starlink

Starlink is a satellite internet constellation operated by SpaceX, providing satellite Internet access coverage to 40 countries. It also aims for global mobile phone service after 2023. SpaceX started launching Starlink satellites in 2019. As of September 2022, Starlink consists of over 3,000 mass-produced small satellites in low Earth orbit (LEO), which communicate with designated ground transceivers. In total, nearly 12,000 satellites are planned to be deployed, with a possible later extension to 42,000. Starlink provides internet access to over 500,000 subscribers as of June 2022.The SpaceX satellite development facility in Redmond, Washington houses the Starlink research, development, manufacturing, and orbit control teams. The cost of the decade-long project to design, build, and deploy the constellation was estimated by SpaceX in May 2018 to be at least US$10 billion.
SpaceX expects more than $30 billion in revenue by 2025 from its satellite constellation, while revenues from its launch business were expected to reach $5 billion in the same year.Astronomers have raised concerns about the effect the constellation obviously have on ground-based observation of the sky (photography) and how the satellites will add to an already congested orbital environment. SpaceX has attempted to mitigate astronomy concerns by implementing several upgrades to Starlink satellites aimed at reducing their brightness during operation. The satellites are equipped with krypton-fueled Hall thrusters which allow them to de-orbit at the end of their life. Additionally, the satellites are designed to autonomously avoid collisions based on uplinked tracking data.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Walioagiza vifaa vya StarLink Internet Wakamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na kikosi kazi maalum cha kuzuia na kupambana na matumizi ya makosa ya kimtandao limewakamata Claudian Makaranga (28) mkazi Kawe na Hongliang Yang (35) Mchina, mkazi wa Kigamboni, kwa tuhuma za kuingiza vifaa vya mawasiliano ya...
  2. M

    Naweza kununua vifaa vya Starlink ili nijitwalie Internet isiyokuwa na Janjanjanja

    Mtu ukiwa Bongoland unaweza kununua na kutumia Internet ya Elon bila ya shida yoyote?
  3. Replica

    Wakamatwa kwa kujitangaza kutoa huduma ya internet ya Starlink Instagram

    Kamanda Murilo leo ametangaza kukamata watu wawili, mtanzania na mchina kwa kuingiza vifaa na kutangaza kutoa huduma ya internet ya starlink. Polisi wamesema wameuza vifaa hivyo bila kuidhinishwa na TCRA. Naona kama mitandao yetu wanaipiga pini starlink by fire, by force 😅 Kwanini Serikali...
  4. MKATA KIU

    Watu wanaolalamikia internet kufosi Starlink mbona Voda, airtel wana unlimited nzuri kwa 120,000 tu kwa mwezi

    Habari wadau. Binafsi nawashangaa sana watu wanaolalamikia kwa nini star link haipo? Chief-Mkwawa amelinganisha vizuri kuhusu bei za internet ya starlink vs bei za ISP wa bongo. Bei za unlimited bongo now Airtel 70,000, TTCL 55,000, Vodacom 120,000, Zuku 69,000, Raha 50,000, Netsolution...
  5. Kaka yake shetani

    Internet ya starlink inafanya kazi tanzania tatizo ISP Starlink ni vikwazo na sheria wala sio huduma

    Unapozungumzia setelite tofauti na huduma zengine ambazo ni rahisi kuwekewa vikwazo mfano mfumo wa redio za sauti,mawasiliano ya simu na njia za waya au wireless zenye uwezo masafa yasio kwenda juu usawa wa bahari. nimeleta mada kwenu sababu hiki kifaa nakitumia hapa tanzania na kwenye usajili...
  6. bahati93

    Utalii kenya kupaa kwa kuzindua Starlink

    Nimekuwa nikifatilia kwa makini harakati za Kenya kuipatia vibali kampuni ya Starlink kuanza kufanya kazi nchini humo, mwaka huu mtandao wa Starlink utaanza kufanya kazi. kwa masikitiko makubwa sijasikia lolote kutoka TCRA tangu mara ya mwisho kusikia kampuni hio kuomba vibali. Nashangaa kwa...
  7. T

    Elon Musk: Starlink sasa yaingia Msumbiji

    Huduma ya internet ya bei nafuu na yenye kasi kubwa ya Bwana Elon Musk ya Starlink sasa inapatikana Msumbiji. Sasa karibu nchi zote zinazoizunguka Tanzania zina Starlink. Tanzania tunasubiri Elon Musk aje ajenge ofisi Tanzania kwanza. Huduma ya Starlink inanunuliwa kwa dollar 500 sawa na...
  8. olimpio

    Kwanini nchi nyingi za Kiafrika zinaikataa Kampuni ya StarLink?

