viboko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa ulawiti ni sahihi kupewa adhabu ya viboko 7?

    Mahakama ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara imemhukumu kijana mwenye umri wa miaka 16 adhabu ya viboko sita baada ya kupatikana na hatia ya kosa la ulawiti, huku hukumu hiyo ikizua mitazamo tofauti kutoka kwa wadau wa sheria na ustawi wa jamii kuhusu uhalali wa adhabu hiyo kwa mtoto...
  2. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Wito wa kukomeshwa viboko mashuleni, Tanzania

    Dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kukomesha Adhabu za Viboko shuleni leo. Nchini Tanzania, baadhi ya mashirika ya haki za binadamu na yale yanayojihusisha na elimu yametoa tamko la pamoja yakisisitiza umuhimu wa kuondoa adhabu hiyo katika mazingira ya shule. Tamko hilo pia linaungwa...
  3. Palac

    JamiiForums Tanzania Je, kwa zama hizi na karne hii ni halali kumuadhibu kwa kipigo mkeo?

    Tukiwa tunaianza weekend vyema haswa na utulivu wa hali ya hewa. Kumekuwa na video mjongeo ikimuonyesha mwanaume mmoja huko Ivory Coast akimtandika bakora mke wake hasa kisa kikiwa ni mwanamke huyo kuchelewa kurudi nyumbani. NB: Nimeshindwa ipakua hiyo clip, ila nikiipata nitaipandisha hapa
  4. S

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya sekondari Wailes Temeke inaongoza kwa viboko na michango

    Walimu wa sekondari wailes wanaongoza kwa kubuni michango shule ni tatizo ni nini? Mtoto asipoenda kusoma jumamosi anadaiwa tofali 5 mpaka 10 za sementi na hela aliyotakiwa kulipa jumamosi anailipa pia ingawa hakusoma, walimu wakujitolea wazazi ndio wanakiwa kuwalipa kwa mwezi 2000, Kuna kusoma...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Video za oct 29 zinaonesha baadhi ya askari walikuwa wakisimamisha wapita njia na kuwagaragaza kwenye mitaro na kuwapiga viboko na risasi

    Video za oct 29 zinaonesha baadhi ya askari walikuwa wakisimamisha wapita njia na kuwagaragaza kwenye mitaro na kuwapiga viboko na risasi Kitendo hiki tunakichukuliwa kama uharifu dhidi ya raia na ni wehu cha kushangaza wambura hajawachukulia hatua zozote askari hao kwa vitendo hivi vya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Riwaya ya viboko wa Medellin na Pablo Escobar

    Miaka ya 1980, Pablo Escobar, bepari mzito aliyefanya biashara ya madawa ya kulevya na mpenda anasa kutoka Medellín, Colombia akiamini mambo ya kawaida hayamtoshi, akaamua kunogesha makazi yake binafsi. Bustani ya kijani na bwawa la kuogelea? Mbwa wakali? Twiga? Hayo yalikuwa ya matajiri wa...
  7. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania Huyu anahitaji viboko vya kutosha

    Habari wa JF Nimekutana na hiyo video roho imeniuma sana ya mwanaume unafanya mambo kama hayo.Daaah🤔🤔🤔
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea NLD: Watakaothibitika kula rushwa, watachapwa viboko hadharani

    MGOMBEA wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atatumia mbinu ya kipekee katika mapambano dhidi ya rushwa. Doyo amesema watu wote watakaokamatwa na kuthibitika wamejihusisha na vitendo vya rushwa, watachapwa viboko 12...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Sungusungu wawachapa wanawake viboko, Katavi

    Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani Mlele, Alhaj Majid Mwanga, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele ameliamuru Jeshi la Polisi wilayani humo kuhakikisha askari sita wa jeshi la Sungusungu na Mwenyekiti wa Kijiji cha Minyoso wanafikishwa mahakamani, baada ya kudaiwa kuwachapa...
  10. Noel france

    JamiiForums Tanzania Tukifanikiwa kuipatia uhuru Tanganyika, kuna watu tunapaswa kuja kuwachapa viboko. Kama wafuatao na wa mwisho ni Rais

    Ndugu zangu wanajamii forums wenzangu na wasalimu kwa jina la uhuru kamili wa Mtanganyika. Nichukue nafasi hii kuja kumchapa viboko Padre Kitima. Sababu kubwa kuu 1, kuona tunapoelekea kubaya kama Taifa halafu bado anaongea lugha nyepesi ambayo watawala wanapuuza. Kwa muda huu tunahitaji zaidi...
  11. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Mfalme Xerxes aliagiza bahari ipigwe viboko na kufungwa minyororo

