti unapiga hesabu kusahihisha scripts ngapi ndio umlipe???
Yaani mtu analipwa kama kibarua wa kujenga matofali mangapi kwa siku?? Kwanza kazi anafanya masaa 11 kwa siku ni kinyume na mkataba wa shirika la kazi duniani...
JESHI LA POLISI LICHUNGUZWE KWA UHALIFU NA UVUNJAJI WA KATIBA.
kwa barua hii sasa ni uthibitisho kwamba kuna hitajika uchunguzi maalum kwa Jeshi la Polisi.
Huu ni Uharamia na Uvunjwaji wa Sheria .Sheria inataka unapo mkamata mtu moja ya haki ni kuwasiliana na Ndugu zake au mwanasheria wake au...
Nilisikia kwenye Chombo cha Habari kuwa; Kwa sheria ya ndoa ya Tanzania, baba ndio anatoa hela za kila kitu kwenye Familia na hela ya Mke haihusu familia......
1. Baba ana wajibu wa kulea na kutunza familia ikiwemo kujenga nyumba, kulipa ada na kila kitu cha familia yake. Nikaona hii ni ile...
Polisi wa jimbo nchini Nigeria Jumanne wamewashtaki aliyekuwa Waziri wa Sheria, Abubakar Malami, pamoja na mwanawe Abdulaziz, kwa makosa matano yanayohusiana na ugaidi na umiliki wa silaha, miezi kadhaa baada ya taasisi ya kudhibiti uhalifu wa kifedha kuwafungulia mashtaka ya utakatishaji wa...
Jina la Mafwele limetajwa na kila mtu aliyetekwa na kufanyiwa ukatili
Kama ni mtumishi wa jeshi la polisi kwanini Rais au IGP hamsimamishi kazi japo kupisha uchunguzi wa tuhuma zake
Hivi askari aliyefunzwa na mzalendo atafanya mambo kama hizi tuhuma za Mafwele
Yaani kuteka, kuuwa, kupoteza
1...
Hivi kwanini kulifanyika Sensa miaka 4 iliyopita?
Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (na Kanuni zake) haijafuatwa na itashangaza kama Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi itakaa kimya huku Sheria ikionekana wazi kuelekea kuvunjwa.
Wenye mamlaka wamezoea kufanya vitu kwa mazoea, nyakati kama hizi...
Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria.
Akiachiwa tu tutaandamana nchi nzima kushinikiza mabadiliko na wahusika wote wa mauwaji kuwajibishwa.
Mwambieni aliye tengeneza kesi hii ya uongo inafaida kwa umma kwani tunapata...
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeadhimisha Siku ya Sheria Nchini katika viwanja vya Mahakama Kuu, ambapo Jaji Mfawidhi wa Kanda hiyo, Joachim Tiganga, amesema kuwa wajibu wao wa kikatiba ni kutoa haki kwa wananchi na kwamba wameendelea kuutekeleza kwa kusikiliza mashauri na migogoro mbalimbali...
Wangapi wanajua kuwa leo ni siku ya sheria?
Wachache maana hakuna mvuto kwa vile hapa tunaishi bila sheria. Sheria ni Samia, Mafwele, Mulilo na watu wao!
https://www.youtube.com/watch?v=Kgl17Gp9Vec
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026, yenye kauli mbiu: “Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa.”
Inafanyika leo Tarehe: 2 Februari...
kuwapangia wabunge nini cha kuongea bungeni wasifie tu ni kinyume cha sheria na hakina msingi wowote ni ujinga na upumbavu.
Nimesikia wabunge wanapangiwa cha kuongeea bungeni tena huongei mpaka uwe kwenye list kama watoto wa shule ya maingi. suala hili linalivua nguo taifa zima kwa ujumla na...
Walivunja kifungu namba 87 cha sheria cha kanuni ya adhabu kwa kupigana hadharani.
Wakamatwe na kwa sababu ushahidi upo wapelekwa mahakamani na wahukumiwe miezi sita jela.
Bodi ya Usajili wa Wataalam wa Mipangomiji (TPRB) imewataka wananchi, wadau na wataalam wa mipangomiji nchini kuhakikisha kuwa utekelezaji wa shughuli zote za mipangomiji unazingatia kikamilifu sheria, kanuni na miongozo.
Agizo hilo limetolewa na Kaimu Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wataalam wa...
DKT. MWIGULU AONGOZA MKUTANO WA KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA BUNGE
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 28, 2026 ameongoza Mkutano wa Kamati ya Katiba, Sheria na Bunge ya Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma.
Mimi ni Mkazi wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini.
Kero yangu ni kwa Shirika la umeme Zanzibar (ZECO).
Wamekuwa na muendelezo wa kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani, ikizingatiwa sehemu hiyo kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center kinachotoa Huduma za...
Anonymous (9bb1)
Thread
dhuluma
kampuni
kazi
kero
kero ya umeme
sheria
shirika
shirika la umeme
stahiki
umeme
umeme zanzibar
unyanyasaji
zanzibar
Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ?
Nimesikia hizi takataka zinasema heti wamekamatwa kwa kukusanyika kwahiyo kukusanyika ni kosa tangu lini na vipi mshushe na bendera ya chama ilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.