hadharani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Leo ni Mwaka mmoja tangu Polepole ametekwa. Je, yupo hai?

    Tarehe 5 kuamkia 6.10.2025 Polepole alitoweka nyumbani kwake pale Union jioni dsm ikidaiwa alichukuliwa na watu wasiyo julikana. Watanzania bado hatujui hiyo ndugu yetu yupo wapi na kwenye hali gani,Je yupo hai au amefariki. Tuzidi kumuomba watanzania kwa Umoja wetu. Soma Humphrey Polepole...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Chacha amevidhalilisha vyombo vya ulinzi na usalama kusema vinamilikiwa na CCM, watoke hadharani kukanusha na kumpa onyo

    Kikatiba vyombo vya ulinzi na usalama sio Mali ya CCM ni Mali ya umma, Vinaendeshwa Kwa Kodi za Watanganyika wote wawe CCM, chadema, CUF na wasio na Chama. Sio sawa kusema ni Mali ya CCM Chacha kusema ni Mali ya CCM inaviondekea Imani Kwa wananchi. Kuonekana kuwa hivi vyombo vipo Kwa...
  3. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Chacha, ni kweli tunajua Serikali na Vyombo vyake ni Mali ya chama Cha mapinduzi lakini kututamkia hadharani ni dharau kubwa kwa watanzania

    Hivi kwa matamshi haya tutegemee Kuna siku CCM itatoka madarakani? Je tutegemee Tundu Lissu atatendewa Haki? Je tutegemee watanzania kupata mabadiliko ya katiba? Huko CCM mkiwa mnachagua viongozi muangalie na watu wa kuwateua sasa imagine Huyu hajui hata mipaka ya Serikali na Vyombo vyake...
  4. Red black

    JamiiForums Tanzania Mh.Tundu Antipas Lisu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa hadharani lazima vita itatokea Tanganyika.

    Lisu ni Icon ikitokea tu court imesema Lisu anyongwe hadi kufa vita lazima itokee wananchi wengi wanahasira sana na yanayoendelea kwenye serikali dhalimu ,isiyo na haki ya ccm
  5. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Jee Serikali Yaweza Kufungua Shirika la Kuuza Bangi na Mirungi Kwavile Wao wana Kinga? Mbona Inatoa Hadharani Taarifa Binafsi Bila Kibali cha Mahakama

    Ndio tujiulize! Sasa hivi wao wanapuyanga tena mahakamani kwa kutoa taarifa za mtu za siri bila kuiomba mahakama kufanya hivyo? Jee itakuwaje kwa Hao waliotoa hizo taarifa? Hizi njia za mkato bila kujali sheria jee tutashangaa siku ikitokea serikali ikifungua Maduka ya kuuza mihandarati, Bange...
  6. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Iwapo Nchimbi hataonekana hadharani ndani ya wiki moja tutaiburuza Serikali mahakamani

    Msifanye mzaha kwenye maisha ya watu, nampa Rai Katambi, ndani ya wiki moja awe ametoka hadharani na kueleza Dkt. Nchimbi yuko wapi na yuko salama. Isizidi hata wiki moja, kama hatafanya hivyo tutafuata taratibu za kisheria kuiburuza serikali Mahakani.
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Kislam akiwa eda anaruhusiwa kukumbatiwa hadharani?

    Nimejiuliza maswali mengi juu ya huyu bonge Mzimbabwe ambae ana kashfa kubwa ya ufisadi kwenda huko Kizimkazi na kumkubatia rais Samia ambaye kwa sasa yupo eda. Je hii ni sahihi? 👇
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji awatenganisha hadharani wana ndoa ambao walikuwa Mme mmoja wake wawili

    Mume ni mmoja, lakini ana wake wawili: mke mkubwa na mke mdogo. Mke mkubwa aliokoka. Baada ya mume wake kusikia mafundisho ya Injili, alimwacha na kukimbia, akamuacha kanisani.Baadaye, alipooa mke mwingine, huyo mke naye akaokoka. Anafanya kazi katika eneo lake, anachanga na anashiriki katika...
  9. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Kukojoa Hadharani yawa Fashion Dar Aibu na Adhabu Kali vihusike?

    Dar es salaam, ukipita pale Jangwani unaona bodaboda ametoa mboo yake anakojoa, hajali nani ni nani, hajali watoto wa kike wa shule ya zanaki wala jangwani. Ukienda maeneo mengi utaona wanaume wanatoa mboo, anakojoa na akimaliza anakunguta kunguta, unajiuliza hivi haoni aibu na fedheha, sasa ni...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Nchimbi kujiuzulu na kutoonekana hadharani, alKitangulia mbele za haki kwa natural death, watakwepa lawama?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na pia ni hatari ninayaiona iwapo hilo litatokea japo hatuombei ila tusisahai kifo ni wakati wowote na kws yoyote. NB: Kama yuko kwenye depression na ana magonjwa ya kiutu uzima kama vile pressure au kisukari, basi risk inaongezeka na hii ni hatari zaidi...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna uhakika kiasi gani kwamba ni kweli Nchimbi mwenyewe amejiuzulu siasa?

