• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

utawala

 1. S

  Kwa kauli hii, Rais Magufuli anakiri kuna mabaya yanafanyika chini ya utawala wake?

  Hii hapa chini ni tweet ya leo ya East Africa Tv wakimnukuu Raisi Magufuli: 'Tutaendelea kujenga barabara za mtaani kwa lami kwasababu tumepanga katika mapato tunayokusanya ni lazima asilimia 40 itumike kujenga miundombinu yetu, ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri na sio mabaya kwasababu nimejitoa...
 2. T

  Paskal Mayala mbona hudadavui kuhusu chuki hii inavyoenea utawala huu?

  Paskali fahamu kuwa hata kabla sijaamua kujiunga rasmi JF nimekuwa nikisoma sana nyuzi zako. Mara nyingi umekuwa ukianzisha nyuzi ambazo na mimi nakuwa nimezifikiri na hivyo unakuwa umeniwasilishia kwa hakika. Lakini sio zile nyuzi ambazo sometimes zinafanya usieleweke. Leo Paskali naona...
 3. N

  Zimbabwe yafanya toba kwa mabeberu. Yatunga sheria ya kurudisha ardhi iliyoporwa na utawala wa Mugabe.

  Zim to give back farms taken under land reform programme 20:20 10/03/2020 Crecey Kuyedzwa Zimbabwe has announced plans to give back land controversially taken over under its controversial fast track land reform programme, which started in 2000. The programme, which was criticised for being...
 4. technically

  Miaka 5 ya utawala wa Rais Magufuli ametengeneza Serikali ya kishikaji kuliko Kikwete

  Kikwete alilipa bunge meno ili kuikalipia serikali kila wakati inapofanya ndivyo sivyo, kikwete alifika wakati akawatumbua washikaji zake kama Kagasheki, Lowassa, Nchimbi na Tibaijuka na wengine kibao. Magufuli toka ameingia madarakani Makonda, Kabudi, Dotto James wametuhumiwa ila hajachukua...
 5. jd41

  Kufukuzwa Membe CCM: Hakika siasa ni Mchezo kama ilivyo Karata na Draft

  Wanabodi Salaam. Ikiwa taarifa za kufukuzwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu. Bernard Camilius Membe zikiwa bado zinatikisa mimbari ya siasa Tanzania, nimejikuta ninakumbuka matukio machache kabla ya uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2015. Ikumbukwe wakati ule mgombea aliekuwa anapewa nafasi...
 6. Sky Eclat

  Maneno ya mwandishi Ansbert Ngurumo juu ya utawala wa awamu ya tano

  Msikilize Ngurumo
 7. Z

  CCM waliojiita wanamtandao bado wanataka kusifiwa nje ya utawala

  Makamba alishika ukatibu mkuu baada ya Mangula. Likaundwa kundi lilioitwa wanamtandao. Wakawatenga wana CCM wengine. Mtu kama Mangula alisahaulika kabisa akawa mtu wa kijijini, Iringa. Nafasi ya katibu mkuu ikawa ni ubingwa wa vijembe, akajisahau na CCM ikakosa umaarufu akiwa hana habari...
 8. B

  Dhamana katika tawala zenye kuheshimu wajibu wake ni haki ya mtuhumiwa

  Dhamana mahakamani au polisi ni haki ya kila mtuhumiwa. Hii ni pasipo na kujali tuhuma mtu alizo nazo pale inapodhihirika wazi kuwa mtuhumiwa atapatikana muda atapohitajika pasipo na kukosekana. Ona kama hivi kwa majirani zetu...
 9. Jidu La Mabambasi

  Waziri Mkuchika: Ukihisi umeonewa kwa kuwekwa ndani bila makosa fungua mashtaka

  Mzee George Huruma , Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais inayoshughulikia Uawala Bora kwa kweli umetufungua macho. Nimeona hii clip mahali. Kuna figisu figisu nyingi za kuchomeana na kubambikiwa kesi zinazoendelea nchini. Kuna maRC, maDC wanaona raha kumweka mtu ndani ili tu kujimwambafy. Kumbe...
 10. Wakulonga

  Miaka 20 ya utawala wa Rais wa Urusi katika picha

  Picha mbali mbali zinazomuonyesha rais wa Urusi Wakati wa utawala wake wa miaka 20 Vladimir Putin: Miaka 20 ya uongozi ndani ya picha 20
 11. Ami

  Mfumo gani bora wa utawala unaifaa dunia?

