dodoma

 1. M

  Tahadhali, Tapeli Uzunguni Kilimani Dodoma

  Jamani ndugu zangu wa Dodoma Mjini hasa wale mnaoishi maeneo ya Uzunguni Kilimani, nimepata lalamiko toka kwa rafiki yangu mmoja ananiambia hapo uzunguni kuna jamaa TAPELI MITAA HIYO kuweni makini naye, jamaa yangu anadai katapeliwa na huyo ndugu pesa yake. Inasemekana huyo tapeli ni mgeni...
 2. Stephano Mgendanyi

  UZINDIZI WA KADI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI ZA KIELETRONIKI MKOA WA DODOMA

  UZINDIZI WA KADI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI ZA KIELETRONIKI MKOA WA DODOMA 15 Oct 2021 Katibu Wa NEC Organaizesheni na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dkt. Maudline Cyrus Castico amezindua Rasmi Kadi za Kieletroniki za Chama Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma white House...
 3. S

  Aina ya magorofa kwa kila wizara katika mji wa serikali Dodoma ndio utaamua muonekano wa mji huo wa serikali

  Ujenzi wa mji wa serikali mkoani Dodoma unaendelea, na hivi sasa mtandao wa barabara za lami katika mji huu ni kama umekamilika na umebadilisha kabisa muonekano au mandhari ya huu mji. Hata hivyo, aina ya magorofa kwa kila wizara ndio yataamua muonekano wa jumla wa huu mji..Yale majengo ya...
 4. S

  Rais Samia tafuta fedha au ingia mkataba na sekta binafsi wajenge uwanja wa Mpira wa kisasa Dodoma

  Raisi Samia, utafanya yote, ila kama unataka kuacha jina, basi fanya kila uwezalo kuhakikisha eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa kisasa mkoani Dodoma ujenzi huo unaanza na kukamilika kabla ya 2025. Kwa ukimya uliopo na muda uliokwishapita, ni vigumu sisi wananchi...
 5. Amosmgonja

  Shaka Hamdu Shaka azungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma

  NUKUU: BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI WA CCM, SHAKA HAMDU SHAKA ALIPOKUA ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO 12 OCTOBA 2021 DODOMA "Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kusimamia na kuimarisha haki za binadamu, usawa, demokrasia, kupinga aina zote za ubaguzi pamoja na...
 6. Dodoma Demand

  CCBRT lini mtaleta HUDUMA Dodoma

  Kuna kila ISHARA kuwa magonjwa nyemelezi yatateuwa mkoa wa DODOMA kwa sababu ya shambulio la alshababu la SERIKALI KUHAMIA DODOMA... Ni vyema CCBRT MKASOGEZA huduma kwa wananchi http://www.ccbrt.or.tz/fileadmin/11_reports/CCBRT%202019%20Annual%20Report.pdf
 7. beth

  Dodoma: Rais Samia awaapishwa viongozi wateule leo Oktoba 11, 2021

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwaapisha Viongozi Wateule watatu walioteuliwa Oktoba 08, 2021. Jaji Mustapha Siyani ameteuliwa kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Jaji Omar Othman Makungu ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Pia, Sophia Edward...
 8. U

  Mkutano wa Leo Dodoma

  Inapelekea huu mkutano wa Leo uzinduzi wa kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa taifa na mapambano dhidi ya uviko 19 umetumia fedha nyingi sana. Nikifuatilia utangulizi wake utangamua Hilo kwa idadi kubwa ya waalikwa
 9. Baraka Mina

  #COVID19 Rais Samia azindua Kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19 Jijini Dodoma

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akizindua kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo 10 Oktoba 2021. Fuatilia matangazo hapa Dondoo ujio wa...
 10. N'yadikwa

  University of Dodoma UDOM pandeni miti eneo lililo wazi hapo chuoni

  Chuo Kikuu hiki mnalo eneo kubwa sana ambalo mkipanda miti itasaidia kuweka mazingira vizuri kama UDSM walivonogesha chuo chao na uoto. Pia uoto wa miti kukizunguka UDOM utakuwa mapafu ya jiji la Dodoma ukizingatia nyie mpo juu ya jiji. Mazingira ni Uhai
 11. Pascal Mayalla