    Hivi karibuni mamlaka ya mawasiliano ya Afrika ya kusini imetoa kauli ya kuzuia uingizwaji wa vifaa vya starLink. Baada ya Afrika ya kusini Mamlaka ya mawasiliano ya Ghana nayo imepiga marufuku India ni moja ya nchi barani Asia zilizo zuia pia, Uturuki na Egypt pia. Ukiacha tetesi za CIA kuwa...
  9. MamaSamia2025

    Starlink yatupiwa lawama Zambia. Nape aliona mbali

    Nadhani ni wakati sahihi kwa watanzania wote waliowahi kumlaumu Nape kuhusu kampuni ya Starlink kumuomba msamaha na kuungama makosa yao. Hawakufanya vyema. Pamoja na mapungufu yake ni kuwa Mheshimiwa Nape aliona mbali katika hili. Ndani ya muda mfupi sana wananchi wa Zambia wameshaanza...
  10. BARD AI

    Nchi 6 zilizotoa Leseni kwa Starlink kutoa huduma za Intaneti yenye Kasi zaidi Afrika

    Zambia imekuwa Nchi ya 6 barani Afrika kuridhia uwekezaji wa Kampuni ya SpaceX kuanza kutoa huduma za Intaneti yenye kasi zaidi kupitia Starlink, hatua inayotajwa kuwa itapunguza urasimu kwa Watoa huduma waliopo pamoja na kuongeza Ubora wa Mawasiliano ya Mtandao. Kampuni ya Starlink...
  11. Salahan

    Internet ya Elon Musk (Starlink) Yakubaliwa Zambia

    Sasa wambia kufuruhikia internet ya satellite hata ukiwa mashambani...Tanzania,Congo,Uganda tunajifikiria bado. walipofikia Kenya vitu vinashuka sisi bado tuko na bando zakupimiana GB.Mkonga wa taifa mixer 5G kuna watu hawataki ushindani.
  12. JITU BANDIA

    Starlink (Satellite internet) Now approved in Zambia! Kama nchi tunakwama wapi!? Kuwawekea urasimu hawa jamaa?

    Hili linakuhusu Nape Nnauye kwa nini mnawawekea urasimu staring!? Kuwekeza katika sekta ya internet!? Nahisi kuna harufu ya rushwa kubwa sana kwenye hili swala... kwa watoa Huduma&wizara yenye dhamana... Maana hawa jamaa endapo wakitia maguu... huo ndio utakuwa mwisho wa huu wizi wa kimacho...
  13. T

    Starlink internet sasa yaingia Zambia, Wazambia sasa kupata internet ya kasi isiyo na kikomo

    Kampuni ya kusambaza mtandao ya Starlink ya Elon Musk imepewa kibali cha kutoa huduma nchini Zambia. Kwa sasa wazambia wataanza kupata internet ya kasi zaidi kutoka Starlink. Kumbuka Starlink inakupa internet ya 1 Terabyte kwa chini ya shilingi laki 1 kwa mwezi kwa kazi kubwa na ukimaliza hiyo...
  14. Vincenzo Jr

    Je, kwanini Tanzania hatupati huduma ya starlink nini shida?

    Wenzetu Malawi wameshaanza kutumia huduma ya starlink toka mwezi July sisi Tanzania tunasubiri nini au waziri wa mawasiliano anakazia ni nini hasa?
  15. Not_James_bond

    StarLink internet ingekuwa msaada mkubwa kwa Tanzania

    Nchi nyingi zinaweza kuona faida katika kujiunga na mfumo wa Starlink kutokana na sababu kadhaa: 1. Kufikia maeneo ya mbali: Nchi nyingi zina maeneo ya vijijini au ya mbali ambayo hayajafikiwa na miundombinu ya intaneti ya ardhi. Kwa kujiunga na Starlink, nchi zinaweza kutoa huduma ya intaneti...
  16. T

    Huduma ya Starlink yaanza kupatikana nchini Kenya

    Huduma ya mtandao ya Starlink imeanza kupatikana nchini kenya kwa taarifa iliyotolewa na Bilionea Elon Musk. Tanzania Nape alisema Musk hajatimiza vigezo.
  17. QGISInsights

    Kenya kuanza kutumia huduma za Startlink

    Naona majirani wamesharuhusu Starlink, sasa EastAfrica wapo Rwanda na Kenya. Ni nini shida na serikali yetu kushindwa kuruhusu hili ukiachana na vigezo alivyotoa Waziri visivyo na mashiko? --- Tajiri Elon musk Leo hii alasiri ameposti kwenye page yake ya Twitter aki confirm kwamba Kenya...
  18. Tareq20

    Hivi huduma za Starlink za Elon Musk tutazipata kweli Tanzania?

    Naona matumaini ya kupata huduma za Starlink za Elon Musk zinaweza zikawa zinakwamishwa kwa makusudi sio na Nape tu bali na wakubwa na inaweza ikawa ni Kwa maslahi binafsi juu ya hizi kampuni za kinyonyaji tulizonanzo. Angalia video hii uone maswali yanavojibiwa daaah tuna Safar ndefu sana !!!
  19. Kang

    Amazon kuzindua mshindani wa Starlink mwaka 2024

    Project Kuiper ya Amazon ambayo itatoa huduma ya mtandao kwa kupitia satelite inatarajiwa kuanza kazi 2024. Huduma hiyo itakuwa na spidi zifuatazo. Standard 400Mbps Ultra-compact (Dish ndogo) 100 Mbps Pro hadi 1Gbps. Bei zitatangazwa huku mbele ila zinategemewa kuwa shindani na Starlink. Jeff...
  20. BARD AI

    Kampuni ya Tanzania yasaini mkataba wa ugavi wa madini na Tesla ya Elon Musk

    Wakati maombi yake ya leseni ya kutoa huduma za intaneti kupitia kampuni yake ya Starlink yakiwa yamewekewa kigingi na masharti ya serikali, Bilionea Mmarekani Elon Musk amepenya kwenye soko la Tanzania ambapo atanunua malighafi ya kutengenezea betri za magari ya umeme. Taarifa iliyotolewa kwa...
Back
Top Bottom