katiba

 1. Poppy Hatonn

  Samia Suluhu ameshindwa kutupa Katiba Mpya lakini bado wanataka kumuongezea vyeo

  Ni nani alikuwa anaongoza vikao vya Katiba? Sasa Katiba Mpya iko wapi? Amekuwa ineffective kama Anna Makinda. Fujo kidogo tu za John Mnyika na Halima Mdee zonakwamisha Bunge. Kule Afrika Kusini yupo Mbunge machachari,Julius Malema lakini hatujasikia like Bunge lime collapse.. Nani kama...
 2. M

  Spika Ndugai, suala la akina Halima Mdee bado unavunja Katiba

  Ningeomba kumkumbusha Spika Ndugai kiapo alichokula, cha kuongoza bunge kwa kufuata kanuni na sheria za nchi. Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa alikula kiapo hicho huku ameshika biblia na huku akilitaja jina la Mwenyezi Mungu. Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa kila siku kabla ya bunge...
 3. Torero

  Katiba sasa ibadilishwe Zanzibar kuondosha ukomo wa muda wa Urais

  Ndugu, wakati umefika Sasa wa Kubadilisha katiba ya Zanzibar Kuondosha ukomo wa Urais kwa upande wa Zanzibar. Nashauri Rais aliyopo Sasa aendelee kuingoza Zanzibar hata kipindi chake Cha miaka kumi ikiisha Kwa uwezo wa Mungu. Sote tunashuhudia siku chake tu amefanya Mambo makubwa sana. Na hii...
 4. Dropout

  Jipatie Katiba, Kanuni na nyaraka muhimu za Taasisi yako

  Hello jf Kwakuwa tunapaswa kuishi kwa kuendana na alama za nyakati basi kama wewe ni mmliki au mbeba maono ya taasisi fulani ( kanisa, msikiti, chama,kikundi, jumuiya) Ni wakati sasa uweke mikono ya wataalamu katika taasisi yako tukuandalie nyaraka muhimu za katiba na kanuni ili uweze kuendana...
 5. beth

  Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

  UAPISHO: Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo amewaapisha Viongozi walioteuliwa Aprili 04, 2021. Hafla ya uteuzi imefanyika Ikulu Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Viongozi wengine wa Kitaifa akiwemo Waziri Mkuu Walioapishwa ni Makatibu Wakuu na Naibu Wakatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali...
 6. Dam55

  Hoja binafsi: Vyama vya siasa viwe makini sana kwenye uteuzi wa wagombea wenza katika chaguzi zijazo ama sivyo Katiba imulikwe

  Wasalaam wakuu, Hili ni wazo langu tu kwaajili ya kuleta afya ya kiuongozi kwa Tanzania yetu ili kupunguza hatari za kiuongozi zinazoweza kutokea na nchi kujikuta ikiangukia kwenye mikono ya watu ambao hawakujiandaa kuwa kwenye nafasi fulani fulani za kiuongozi. Katiba yetu iko wazi jinsi...
 7. J

  Kwa Katiba za nchi nyingine Spika ndiye angekuwa Rais kwa miezi mitatu

  Katiba yetu ni nzuri sana ndio maana mambo yote yameenda kwa amani kabisa ndani ya siku 21 za maombolezo. Katika baadhi ya nchi Rais akifa Spika ndio anaongoza nchi kwa siku 90 na kuitisha uchaguzi. Ndio kusema ingekuwa hapa, Spika Ndugai ndiye angekuwa mkuu wa nchi na baadae kusimamia zoezi...
 8. kavulata

  Tuinyooshe Katiba kabla ya kunyoosha maslahi Tanzania, Zanzibar na Tanganyika ndani ya Muungano

  Ili kuyafafanua masilahi ya Zanzibar ndani ya Muungano lazima kwanza useme kweli tupu ni kwanini Tanganyika haipo Tanzania lakini Zanzibar ipo Tanzania. Pili, useme kweli tupu kama Zanzibar ni sehemu ya Tanzania ama ni nchi. Katiba lazima inyooshe kuhusu maswali haya maana ndiyo yatakayotumika...
 9. P

  Mungu anaifahamu vema katiba Yetu; alimtwaa JPM huku akijua VP ndiye atakuwa Rais wetu. Watanzania tupokee hii zawadi kwa mikono miwili

  Mungu hutembea katika maagano, maagano ambayo hufanyika Kati yake na wanadamu aliowaumba akawapa thamani ya Kwanza Kati ya viumbe vyake Vyote. Mandalio ya moyo ni ya Mwanadamu, lakini jawabu la hayo latoka kwa Mungu. Mungu anaifahamu fika katiba Yetu, na kwamba hawezi kuruhusu kifanyike kitu...
 10. humphrey busega

  Ukweli wa Kifaranga na Hatima ya Katiba Mpya

  Inawezekana hizi awamu CCM waliziweka kimkakati sana. Pengine labda bila hizi awamu tungekua na katiba mpya. Pengine ndo maana wenye upeo sisiemu walileta awamu (taste tofauti) zitakazofanya watanzania waendelee kutawaliwa na sisiemu. Naam inajulikana vizuri kwamba ili kifaranga kiendelee...
 11. M