  Television ya Taifa,TBC, Imetisha!. Yarusha Live Mbili Kwa Wakati Mmoja! Live ya Dodoma on TBC1 At the Same Time Live ya Arusha TBC2- Safari Channel

  Wanabodi Kwanza wale wenye access, Watch, TBC 1 na TBC 2...shuhudia...!. Kwa watu wasiojua what it takes kurusha matangazo ya TV live mubashara kutoka sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja, mnaweza msielewe, hapa ninashangaa nini!. Kiukweli kituo cha Television ya Taifa, TBC, kimetisha...
 12. U

  Mariam Ditopile: Tegeni sikio Jumapili Rais Samia ana jambo zito sana

  TEGENI SIKIO JUMAPILI RAIS SAMIA ANA JAMBO ZITO SANA-MBUNGE DITOPILE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile leo amejumuika na wanaCCM wenzake katika Kata ya Bulungwa kumuombea kura Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga, Emmanuel Cherehani huku akiwataka...
 13. J

  Katibu Mkuu Umoja wa Posta Afrika (PAPU) awasili jijini Dodoma

  KATIBU MKUU UMOJA WA POSTA AFRIKA (PAPU) AWASILI JIJINI DODOMA Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU),Bwana Sifundo Chief Moyo amewasili jijini Dodoma akiambatana na msaidizi wake Bi Jessica Uwera Ssengooba kwa ajili ya kushiriki maadhimisho ya Siku Posta Duniani yatakayofanyika tarehe 9...
 14. I

  Anayetafuta nyumba au chumba cha kupanga Dodoma

  Kwa mgeni au mwenyeji wa Dodoma mjini, mwenye uhitaji wa chumba au nyumba ya kupanga ani PM kwa mawasiliano zaidi
 15. giningibuza

  INAUZWA Printers - Epson na HP inauzwa

  Wajenzi Dodoma mjini na Mwembe Yanga Dar es Salaam - 0623 071 611
 16. beth

  Dodoma: Waziri Mkuu awataka vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa rai kwa Vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo kupitia sekta mbalimbali zikiwemo Kilimo, Maliasili, Utalii, Ujenzi, Uchukuzi, Mawasiliano, Nishati, Madini, Viwanda na Biashara. Amesema hayo leo akiwa katika Kongamano la Tano la Taifa la Uwezeshaji...
 17. U

  Serikali ya jiji la Dodoma Ondoeni Machinga barabara ya One way na barabara ya Nyerere square

  Ukienda Ulaya hata Asia nchi nyingi, Machinga wanakuwa na soko lao maalumu kubwa, na pia wenye maduka wanabaki madukani, Sasa inakuaje Machinga hataki fremu anataka akakae barabarani Tena mtaa wenye maduka, njia hazipitiki hili halikubaliki. Serikali ya jiji la Dodoma nawaasa muwaondoe Hawa...
 18. cpb

  Uber Jiji la dodoma

  Ninaomba kwa wale wanafanya biashara ya uber/ bolt au taxi mnisaidie mawazo nina gari yangu aina ya Raumu nataka nkafanye biashara hyo Jiji la Dodoma nipeni ushauri nini nifanye changamoto Ili nipate mwanga Nakaribisha mawazo yenu
 19. Jidu La Mabambasi

  Tony Blair kaja kumwona Mama Samia? Nina Masikitiko!

  Kati ya viongozi wa Uingereza waliowahi kunikatisha tamaa ni Tony Blair. Huyu alikuwa Waziri Mkuu wa Uingereza kati ya mwaka 1997 mpaka 2007. Wakati akipata Uwaziri Mkuu, ndiye alikuwa kiongozi kijana kuliko wote kwa miaka 185 ya historia ya Uingereza, na alikuwa na miaka 44 tu. Na alikuwa...
 20. C

  Kutana na walezi wa Biashara na Dodoma Jiji wanaoshangaza mno

  Mlezi mmoja team yake ili struggle kupata nauli ya kwenda Djibout na wachezaji watano hawakuwa na passport wakafika Djibout siku ya mechi wakashinda wakarudi dar wakashinda leo wako round ya kwanza ya kombe la afrika shirikisho, mlezi hakutoa hata senti moja kuwasaidia usafiri wala kusaidia hata...
Top Bottom