  Wakati duniani kote kuna harakati kubwa za maandamano ya wananchi wanaotaka mabadiliko ya utawala kwa nchi zao.Harakati hizi zinakwenda sambamba na mauwaji makubwa ya waandamanaji kutoka kwa watawala.Wapo ambao baada ya hasara wanazozipata wanafanikiwa kupata wanachokitaka. Wale ambao...
 12. beth

  Tume ya Haki Binadamu na Utawala Bora yaangukia vyombo vya habari

  Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Jaji mstaafu Mathew Mwaimu, amesema tasnia ya habari kuwa ndio wadau wakubwa wa haki za binadamu nchini. Jaji Mwaimu alisema hayo jana katika mkutano uliofanyika Zanzibar wa kuwajengea uelewa wa pamoja makamishna wa tume...
 13. Abdalah Abdulrahman

  Viongozi wa Dini na utawala wa Dr John Magufuli

  Viongozi wa dini zote wanalojukumu kubwa la kujenga mioyo ya wanachi kwa kutekeleza yale Mungu anayoyataka na kuya acha yale Mungu anayokataza. Hili linathibitika katika dini ya Kiislamu tunapo ambiwa katika Quar-an takatifu kuwa litoke kundi miongoni mwenu litakalowaamrisha watu mema na...
 14. Manyanza

  Tottenham yamtimua Pochettino na benchi lote la ufundi. Jose Mourinho ateuliwa kuinoa Klabu hiyo

  Klabu ya Tottenham Hotspurs imemfuta kazi Kocha wake Mauricio Pochettino mwenye miaka 47, baada ya kuiongoza timu hiyo kwa miaka mitano Taarifa ya timu inasema matokeo ya mwishoni kwa ligi za ndani msimu uliopita na matokeo ya msimu huu si ya kuridhisha Pochettino aliyeiongoza timu hiyo kufika...
 15. C

  Tanzania: Nchi pekee ambayo wapinzani wanathubutu kunajisi utawala wa sheria

  _Na Mwamba wa Kaskazini_ Nimefuatilia masuala kadhaa katika siku mbili hizi nikashindwa hata kushangaa. Tanzania mwezi huu inatekeleza kitendo kikubwa sana cha demokrasia ambapo wananchi watachagua viongozi wao wa ngazi za chini kabisa; aina ya demokrasia ambayo hata katika baadhi ya nchi za...
 16. kibokomchapaji

  Tanzania: Nchi pekee ambayo wapinzani wanathubutu kunajisi Utawala wa Sheria

  Na Mwamba wa Kaskazini Nimefuatilia masuala kadhaa katika siku mbili hizi nikashindwa hata kushangaa. Tanzania mwezi huu inatekeleza kitendo kikubwa sana cha demokrasia ambapo wananchi watachagua viongozi wao wa ngazi za chini kabisa; aina ya demokrasia ambayo hata katika baadhi ya nchi za...
 17. technically

  Jinsi Utawala wa Rais Magufuli unavyoua ushawishi wa vijana ndani CCM

  Mwangalie Polepole wa utawala wa Kikwete na wa utawala huu, Mwangalie Nape alivyokuwa na ushawishi wakati akiwa Katibu Mwenezi na sasa, Mwangalie Mwigulu yule na huyu anayemshukuru Magufuli baada ya kupata ajali, Mwangalie January Makamba wa kipindi cha Kikwete na huyu anayeenda akiburuza miguu...
 18. Stuxnet

  Mambo 12 yanayoipasua Tanzania vipande vipande kutoka utawala wa awamu ya 5

  Kuna mambo mengi sana yanayo isambaratisha Tanzania kutoka utawala wa Magufuri, ila nitataja 12 tu; 1. Ni mropokaji kwa kuwa anapoongea hajali kadamnasi imayomsikia. Matusi ya nguoni ndiyo lugha yake ya kawaida. 2. Hapendi upinzani kwa kuwa akiruhusu atashindwa asubuhi. Ndiyo maana katumia hela...
 19. britanicca

  Pale Gerezani Mukamira Rwanda wapo kila raia kutoka nchi zote A.Mashariki, hasa wakosoaji wakuu wa utawala na utalazimishwa kukiri kosa au kuuawa

  Pale Gerezani walinambia kwamba bora ukili kosa ama unauwawa hapa hapa, anasimulia mtekwaji "Nakumbuka ilikuwa usiku wa manane wakaja watu nisiowajua wakaingia Nyumbani kwangu, wakakagua simu yangu na mawasiliano nayofanya kwa kila mtu , bahati mbaya Sana walikuta nawasiliana na wanaharakati...
 20. Kaka Pekee

  Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

  Habari wana jamvi, Kwa wale wakazi wenzangu wa Mbezi Beach, Kunduchi, Goba na watumiaji wa barabara ya Bagamoyo kwa ujumla bila shaka Mtakuwa mmekutana na huyu Kamanda wa Jeshi (Chief of Staff) ambaye kuanzia majira ya kila siku Asubuhi 12:30- 1:00 hutugandisha kwenye foleni kwa muda mrefu kila...
Top