    Hi there, I'm bored at here ukijumuisha na matukio yanayoendele kwa viongozi wa serekali yetu nikaona nishee nanyi baadhi ya vita vilivyoanzishwa na na viongozi wa nchi ambapo ukifikiria sababu za kuanzishwa kwa vita hivyo ni kutokana na viongozi kua na matumizi mabovu ya uongozi na mabavu...
  12. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Nadhani adhabu ya Viboko iwe ni moja wapo ya Adhabu Vyuo Vikuu Vyote Nchini Tanzania

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane Nimekuwa nikisema mara kadhaa ya kwamba,mwanadamu yeyote aliye na ngozi nyeusi ni ngumu sana kumkontroo bila maamuzi magumu na yanayoumiza! Sisi ngozi nyeusi tuko tofauti kabisa katika uelewa ukilinganisha na ngozi nyeupe! Hebu fikiria hivi...
  13. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya mwenye kunywa pombe au kilevi chochote katika uislamu ni kupigwa viboko 80

    Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha...
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania DRC: Sumu ya Kimeta Yaua viboko 50 Ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Virunga

    Viboko katika Mbuga ya Taifa ya Virunga katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. / Getty Images Viboko wasiopungua 50 na wanyama wengine wakubwa ndani ya hifadhi ya taifa ya Virunga iliyoko katika eneo la mashariki mwa DRC, wameripotiwa kufa kutokana na sumu ya kimeta, msimamizi wa mbuga hiyo...
  15. 4

    JamiiForums Tanzania Kuna taarifa, kwamba PSSF inahakiki watumishi na mbaya zaidi, imetangazwa kuwa uhakiki ni wa siku mbili

    Wakuu jf amani ya Mungu ikawe juu yenu, nawatakia mema katika mfungo wa ramadhani/ kwaresma kila mmoja kwa imani yake. Rejea mada Tajwa hapo juu. Tangu jana zimekuepo taarifa ,kwamba PSSF inahakiki watumishi na mbaya zaidi, imetangazwa kuwa huakiki ni wa siku mbili ,namanisha jana tarehe 20 to...
  16. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Viboko ni ishara ya Umasikini na Msongo wa mawazo.

    Nionyeshe wapi mtoto wa tajiri akipigwa viboko kufeli kwa wazazi hasira zao na umasikini wao unapelekea kumaliza au kupunguza stress kwa watoto akikosea kidogo kupiga atakacho pata cha kuacha maumivu au ukilema kwa watoto. Wazazi jitaidi kuandaa kesho bora ya mwanao kuepuka kumfanya punda ...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Elimu Tanzania: Adhabu ya viboko iondolewe shuleni

    Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMENT) pamoja na Kituo cha Sheria na haki za binadamu LHRC wameendelea kuisisitiza Serikali kuhusiana na kufutwa kwa adhabu ya viboko shuleni badala yake kubuniwe kwa adhabu ngingine zenye kuongeza stadi za maisha kwa mwanafunzi. Soma: Simiyu: Mwanafunzi adaiwa...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mufti amuombea msamaha ustadhi aliyechapa viboko watoto wadogo bila huruma

    Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zuber Bin Ally ametumia mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qur-an Tukufu kumuombea msamaha mwalimu wa Madrasa, Mussa Bashiri, aliefikishwa mahakamani akikabiliwa na mashtaka ya kuwafanyia ukatili wa kuwachapa viboko watoto wawili wenye umri...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ifike wakati adhabu ya viboko ifutwe mashuleni

    Africa nchi nyingi zimekuwa zikiamini fimbo katika suala la kifundisha watoto/ wanafunzi kwa miaka kadhaa sasa, Tangu mkoloni aondoke Africa miaka inakaribia 100 sasa bado viboko vimekuwa vikiaminiwa kuwa ni adhabu kwa wanafunzi. ifiike wakati sasa viboko vifutwe kwa kuwa jamii imebadilika...
  20. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Video: Jamaa atandikwa viboko kwa kosa la kumpiga mama yake mzazi.

    Huko Kilimanjaro ukifaya kosa utapigwa viboko vya kutosha mbele ya mama yako, mkeo, watoto wako na jamii kwa ujumla, ili iwe fundisho.
Back
Top Bottom