fifa

  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Je, Mheshimiwa Waziri hajakiuka Kifungu cha 19 cha Katiba ya FIFA?

    1\. Kwa uelewa wangu mdogo, na niko tayari kurekebishwa, Waziri wa Michezo haruhusiwi kisheria kuingilia masuala ya kibiashara au kiutawala ya Shirikisho la Soka la Taifa (FA), ikiwemo zabuni za kibiashara za jezi za timu ya taifa. 2\. Chini ya Kifungu cha 19 cha Katiba ya FIFA, mashirikisho...
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania FIFA na CAF zasimamisha Uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nigeria (NFF)

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) likishirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeagiza kusitishwa mara moja kwa mchakato wa uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Nigeria (NFF). Uchaguzi huo ulikuwa umepangwa kufanyika Septemba 27, 2026, mjini Lafia, Jimbo la...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania FT: Brazil U-20 4-1 Tanzania U-20 | FIFA U-20 WOMEN’S WORLD CUP | Stadion Miejski, Bielsko Biała, Poland | 10:00 Jioni

    Safari ya timu ya Taifa ya Tanzania ya wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite Queens, katika mashindano ya FIFA U-20 Women’s World Cup Poland 2026 inaanza leo, Septemba 5, 2026, kwa kukutana na Brazil katika mchezo wa Kundi B. Mchezo huo unaweka historia kwa Tanzania, kwani Tanzanite Queens...
  4. N

    JamiiForums Tanzania TFF na bodi ya ligi mnasuburi nini kumchunguza Nathaniel Chilambo?Au mnataka Yanga tupeleke malalamiko CAF, FIFA na CAS?

    Kichwa cha habari chajieleza vizuri sana. Tunashangaa mamlaka husika za mpira wa miguu nchini hazijachukua hatua yoyote ya kumchunguza mchezaji huyo wa timu ya soka ya Simba. Chilambo ana utata mwingi sana akiwa uwanjani kuitumikia timu yake hiyo huwa anacheza kama nafasi za ulinzi wa pembeni...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ceferin: Sigombei Fifa ila Infantino ajiuzulu

    Rais wa Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA), Aleksander Čeferin, amesema hatagombea urais wa Shirikisho la Soka la Duniani (FIFA) dhidi ya rais wa sasa, Gianni Infantino, lakini amemtaka Kiongozi huyo wa soka kujiuzulu. Infantino anakabiliwa na shinikizo la kuondoka madarakani kufuatia mpango...
  6. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania UEFA yataka rais wa FIFA akumbuke kuwa yeye ni mzungu hatakiwi kukosea

    Rais wa Uefa Aleksander Ceferin amesema Gianni Infantino anahitaji kukumbuka kuwa yeye ni Mzungu baada ya kuelezea mpango wa FIFA wa kuuza hisa katika Kombe la Dunia kama mbaya zaidi kuliko ule wa Super League. Mapema mwezi huu, baraza linaloongoza dunia liliacha pendekezo la Infantino la...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Fifa waandikiwe barua nyingine ili Tff wapewe adhabu. Huwezi kupeleka mechi ya ngao ya hisani Zanzibar wakati Zanzibar wana ZFf na ligi yao.

    Kwa ujumla huku ni kuleta siasa kwenye mpira. Na ni kinyume na misingi ya Fifa inayozuia kuingiza siasa kwenye soccer👇
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche: Tuliishtaki Yanga FIFA, ile barua waliijibu na watu wa Yanga wanajua nini kilitokea

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amebainisha kuwa chama chao kiliandika barua kwenda Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kulalamikia matumizi ya kisiasa yanayofanywa kupitia klabu ya Yanga. Akieleza kuwa walipokea majibu kutoka FIFA yakithibitisha kuwa malalamiko hayo...
  9. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Trump: Itakuwa kosa kubwa Infantino kuondolewa FIFA

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema itakuwa kosa kubwa sana Rais wa FIFA, Gianni Infantino akiondolewa madarakani, na kwamba huenda michuano ya Kombe la Dunia haitofanikiwa iwapo ataondolewa. Kumekuwa na shinikizo la kumtaka Infantino aondolewe kufuatia kukwama kwa mpango wake wa kuvutia...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Infantino aomba radhi, Wajumbe wamuunga mkono bado ni Rais wa FIFA