    Ni vigumu kuamini Nchimbi mwenye miaka 54 amestafuu siasa na utumishi wa umma ikiwa hatajitokeza hadharani mwenyewe kusema au kuthibitisha amestaafu siasa kwa hiyari yake. Kujiuzulu nafasi ya umakamu inawezekana lakini kustaafu kabisa siasa haiingii akilini. Anstaafu siasa na utumishi wa umma...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ona kosa la msimamizi wa haki. Kama anaweza kufaya hii akijua inakwenda hadharani, ya ndani je! Tarehe ya hukumu! Mwezi wa 19 & 21 Septembr, 2026

    Najua inaweza kuwa oversight, akapitiwa, lakini kwenye kitu sensitive kama hiki ku determine RIGHTS za watu hapashwi kufanya kosa hili!, kupitiwa. Ya ndani tusiyoyaona yakoje? Anapoandika proceedings anaandika vitu gani? vina reflect wanachokisema parties and their witnesses correctly? This is...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Leo ndo nimejua ni kina nani wanazuia Katiba Mpya hadi Nchimbi akasema hadharani kwamba komaeni mpate Katiba Mpya

    Leo nimemsikia Ally hapi akisema hatarajii katiba mpya iwe tayari kabla ya 2030. Ikiwa hawa ndio viongozi wa jumuiya za ccm na ndo wafanya maamuzi ndani ya chama kumbe nchimbi alimaanisha hawa
  14. F

    JamiiForums Tanzania Undumilakuwili huu wa TEC na Kitime mpaka lini?

    KITIMA, TEC NA KIKAO NA RAISI: UNAFIKI HADHARANI Padre Kitima anadai TEC wamemtuma atueleze kilichojiri. Kwanza sijui nani alimwambia watu wa Imani isiyo yake wanataka awaeleze shughuli yao? Mbona hatuwasikii Anglican, BAKWATA, KKKT na wenzao wakitueleza mambo Yao kama Taifa? Hii ni moja ya...
  15. Eunice selin

    JamiiForums Tanzania Heshima ni bora kuliko zawadi. Mtu anaweza kukununulia kila kitu, lakini akikudhalilisha hadharani, amekupokonya thamani yako.

    Heshima ni zawadi kubwa kuliko vitu vyote vya thamani. Mtu anaweza kukununulia kila unachotamani, lakini akakudhalilisha mbele za watu, amepunguza thamani ya zawadi zake. Zawadi huisha, lakini heshima ndiyo msingi wa upendo wa kweli.
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mwizi halafu ukaoka, ukitoa ushuhuda huo wa kukiri hadharani haukamatwi?

    Nimesikia kuna mtu anasema hadharani na wengine wanamsema wazi pia alikuwa mwizi kibaka anaibia watu mtaani ila sasa hivi katulia zake anatafuta riziki kwa njia halali. Mtu wa aina hii hatakiwi kukamatwa na Polisi kupelekea mahakamani kushitakiwa?
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kampeni za Seneta Edwin Sifuna Zapata Msukumo Baada ya Wakazi wa Kimilili Kumchangia Fedha Hadharani

    Aliyekuwa Katibu Mkuu wa ODM, Edwin Sifuna, alipata uungwaji mkono wa kipekee wakati wa kampeni zake Kimilili baada ya wakazi kujitokeza kwa hiari na kumchangia fedha hadharani katika mkutano wa kisiasa. Kwenye video iliyosambaa mtandaoni, wananchi wanaonekana wakisogea mmoja baada ya mwingine...
  18. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Je, Mama , Dada na Binti kuanika Chupi Hadharani kwachangia vijana kujichua?

    Siku hizi imekuwa kawaida mama kuanika chupi zake nyumbani na kuagiza mtoto wake wa kiume aka anue. imekuwa tabia ya kawaida wauza chupi na bikini au "vikamba-ngono" kuvalisha kwenye midoli na kuweka hadharani chupi na kuonyesha hasa sehemu ya mbele ya mwili. Wanaume wakiona hupata picha...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Motjaba walishamla kichwa au ? unaogopaje kutoka hadharani nchi unayoiongoza iliyojigamba kushinda vita kwenye msiba wa kiongozi mkubwa na mzazi ?

    Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, hatohudhuria shughuli za mazishi ya baba yake, Ali Khamenei, Taarifa hiyo imetolewa na mwakilishi wa kiongozi huyo nchini India wakati Iran ikiendelea na maandalizi ya shughuli za mazishi. kuna possibility kubwa hata huyu walishapita nae
  20. SAMBOZAM

    JamiiForums Tanzania Mwanauke: Mbinu za kupata utajiri usioyumba [Kushuka yaani ni Kupanda tu hadharani]

    Oa Mwanamke kabila la Wakikuyu toka Kenya Ni mabepali wazuri sana
Back
Top Bottom