Kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi na malori uliotokea Septemba 28 na 29, 2026, madereva wengi hawakujua maana ya mfumo wa points (Drivers Licence Point System).
Kwa mujibu wa Kifungu cha 31 cha Sheria ya Usalama Barabarani Sura ya 168 Rekebu ya 2023, leseni yako ya udereva ina pointi 15, na...
Kama madereva wana uwezo wa kutumia teknolojia ya kidigitali kuhamasishana kugoma nchi nzima kwanini nyinyi LATRA mnashindwa kutumia teknolojia hiyohiyo kuwadhibiti madereva wasifanye makosa barabarani yanaosababisha ajali?. Badala yake bado mnatunga sheria zitakazofanyakazi manually kuwapa...
Kwa kuwa kila siku magari yanapita katika mizani mbalimbali, kuna changamoto inayowakabili madereva na wamiliki wa magari ya mizigo. Unaweza kupita mizani A, ukaambiwa umezidisha uzito na kupewa faini. Baada ya kulipa, unapanga upya mzigo na kuendelea na safari.
Ukifika mizani B, unapimwa tena...
Licha ya Waziri wa Michezo (Bwana Paulo Makonda) na Waziri wa Mambo ya Ndani (Bwana Patrobas Katambi) kufanya kikaokazi na madereva wa mabasi yaendayo mikoani jana tarehe 29/09/2026, madereva hao wameshikilia msimamo wao wa kutoingia barabarani hadi warejeshewe pointi zao walizokatwa kihuni...
Wana-Jamii Forums salamu,
Kama mnavyofahamu, nchi imeshuhudia taharuki na usumbufu mkubwa kufuatia mgomo wa ghafla wa madereva wa mabasi ya mikoani na malori unaopinga utekelezaji wa mfumo mpya wa Jeshi la Polisi wa kukata pointi kwenye leseni za udereva kila wanapofanya makosa.
Binafsi...
Sheria na taratibu za barabarani ziheshimiwe ili kulinda Afya na uhai wa watumiaji wote, suala la kukatwa Points ni kwa watumiaji/Madereva wa vyombo vya moto wote haijalishi ni Bus la Abiria ama Private Car.
Wanaojikuta ni special waendelee na Mgomo ila wasizuie wengine📌
Ndugu zangu wa JamiiForums,
Ajali za barabarani zimeendelea kupoteza maisha ya ndugu zetu, kusababisha ulemavu, na kurudisha nyuma uchumi wetu kupitia uharibifu wa mali. Mara nyingi tumekuwa tukilaumu ubovu wa miundombinu au magari, lakini ukweli ni kwamba chanzo kikuu cha ajali ni kiburi...
Ikiwa vituo holela vya mabasi vinachafua jiji, basi bajaji zinazosimama kila kona ya barabara kuu zinalichafua zaidi, na kuhatarisha maisha. Barabara kuu inapaswa kuwa na mtiririko unaotabirika. Ikiwa kila baada ya umbali mfupi kuna chombo kinachosimama ghafla kumchukua au kumshusha abiria...
Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise
Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine.
Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala...
Kuna sehemu hapa Arusha ukitoka kwenye Taa za Sanawari kama unaelekea Moshono kwenye diversion ya service road maarufu kama Waterfront karibu na rafiki Juice Bar, kuna vyuma za kutenganisha barabara kuu na service road hazina alama juu ya uwepo wake.
Hii sehemu imekuwa chanzo cha kuumiza watu...
Anonymous
Thread
barabarani
chanzo
eneo
maumivu
mbona
tanroads
vyuma
Dereva wa gari kubwa amelalamikia vikali hatua ya askari wa usalama barabarani kuwakata pointi kwenye leseni zao kutokana na ubovu wa magari ambayo ni ya kampuni. Amesema kuwa adhabu hiyo inawanyima fursa ya kuendelea kufanya kazi na kuhudumia familia zao pale pointi hizo zinapomalizika, huku...
Kuna wimbi kubwa sana la wadada na wamama kuendesha pikipiki hizi za kuchaji kati kati ya miji.
Kwangu Mimi naona ni jambo jema lakini wengi wenu hamzingatii kabisa Sheria za barabarani na Nina uhakika hamzijui kabisa.
Nimeshuhudia tukio Moja la dada mmoja kugongwa na gari akikatiza pasina...
Kero yangu ni upande wa Traffic Polisi kwa Mkoa wa Dar es Salaam, hivi kwanini wanakazia sana kupewa rushwa tena wanaomba kiasi kikubwa cha fedha, kikikosekana wanakuandikia fine kubwa ya makosa kuanzia matano.
Changamoto hiyo inawakuta hawa wenye magari na madereva wa Bajaj, mfano sisi watu wa...
Anonymous
Thread
bajaj
barabarani
dar
kutengeneza
madereva
magumu
mazingira
mazingira magumu
waache
watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata...
Tufanye kama ilivyo kwenye nchi za wenzetu hakuna traffic asiye na silaha ya moto kwanza ukizingua tu chombo kinataifishwa au tail zinapasuliwa.
Nashauri IGP aweke huu utaratibu kwenye Kila traffic station kuwe na watu wenye silaha za moto, hatupendezewi kuona traffic wakivamiwa na wauvu...
Jeshi la Polisi Dar es Salaam linamshikilia Conrad Agonza Kayoza, miaka 35, kwa tuhuma za kumshambulia kwa ngumi na mateke Askari Polisi wa Usalama Barabarani, F. 8886 SGT Andrew, wakati akitekeleza majukumu yake katika eneo la Lugalo, Kinondoni, Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea Septemba 8...
Mji wa Dar es salaam unanuka mavi , au niseme unanuka harufu mbaya, na hii ni matokeo ya wamachinga kuweka biashara juu ya mitaro yote hapa Dar es salaam.
Unakuta sehemu juu kuna biashara ya vyakula au biashara zingine ukichungulia uvunguni kwenye mtaro kulivyo plus harufu inayotoka hapo mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.