VIONGOZI waliosimamishwa na Baraza la Taifa la Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wataendelea kuwa nje ya nafasi zao za uongozi hadi Mahakama ya Mkoa wa Dodoma itakapotoa uamuzi katika kesi inayowakabili.
Waliosimamishwa ni aliyekuwa Rais wa CWT, Leah Ulaya, Rais Dkt. Suleiman Ikomba, Maganga...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano ibara ya 20(1) inasema, “Kila mtu anao uhuru wa kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika, kushirikiana na watu wengine, na kwa ajili hiyo kutoa mawazo yake hadharani na kuanzisha na kujiunga na vyama au mashirika yaliyoanzishwa kwa...
Kwenye dirisha la Normal transfer request nimetafuta Halmashauri/Taasisi ninayotaka kuhamia nimeipata
Soma Pia: Kuna changamoto kubwa kwenye mfumo wa e-Uhamisho katika mchakato wa uhamisho wa Watumishi wa Umma
Pia kwenye dirisha la Vacancy transfer request nimetafuta Halmashauri au Taasisi...
Tarehe 25-05-2026 Viongozi waandamizi(wakuu) wa chama cha walimu Tanzania yaan kuanzia Raisi wa chama,katibu mkuu pamoja na muweka hazina Taifa ikiwa ni sambamba na viongozi waliopita (Rais na katibu mkuu wake) walifikishwa mahakaman na kusomewa mashtaka ya uhujumu uchumu na matumizi mabaya ya...
Natoa wito kwa walimu Tanzania nzima kujiunga na Chadema na kuchukua kadi na kuichangia Chadema kwa gharama yoyote.
Haina maana walimu kuwa tunakatwa pesa nyingi kuichangia CWT wakati ni kibaraka cha mafisadi wa CCM
Najua kwa uweza wa Mungu mtanisikiliza na kuanzia Jumatatu mtaanza kujiunga...
Mafuta yamepanda bei. Maisha yamekuwa ghali.
Wazanzibari wanaongezwa mshahara Watanganyika tunaambiwa eti pesa zilitumika kwenye uchaguzi na nyingine zitatumika kwenye kukarabati uharibifu uliofanywa na Gen Z waliotaka kupindua nchi.
Jumatatu najaza fomu na kujitoa CWT.
Serikali yetu tukufu ya awamu ya 6 chini ya Dr. Samia Suluhu Hassan tunaomba mliangalie hili swala la Makato ya mishahara kwa walimu kwenda kwenye CHAMA CHA WALIMU ni makubwa sana.
Nashauri toeni tamko/waraka kwa wakurugenzi wa Halmashauri la kumruhusu Mwl kuhamia kwenye vyama vingine nje ya...
Tangu niingie kwenye hii fani nashangaa tu Kila ninapopanda daraja CWT hata simjui
Hata juzi mama alivyoniwekea kiasi nilifurahi ila namkuta huyu CWT akikamua tena
Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwa Walimu wa Wilaya hiyo wanapata changamoto wanapotaka kuhama kutoka Chama cha Wafanyakazi cha CWT, ambapo Wilaya imetoa maelezo kuhusu kinachotakiwa kufanyika.
Awali, Mdau huyo alidai...
Halmashauri ya Wilaya Itilima, Mkoa wa Simiyu, Walimu tumekatwa makato kwenye vyama viwili vya Wafanyakazi ambavyo ni Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu (CHAKUHAWATA) na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kinyume na taratibu za utumishi.
Taratibu zinaeleza kuwa Mtumishi atajaza fomu...
Anonymous
Thread
chakuhawata
cwt
fedha
halmashauri
simiyu
vyama
walimu
wilaya
wilaya itilima
Mimi ni mwalimu kutoka tarafa ya Mlola, Lushoto DC.
Mkurugenzi Mtendaji Lushoto DC tunaomba utusaidie walimu tulioandika barua za kujitoa CWT na kuhamia CHAKUHAWATA, ofisi ya utumishi inasuasua kushughulikia barua zetu kwa zaidi ya miezi tisa sasa licha ya kufuatilia mara nyingi tangu mwezi...
Raisi wa chama cha walimu Tanzania alitoa tamko kwa vyombo vya habar kuwa wamezungumza na serikali kuhusu changamoto za walimu kutopanda madaraja kutokana na kigezo cha PEPMIS na kwamba serikali imekubali kupandisha walimu madaraja bila kutumia kigezo hiko kwani bado huu mfumo ulikuwa mgeni kwa...
Napenda kuwasilisha waraka huu nikiwa miongoni mwa Walimu wengi nchini ambao wameathirika kwa taarifa zinazotolewa na Chama chetu kuhusu utaratibu wa kupandishwa madaraja kwa kutumia Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System (PEPMIS).
Hivi karibuni, CHAMA CHA WALIMU...
Kumbe watu wameongezewa mshahara na hamsemi.
CWT friji lao haligandishi, tayari washawekewa pesa kama walivyohaidiwa.
Watumishi wengine vipi na nyie hamjatoa shukrani?
Katika Hali isiyo ya kawaida baada ya walimu wanachama wa CHAKUHAWATA kujikuta wamekatwa mara mbili kwenye mishahara yao ya mwezi huu JULY baada ya MAMA kufanya yake,walimu hao wamejikuta wanakatwa vyama vyote ada ya uanachama yaani CWT na CHAKUHAWATA ilihali walishahama chama hicho ( CWT) kwa...
Maswa, Simiyu – Zikiwa zimepita takriban miezi mitano tangu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Maswa kuwahoji viongozi wa zamani na wa sasa wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wilaya hiyo kuhusu tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za chama, hakuna hatua yoyote ya kisheria...
Wanachama watatu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wamefungua shauri katika Mahakama ya Wilaya ya Dodoma, wakiomba kibali cha kufungua shauri la jinai kwa walalamikiwa wanne wakiwamo viongozi chama hicho.
Mbali na hilo, Mahakama hiyo imetoa siku 14 kwa walalamikiwa kujibu hoja kabla ya kutoa...
Nini maana ya kuchanga, kutoa michango.
Kwa kawaida michango ikitoka kwa wanachama linafwata jambo lingine. Matumizi ya michango kwenye malengo mliojiwekea.
Hii cwt nilianza kuisikia miaka nenda rudi. Je haijafikia lengo? Je wanachama wanaendelea kuchanga? Kwa nini hawakomi kuchanga na...
Kwako,Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Samia Suluhu Hassan
YAH: MALALAMIKO JUU YA MKURUGENZI WA WILAYA YA BUSEGA NDUGU MAIKO RICHARD KACHOMA
Mheshimiwa Rais,
Kwa heshima na taadhima,Sisi walimu wa halmashauri ya wilaya ya Busega tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.