  Rais Samia: Nimepigiwa sana kelele kuhusu Katiba, ila kwa sasa tusahau kwanza

  WanaJukwaa, Rais Samia wakati akiwaapisha Mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza. Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu? Haki huinua taifa. Pia ni zaidi ya mara mbili mama huwa...
 12. Nyankurungu2020

  Kama vyama vya upinzani vingekuwa vinasusia uchaguzi kwa kipindi chote kilichopita tungekuwa tumepata Katiba Mpya

  Huenda uchaguzi mkuu wa mwaka jana umeleta funzo kwa vyama vya upinzani. Maana sasa wanaonekana kupata funzo. Jambo ambalo wanatakiwa kutambua ni kuwa tume huru ya uchaguzi ambayo itaendesha chaguzi kwa uwazi na ukweli bila upendeleo inahitaka. Tangu mwaka 1995 walipaswa kususia uchaguzi kama...
 13. Nyani Ngabu

  Ina maana Katiba haijafuatwa?

  Mimi ni mtu ninayefuata falsafa ya ‘keep it simple’. Sikuona sababu yoyote ile ya Rais Samia kulivunja baraza lote la mawaziri na kulisuka upya. Mabadiliko madogo kama aliyoyafanya ni ya kawaida na niliyategemea. Lakini tuliambiwa na watu mbalimbali kuwa eti baada ya Rais Magufuli kufariki...
 14. chagu wa malunde

  Mbona mnaapishana tu huku mkisahau kudokezea mambo makubwa ambayo taifa letu linayahitaji? Hamjui kuwa mabadiliko ya katiba yanahitajika kwa sana?

  Jana alipokuwa anatoa salamu zake na kutujulisha juu ya wateule wake wapya rais wa JMT ulimi ulimteleza na kutamka bunge la katiba. Najua bado anakumbuka umuhimu wake. Maana hata yeye kuwa makamu wa rais ilikuwa ni pendekezo la mmoja wa wabunge wa bunge la katiba. Sasa ni wazi kuwa rais wa...
 15. Ileje

  Tuzidi kumwomba Mungu katiba mpya bado imo kichwani mwa Mh Rais Samia

  Jana Mh Rais Samia alipokuwa akitoa nasaha zake na kutangaza mabadiliko madogo ya Baraza la mawaziri baada ya kiapo cha Dr. Mpango alitamka neno katiba mpya. Na leo baada ya kuwaapisha katibu mkuu kiongozi na mawaziri ametamka bunge la katiba mara mbili ingawaje inaonekana ni kwa bahati mbaya...
 16. kavulata

  Awamu ya Sita ni awamu ya Katiba

  Kama kuna kipindi ambacho Katiba yetu imelivusha taifa letu basi ni kipindi hiki cha kuwapata viongozi wetu wakuu wa awamu ya sita. Katiba yetu hii imepata heshima kubwa duniani kote na kuifanya Tanzania iheshimike sana Afrika na duniani kote. Tuwatambue hadharani na kuwapa heshima viongozi wetu...
 17. P

  Naona Bunge la Katiba katika awamu ya sita

  Kitendo cha Profesa Kabudi kurudi katika wizara ya katiba na sheria, na ukizingatia Rais wa Jamuhuri ya Muungano ni Mzanzibari na marais wote yaani wa Jamuhuri na Zanzibar wote ni wa kisasa. Zingatia vilevile kuwa wahafidhina wa muungano wa sasa wa kipekee hawapo, mimi simuoni Mwl. Nyerere...
 18. J

  Demokrasia ya Afrika matatani kufuatia Mapinduzi ya Katiba

  Demokrasia katika nchi nyingi za Afrika imekuwa ikilegalega kutokana na Sheria ambazo Bunge linatakiwa kumtii Rais hali inayopelekea Marais kutengua Katiba na kujiongezea muda wa kukaa madarakani. Suala hilo la kubadilisha Katiba kwa kuondoa ukomo wa muda au umri wa Urais linafahamika kama...
 19. W

  Hivi ni kweli Spika Ndugai anailinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano kama alivyoapa ama leo ametuchezea shele?

  Leo katika zoezi la kuthibitishwa kwa jina la Makamu wa Raisi Bungeni Jijini Dodoma Spika wa Bunge, Job Ndugai, alipata wakati mgumu wa kati amruhusu kwanza aliyekuwa Mbunge wa Buhigwe, Dkt. Mpango (VP now), ahutubie kwanza kabla ya matokea ya kura za kuthibitishwa kuwa makamu wa Rais...
 20. Mzalendo2015

  Rais Samia Suluhu hakikisha unawapa Watanzania Katiba mpya. Itakupa heshima kubwa sana

  Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan(SSH), awali ya yote na kwa moyo wa dhati kabisa nikupongeze kwa kuapishwa kuwa Rais wa 6 wa JMT. Watz wanajua huu ni mpanho wa Mungu. Wewe ndiye ulikuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba,(BMK) mkiwa na marehemu Samwel Sitta. Mchakato ulifanyika, tukapata...
Top Bottom