Nina wiki sasa siwezi access internet kutumia ruta ya airtel. Nililipia unlimited bundle 70k lakini nimetumia siku moja tu ndio nilibahatika kupata internet.niliongea nao kwa simu sikupewa majibu ya kueleweka naona uko wanaajiri watu wajinga wajinga wa kuokota wa bei chee maana ilibidi nikate...
Jamani, nimelipia router ya Airtel 5G, lakini mpaka sasa sipati internet kabisa.
Nimewasiliana na 100, nikaambiwa kuna tatizo la mtandao lililowakumba watumiaji wote na kwamba internet itarudi, na kwamba siyo tatizo la kifaa wala ufundi.
Sawa, nikasema ngoja nisubiri.
Lakini cha ajabu, mpaka...
Wakuu kwema,
Leo Airtel wamezima mtandaoni wa Internet kwa watu wote wanaotumia rooter zao nauliza mtu ameweka bando unlimited wewe unamzimia bila maelezo yoyote na je Kuna compensation yeyote baada ya kuzima internet
Tuanzie wapi kuwashtaki..
Soma pia
Airtel 5g: Ni kasi ya mtandao au ni...
Katika biashara ya kuuza bando, baada ya laini za Corp na Super Corp zilizokuwa tegemeo la wauza bando kuzuiwa mwezi May, laini za Faith zimekuwa kama tegemeo lililobaki kwa baadhi ya wauzaji kwa sababu zina access ya package ambazo zinaweza kufanya biashara ya bando iwe na maana
Lakini kuna...
Starlink has officially rolled out satellite internet services in Uganda, promising high‑speed, low‑latency connectivity across the country. The service offers residential speeds of up to 100 Mbps at a monthly subscription of UGX 203,704, with an upfront equipment cost of about UGX 1.7 million...
Toka 2016 kumekuwa na ‘dead internet theory’ = nadharia ya kifo cha internet. Kwa kifupi, ndani ya internet za maongezi na majadiliano, kumeingiwa na akaunti za maBOT – yaani akaunti za maroboti zikijifanya ni za watu hai. Kwa hiyo ndani ya Whatsapp, fesibuku, Instagram, tiktok, nk unaweza kuwa...
Watoa huduma karibu wote(kama sio wote) wa internet wanasema siku 30 (sio mwezi) za huduma. Kwanini sio mwezi mmoja? Profit maximization??. Kwa mtazamo wangu wanaiba siku 6 (kwa mwaka) for every subscriber (wako hundreds of thousands if not millions). Basi na Tanesco, Dawasco e.t.c wafanye...
Kila wiki inayopita kuna nyumba, jengo au fremu mpya inayopandisha antenna ya kusambaza internet. Wengi wameona fursa, wamenunua vifaa, wamevuta fibre na kuanza kuuza vifurushi vya Wi-Fi.
Lakini kinachonishtua si ongezeko la watoa huduma, bali kasi ambayo biashara hii inaanza kujiharibia...
UCC ED, Nyombi Thembo.
The Uganda Communications Commission (UCC) is pushing to expand 4G broadband coverage to 90 per cent of Uganda’s geographical area as part of efforts to accelerate digital transformation and widen access to reliable internet services.
UCC Executive Director Nyombi Thembo...
Naanza kuwajua WABAYA wa Taifa letu taratibu Sasa
Umeme ni kitu MUHIMU saa kwa ulinzi wa Taifa letu😅
Internet ni MUHIMU sana kwa wapinzani wakitaka kupindua inji yetu ya Tanzania.
Naelewa Sasa kumbe gridi ya Taifa Jana ilizimwa na heche na wenzake wakina Tundu Lissu ili walipindue inji yetu...
Habarini,
Kwa sasa imezidi yaani ukijiunga na bando kupitia laini ya internet ya halotel jaupati sms ya kujiunga.
Huu ni wizi wa kimkakati kwani hata ukiangalia salio la kifurushi hupati sms .
Serikali imelala tu wananchi wanaibiwa!!
Mara ya kwanza nilidhania router yangu mbovu. Mara ya pili nikajua mawingu na mvua iyo week. Ila sasa nimeconfirm.
Kama ni mtumiaji wa router za Airtel, ikivuka 500GB wana limit speed.
Mfano, mimi ni mtumiaji wa kifurushi cha 70k kwa mwezi ambayo niliahidiwa kupata 25Mbps ila Average uwa...
Anahitajika binti mwenye uwezo mkubwa wa kutumia simu na computer.
Ofisi yetu inafanya kazi 2 ambazo ni kutoa huduma ya internet Morogoro mjini na kukata tiketi za treni ya SGR.
Anahitajika mdada smart anayefahamu kutumia computer na simu vizuri, awe sharp na asiye na hasira za hapa na pale...
Wakuu naombeni mnifingue macho pengine Kuna kitu ntakua sikijui mpaka leo au ntakua nimekilock bila Mimi kujua.
Nikifungua page yoyote internet inakataa kwamba Sina Salio lakini nikiangalia Salio kwa kutumia menu ya kawaida naambiwa MB bado ninazo hapo tatizo litakua ni nini?
Iran is threatening undersea cables. The world’s ‘digital chokepoints’ have never been more vulnerable
Ngoma inogile waache wajichanganye tena safari hii hata pesa kwenye ATM hawatatoa .
Hizi zimepita pale Hormz ,wasipokata watalipisha tozo kama Misri lakini Iran wao waliacha free lakini dunia...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 ameeleza namna alivyopambana wakati anafanya kazi na Radio Tanzania Mkoa wa Songea
Shida ni kwamba hizi kampuni ambazo zinajihusisha na services za home internet zinakuwa kwanza hazisemiukweli interms of amount ya data unayopata, mfano unaweza kulipa unlimited kwa speed kiasi flani lakini unakuta kumbe limit ni 1tb, so wanakuwa wana advertise uongo na hawajulishi watumiaji...
Anonymous
Thread
data
internet
kampuni
kuhusu
mteja
nyumbani
ukweli
Internet users in Tanzania have continued to rise, reflecting the rapid growth of the country’s communications and information technology sector, with new data showing a significant increase in the use of various services over the past year.
Read Also: Tanzania’s inflation rate rose to 3.3% in...
Sasa TTCL wameamua kuingia mazima kwenye huduma za intaneti ya kisasa.
Usambazaji wa fiber internet unaendelea kwa kasi kubwa, hasa maeneo ya mijini ambako huduma hii inazidi kuwafikia wananchi wengi zaidi. Tofauti na zamani, sasa wanafika hadi mitaani, wakizungumza na wakazi moja kwa moja ili...
bei
bei nafuu
gharama
gharama nafuu
hatua
hongera
intaneti
internet
juhudi
kasi
kubwa
kupatikana
mitaani
mkurugenzi
nafuu
pongezi
ttcl
usambazaji
wananchi
watanzania
wengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.