Baadhi ya kampuni za mawasiliano acheni masihara, fungeni cable zenye uwezo wa kurusha 5G, na sio 5G ya maneno matupu wakati vipimo vinaonesha 3G
Dunia ya leo sio ya kudanganya watu kwasababu kuna vipimo vya kila aina vya kupima kasi na aina ya Band hivyobasi ni ngumu kudanganya vitu vinavyofaa...
Twende mbele turudi nyuma, CHADEMA ndicho chama chenye kutengeneza ajenda kubwa za nchi kujadiliwa kitaifa.
Mijadala mkubwa zaidi inayoendelea kwa sasa katika siasa ni kukamatwa kwa na kushitakiwa kwa uhaini kwa Tundu Lissu, no reforms no election na CHADEMA kugomea kinachoitwa kanuni za...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kati, Jackson Jingu, ameibua hoja nzito dhidi ya uongozi wa juu wa chama hicho, akidai kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa (bila kumtaja jina moja kwa moja) amezungukwa na watu wasiokuwa na uwezo wa kisiasa wala kiuongozi.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara...
Naapa kwa Mungu lazima niuvuruge Uchafuzi mkuu wa mwaka 2025. Nikiondoka na roho hata moja tu ya mchafuzi nitakuwa na amani kubwa moyoni. Kubwa sana!
Nikipongeze Chama changu CHADEMA kwa msimamo thabiti. Sasa huko mitaani kazi yetu itakiwa nyepesi sana maana itakuwa ni kazi moja tu ya...
Mfugaji au mtu yoyote unaetaka kuanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa na unatamani kufuga aina ya Fresian, usidanganyike kwa Mabaka 😅 Leo tunaendelea na somo letu maalum kwenye group la mafunzo ya ufugaji wa maziwa.Tutaeleza na kuchambua kwa kina jinsi ya kutambua fresian sahii. Tutachambua...
Lecturer hana tofauti sana na Mungu mtu kwa maisha ya chuoni, ana uwezo mkubwa wa kuamua kufanya maisha yako yawe magumu au yawe mepesi, kukufelisha au kukufaulisha
Hata kama ni mke wako huna cha kumwambia mwalimu wake kwenye suala la marks.
Wanafunzi wengi ni ngumu kuchomoa kwasababu kuu...
Sina uhakika sana na hili suala ila ni hisia zangu naonaga Kuna watu wanapenda kula kula Kama vile wajawazito yaani mtu anaweza mkala naye kitimoto ila baada ya nusu sana akiona kuku tayari ametamani kula baada ya nusu saa akikutana na samaki kanunua.
Yaani kitu kile kile cha protein ila...
Ilikuwa hivi.
Hawa madem wanaotafuta kudanga akanikuta dem mweusi , mzuri si haba.
Akaomba akae na mimi nikampa green card akakaa. Akawa anakunywa kinywaji chake baki. Kumbuka alikuwa akinywa.
Tukakaa akawa anataka apewe kwa bili yangu. Akaletewa. Akawa amelewa flan akacheza sana mziki...
Iran ana uwezo mkubwa kijeshi ana jumla ya askari 1,180,000 wakati Israel anao 670, 000
Wadau hamjamboni nyote?
Takwimu zinaongea mayahudi wasithubutu kumchezea muiran hata siku moja kwani wataumia
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Israel has 170,000 active military personnel, along...
Tafiti za kisayansi zinasema Mwanaume mmoja anaweza kuzalisha wanawake 300 ndani ya mwaka mmoja . Wanaume wamepewa uwezo wa kumiliki wanawake .
Kwa mwanaume ni halali kuwa na wanawake wengi ila mwanamke ameumbwa amilikiwe na mwanaume mmoja
LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA
Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791
Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356
Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241
Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora.
"Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA...
Goli la Aziz Ki lilivyokataliwa eti wakaenda CAS kuomba pwenti tatu.ujinga wa hali ya juu.
Nimeanza kufatilia mpira sijawahi kuona goli lililokataliwa na refa uwanjani akapewa mezani.
Pia sijawahi kuona mechi ikiyoahirishwa na mamlaka inayosimamia mpira timu mojawapo ikaomba pointi...
Ndio ile unasikia mtu anafanya internship miaka 6 and out of no where anaambiwa na HR "kwa sasa hivi kampuni inapitia msoto wa kifedha kwa hio hatutaweza ku-afford kukuajiri, kwa hio kila la kheri ila nafasi zitakapo tokea tuta ku-consider wewe wa kwanza"
Unaambiwa hivyo kumbe nafasi yako...
Hivi hakuna tajiri ambaye mwenye uwezo wa kununua meli inayoweza kuvua tani kubwa za samaki.
Sawa tuna serikali njia za reli ila zimeshindwa kuwa na mabehewa yenye friji kusambaza bidhaa hii ya samaki.
Tuje kwa wawekezaji hakuna mtu ambaye ataweza kuonesha kumbe watu wa maziwa tunaweza kupata...
Wadau wa JF kila nikisoma biblia sioni hule uzito wa utukufu anaopewa Yesu kuwa ni Mungu, mazungumzo yake mengi anarejea kwa kumtaja baba yake ambaye ni baba yetu, mungu wake mungu wetu pia, ata ile siku yakupaa inaonesha alichukuliwa hakuwa na uwezo wa kupaa mwenyewe.
Mark Zuckbereg - Facebook, Instagram, Whatsapp
Bill Gates - Windows, Xbox, n.k.
Elon Musk - Starlink,,cybertuck, n.k.
Steve Jobs (RIP) - iPHONE
Sam Altman - Chat GPT
n.k.
Ni nini kinachochangia hali hii?
Je, ni hulka yao au ni mazingira wanayokulia?
Je, kuna uhusiano nakazi...
Wakuu swalamaa......
Nina mpango wa kuanza kutengeneza content (yaani kuwa content creator)mwishoni mwa mwaka huu 2025, yaani baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania.
Je;ni SIMU aina gani itanifaa(kupiga picha,sauti na video) katika ubora wa hali ya juu.
Kuhusu bajeti sio tatizo,maana nadunduliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.