    Agosti 5, 2026, Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeomba radhi kutokana na makosa yaliyofanywa katika mchakato wa pendekezo lililoondolewa la kuuza haki za kibiashara zinazohusiana na Kombe la Dunia. Wakati huohuo, viongozi wa shirikisho hilo wamethibitisha tena kumuunga mkono rais wake...
  11. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA Gianni Infantino aitisha kikao cha dharula

    Rais wa FIFA Gianni Infantino amewaita viongozi wakuu wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwenye mkutano nchini Morocco siku ya Jumatano, tarehe 5 agosti, kufuatia siku nyingine ambapo rais wa shirikisho hilo amekabiliwa na ukosoaji mkali kuhusu mpango wake uliositishwa wa kuuza hisa za...
  12. political monger senior

    JamiiForums Tanzania John Heche: AFCON na FIFA waliitenga S.Africa sasa ni zamu ya Tanzania

    Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi. Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi? Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa, Utalii na wageni wanaokuja Nchini...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Afisa Mkuu FIFA Apinga Mipango ya Infantino, "Niko Tayari Kufukuzwa Kazi!"

    Afisa Mkuu wa Uendeshaji (COO) wa FIFA, Kevin Lamour, ametoa taarifa kali akisema kuwa wafanyakazi wa FIFA "walidanganywa" kuhusu mpango wa kuuza hisa za mashindano ya FIFA (ikiwemo Kombe la Dunia) kwa wawekezaji binafsi. Alieleza kuwa huu ni "mradi wa mtu mmoja"—akimjumuisha Infantino bila...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FIFA: Hakuna anayeuza soka", Ni mpango wa rais Gianni Infantino wa kuruhusu wawekezaji kununua hisa

    Shirikisho la soka duniania FIFA limesema "hakuna anayeuza soka", lakini mpango wa rais wake Gianni Infantino wa kuruhusu wawekezaji kununua hisa katika biashara za mashindano ya FIFA umeibua upinzani mkubwa. - UEFA imetishia kususia Kombe la Dunia ikiwa mpango huo utaidhinishwa, huku Concacaf...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa FIFA Apanga Njama za Kumuondoa Gianni Infantino

    Mattias Grafström amekuwa mshirika wa karibu sana na mtu wa kuaminika wa Gianni Infantino kwa miaka mingi ndani ya FIFA, akihudumu kama Mkuu wa Wafanyakazi kabla ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu. Kuna madai kuwa Katibu Mkuu wa FIFA, Mattias Grafström, anapanga njama za kumuondoa madarakani Rais wa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mataifa 55 ya UEFA yatangaza nia ya kususia Kombe la Dunia, ikiwa ni hatua ya kupinga mpango wa FIFA wa kuuza hisa za mashindano yake

    Nchi zote 55 wanachama wa UEFA zimepiga kura kwa kauli moja kuunga mkono mgomo wa kususia Kombe la Dunia, ikiwa ni hatua ya kupinga mpango wa FIFA wa kuuza hisa za mashindano yake kwa wawekezaji binafsi, kwa mujibu wa taarifa kutoka BBC Sport. Hivi karibuni, Rais wa FIFA Gianni Infantino...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mpango wa FIFA wa kuanzisha kampuni ya kibiashara ya dola bilioni 20 wapingwa vikali, UEFA miongoni mwa wanaopinga

    Mpango wa FIFA wa kuuza sehemu ya umiliki katika kampuni mpya ya kibiashara yenye thamani ya dola bilioni 20 umezua mjadala mkubwa kuhusu uendeshaji na uwajibikaji katika soka duniani. Pendekezo hilo linaeleza kuwa FIFA itaunda kampuni mpya itakayokuwa ikisimamia Kombe la Dunia na mashindano...
  18. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  19. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Triplets Ghetto Kids Shine on Global Stage with FIFA World Cup 2026 Anthem “Dai Dai”

    Uganda’s celebrated dance troupe, Triplets Ghetto Kids, has reached a historic milestone, performing alongside international superstars Shakira and Burna Boy in the official FIFA World Cup 2026 anthem, “Dai Dai.” Their electrifying performance during the tournament’s halftime show has...
  20. Da Dona

    JamiiForums Tanzania FALSE Viral Claim That FIFA Will Question Infantino Over 2022 World Cup Is False

Back
Top Bottom