usalama barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Suley2019

  Arusha: Rais Samia ataka mitandao ya kijamii kutoa elimu usalama barabarani

  Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutumia mitandao ya kijamii kutoa elimu ya usalama barabarani na kushirikiana na vyuo vya usafirishaji kufanya tafiti ili kusaidia kupata suluhu ya kukomesha ajali barabarani. Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi...
 2. beth

  Rais Samia: Askari mnalalamikiwa kushikilia leseni za madereva muda mrefu

  Rais Samia Suluhu Hassan amesema bado Askari wanalalamikiwa kwa masuala kadhaa ikiwemo kushikilia Leseni za Madereva kwa muda mrefu au kuwalazimisha kulipa faini papo hapo ilihali Sheria inampa muda Dereva wa kuilipa. Amesema, "Kingine ni kuna ukamataji mwingi wa Vyombo. Ukipita Vituo vya...
 3. beth

  Rais Samia: Vijana wahanga wakubwa wa ajali za barabarani

  Akishiriki Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Kitaifa Jijini Arusha, amesema takwimu zinaonesha zaidi ya 90% Ajali za Barabarani husababishwa na makosa ya kibinadamu ikiwemo mwendokasi, kutovaa mikanda na kupita gari lingine bila tahadhari. Amesema, "Uendeshaji wa Vyombo...
 4. Doctor Ngariba

  Askari wa usalama barabarani mnasababisha foleni acheni taa ziongoze magari

  Ladies and Gentlemen nawasalimu kwa "Amani ya Muumba iwe nanyi" Nikiri kuwa kuna mambo yanaenda sivyo ndivyo tangu Nzilankende arest in peace kwa mfano ukataji wa umeme hovyohovyo. Pia mengine yanaenda shwari.Hebu kila mmoja atimize wajibu wake. Niende moja kwa moja kwenye mada, Ni kwamba...
 5. mwaki pesile

  Muongo wa Hatua za Kuimarisha Usalama Barabarani 2021 - 2030

  Muongo (decade of action )wa hatua za kuimarisha usalama barabarani wa 2021-2030. Utangulizi Leo tunawaletea makala kuhusu Mpango wa Utekelezaji (Global Plan of Action) wa Mkakati wa miaka 10 wa Umoja wa Mataifa wa kupambana na vifo na majeruhi kutokana na ajali ambao unajulikana kama Muongo...
 6. PendoLyimo

  Temeke: DC Jokate Mwegelo azindua mradi wa usalama barabarani

  Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo siku ya Ijumaa 22/10/2021 amezindua mradi wa Usalama Barabarani katika Kata ya Temeke kwa shule za msingi Ruvuma na Madenge chini ya ufadhili wa shirika lisilo la kiserikali la Amend kwa ushirikiano na ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke...
 7. Chaliifrancisco

  Yajue mabadiliko yanayokuja katika Sheria ya Usalama Barabarani

  Serikali inakusudia kufanya marekebisho kadhaa katika Sheria ya Usalama Barabarani, Sura ya 168. Marekebisho yaliyowasilishwa Bungeni kupitia Mswaada wa Marekebisho ya Sheria ya makosa ya Barabarani ni pamoja na:- 1. Marekebisho katika Kifungu cha 21, kwa kuweka sharti la lazima kwa mtu yeyote...
 8. K

  Usalama barabarani, ukiona bodaboda kaning'iniza sendo na kitambaa kwenye exhaust usipande

  Hii ni kwa usalama wako! Kuna ajali na vifo vingine vinapangwa na wanadamu wenyewe kwa kutokujali na kuangalia usalama wa barabarani Kiukweli dereva bodaboda wengi ndani ya jiji la Dar es salaam hawajali usalma wao kabisa, hii imepelekea vifo na ulemavu wa kudumu kwa kundi hili na abiria wengi...
 9. Crocodiletooth

  Faini ya bodaboda ilistahili kuwa Shilingi 50,000; tutashuhudia mengi kwa wasiozingatia usalama

  Binafsi sijafurahishwa na faini za bodaboda kushuka na kuwa 10,000/-kwani kwa jinsi ninavyowafahamu hawa ndugu zetu na rika lao,10,000/- itakuwa si chochote kwao na watadharau sana utaratibu wa barabara zetu hivyo huenda maafa yakawa makubwa zaidi kuliko vile itakavyofikiriwa. Jambo lingine...
Top Bottom