Kuna wimbi kubwa sana la wadada na wamama kuendesha pikipiki hizi za kuchaji kati kati ya miji.
Kwangu Mimi naona ni jambo jema lakini wengi wenu hamzingatii kabisa Sheria za barabarani na Nina uhakika hamzijui kabisa.
Nimeshuhudia tukio Moja la dada mmoja kugongwa na gari akikatiza pasina...
Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
fomu
fomu za maadili
haja
ili
kujaza fomu
kuzuia
maadili
mabaya
madaraka
michango
ofisi
sheria
shughuli
siasa
viongozi
vyama
vyama vya siasa
wakuu
wote
Photo by Kampala Express
The Uganda People’s Defence Forces (UPDF) Military Police Brigade, in coordination with Uganda Traffic Police, has launched a countrywide operation targeting vehicles without number plates, registration or valid licences.
The operation, dubbed “Tekeleza Sheria,” began...
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Jamaa ni Mwamba kwelikweliiiiiii Ambaye Watu wenye Uwezo Mdogo Aina ya John Heche Hawatakaa Wamsahau Huyu Mwamba .
Mwamba Amemgeuza Geuza Heche utafikiri Samaki anayekaangwa kwenye Mafuta ya Moto . Yaani hadi Heche Akaishiwa Nguvu za Kusimama na kuamua kukaa chini...
Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni nyingine zinazohusiana na mifugo.
Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani Simiyu.
📍Itilima - Simiyu.
📅 Septemba 14, 2026.
Fikiria watoto wawili wa miaka 15. Wanasoma darasa moja, wana umri sawa na wako katika uhusiano wa hiari. Polisi wanapofika, mmoja anaenda nyumbani huku mwingine akiondoka akiwa amefungwa pingu.
Mvulana.
Hili ndilo linalofungua mjadala mkubwa kuhusu namna Kenya inavyoshughulikia mahusiano ya...
Unamkuta Mzanzibari amehamia huku Bara, watoto wake wanasoma shule hizi hizi, wanatumia hospitali hizi hizi na wanakua katika mazingira haya haya pamoja na watoto wa Tanganyika / Bara.
Lakini kuna wakati maisha yanapofika kwenye fursa, uraia na umiliki, tofauti inaanza kuonekana.
Mtoto wako na...
Kuna mambo yakitokea duniani basi moja kwa moja fahamu kuwa upo ndani ya bara la Afrika na kuna upuuzi ukitokea Afrika basi fahamu tu upo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nadhani mahakama za kwetu Tanzania ndio zinaongoza kwa kutoa maamuzi kichwa kichwa sana, vitivo vya sheria ndani ya chuo...
"Ai see, hilo swala bwana... Kwanza ningetamani sana kukujibu lakini sasa ha- hili jambo pia lipo kwenye... kwenye mikono ya sheria kwa hiyo sasa kila... Kwa upande wa ambao wanalilalamikia jina... wanaosema wamepotezea jina nao wana... wana mashtaka yao, lakini na mimi pia nina mashtaka yangu...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo nikiishangaa jinsi nchi yangu Tanzania tulivyo nchi ya ajabu!, pamoja na fursa zote za kidigiti, na biashara ya mtandaoni, lakini mpaka leo bado sisi Tanzania, kama nchi, hatuna Sheria ya biashara mtandao, E-Commerce...
Ni muhimu kwa wananchi na waTanzania wote kujitenga na matukio au magenge ya kihalifu, lakini pia kujiepusha kabisa katika kukiuka sheria za nchi na vitendo vya uvunjifu wa amani.
Ni vizuri kutii sheria bila shuruti na kuishi na watu vizuri na kwa upendo na amani. Hii itasaidia sana kila moja...
Je viongozi wa Serikali wanajua sheria au tumeamua nchi iongozwe kwa mtizamo wa mtu mmoja mmoja?
Kumeibuka kasumba kwenye shule nyingi hapa nchini kuweka kambi za kitaaluma kwa kigezo chan "vituo vya mada tata" au bweni bubu na wanafunzi kufundishwa muda mrefu bila kupata nafasi ya kuchangamana...
Kwenye betting tunasema cash out
Ukiwa unatazama game inavyoenda unaweza kuona uelekeo na kutoa mzingo
Mnyukano wa hoja unaendelea
Namkumbuka
1. Walianza mashahidi wa Jamhuri
2. Ushahidi muhimu wa video na picha ulikataliwa, ambao ulikuwa muhimu
3 TAL akiwabana Mashahidi wa kubumba
4...
Nchini Singapore kwa mujibu wa sheria kupiga kura ni lazima. Kila mwananchi ana jukumu la kupiga kura na mwananchi ambaye hatashiriki kupiga kura bila sababu ya msingi kama vile ugonjwa au kuwa nje ya nchi jina lake linaondolewa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Ili kulirudisha jina...
Yaani unakuta kiongozi ni msomi kabisa, tena anaongoza chama cha siasa au taasisi halafu eti ni mropokaji na fisadi wa mali za chama chake. Hii imekaaje my friends, ladies and gentlemen?
Je,
mtu wa aina hii anakua bado hajajikimboa kifikra au elimu aliyonayo ni ya kukiuka sharia, kuomba...
Nianze na tukio lililotokea juzi na likanihuzunisha mno. Watu wa maliasili wamepita barabara ya Nangurukuru-Liwale wakakusanya na kuchukua mkaa wa walalahoi wote wanaouza mkaa barabarani, wengi ni wanawake walioporwa mkaa wao aisee wamelalamika mno!
Tukibaki na maliasili haohao, mtu akikutwa...
Sheria inasema foreigner anaweza kupewa derivative right ya kumiliki ardhi kwaajili ya uwekezaji tu. Kuhusu swala la disposition (kuuza/kurithisha) ardhi husika Sheria ya ardhi imewaka restrictions kwamaana kwamba mwekezaji atatakiwa kurudisha ardhi kwa wamiliki waliompatia haki ya kuwekeza...
Nchini Nigeria sheria inawaruhusu wanawake kuwashtaki wanaume kwa kuvunja ahadi ya ndoa ikiwa uchumba utavunjika.
Jambo hili huchukuliwa kama mkataba wa kisera (civil contract), mwanamke anaweza kudai fidia kwa hasara alizopata.
Hii inajumuisha gharama zilizotumika katika maandalizi ya harusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.