utalii

 1. Kibosho1

  Kibosho Catholic Church lina umri wa miaka 130: Kwanini hili kanisa lisiwe kivutio cha utalii?

  Kwanza kabisa nasikitika sana historia ya eneo hili kufichwa au kutokua wazi. Nimepita pita sana kila kona lakini sijawahi kuona hostoria yake. Kanisa hili lilijengwa na Wajerumani kwa mawe miaka ya 1880. Ujio wa Wamisionari hawa ulitoa fursa kwa Kibosho kuwa na sehem ya ibada, kujengwa kwa...
 2. miss zomboko

  Kenya yapunguza viingilio vya utalii ili kufufua sekta ya utalii iliyoathiriwa sana na Corona

  Kenya jana imetangaza kupunguza ada za kuingia mbuga kuu za wanyama pori kwa watalii kutoka ndani na nje ya nchi hiyo ili kuhimiza sekta ya utalii iliyoathiriwa sana na janga la COVID-19. Taarifa iliyotolewa na Shirika la huduma za Wanyamapori nchini Kenya (KWS) limesema hatua hiyo itadumu kwa...
 3. T

  Tanzanite iliyonunuliwa na Serikali yavunja rekodi kwa ukubwa duniani | Inaweza kutumika kukuza Sekta ya Utalii

  Na Malisa GJ Saniniu Laizer mchimbaji mdogo wa madini huko Mererani ameamka Bilionea baada ya kupata mawe mawili ya Tanzanite moja lenye uzito wa 9.2KGs na jingine 5.8KGs yenye thamani ya TZS 7.8 Bilioni. Watu wengi wanajadili kuhusu Tanzania kumpata Bilionea mpya. Ni jambo zuri lakini kuna...
 4. Influenza

  Zanzibar 2020 Namba 16: Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utalii na Utamaduni Zanzibar, Rashid Ali Juma achukua fomu ya Urais Zanzibar kupitia CCM

  Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utalii na Utamaduni Zanzibar, Rashid Ali Juma amekuwa Mgombea wa 16 kuchukua Fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar
 5. ANKOJEI

  Ni nani Sarah Baartman? Ijue historia yake

  Alitekwa miaka ya 1780 ivi huko South Africa akapelekwa ulaya kwenye madanguro, akafa, hakuzikwa ila alifanyiwa upasuaji wa ubongo, makalio yake makubwa na sehemu za siri zikawekwa maabara uko ufaransa na uingereza. Then Mandela alienda kurudisha mabaki ya mwili wake (chini ya mabishano makali...
 6. M

  Budget ya Serikali ilivyouacha Utalii hoi

  Budget ya Serikali iliyopitishwa na Wabunge kwa asilimia 98 imeacha Sekta ya Utalii hoi. Janga la Corona limeharibu sekta ya utalii zaidi kuliko sekta zingine. Sasa sijui waziri ndio hajaongea na wadau na kuwasilisha maoni au sijui tatizo ni nini? Jambo la muhimu inatakiwa ni kufufua utalii kwa...
 7. J

  CORONA VIRUS: Ushauri kwa Wafanyabiashara na Watoa Huduma katika Sekta ya Utalii

  Anga la Tanzania limefunguliwa takribani wiki 2 zilizopita na nchi kuruhusu Watalii kuingia nchini. Utaratibu wa watalii kuingia nchini utahusisha upimaji wa joto wakiwa Uwanja wa Ndege na kisha kuruhusiwa kuendelea na shughuli zao za kitalii. Njia hii ya upimaji wa joto pekee ndiyo...
 8. Lord denning

  Je, yaliyotokea sekta ya Korosho na Halmashauri kutokea pia kwenye Sekta ya Utalii?

  Amani iwe kwenu wadau! Kwa kumbukumbu zangu kuna mabadiriko ya sheria yaliyohusisha Fedha za zao la korosho na vyama vya ushirika. Mabadiriko yale yalipingwa vikali sana na wabunge wa kusini akiwemo Nape na kupelekea Hawa Ghasia kutumia diplomasia kujiuzuru uwenyekiti wa kamati moja ya Bunge...
 9. Cvez

  Wadau wa utalii mna mtazamo gani kuhusu uamuzi mpya ukusanyaji wa mapato yanayotokana na utalii?

  Serikali imeazimia kuipa mamlaka TRA kuhusika moja kwa moja na ukusanyaji wa mapato yanayotokana na utalii katika taasisi hizi TANAPA, NCCA, na TAWA. Je, huu uamuzi kwa mtazamo wako una athari chanya au hasi katika utalii?
 10. mkiluvya

  Serikali yazindua mwongozo wa Taifa katika kuendesha Shughuli za Utalii nchini wakati huu wa janga la Corona

  Serikali imezindua rasmi mwongozo wa uendeshaji wa Shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la Corona na kuwataka wadau sekta hiyo kuzingatia matakwa yaliyo katika mwongozo huo ili kulinda usalama wa Watanzania na watalii wanaowasili nchini kutembelea vivutio vilivyopo. Akizindua...
 11. mkiluvya

  TTB yafanya Mkutano na mabalozi kuweka mikakati ya kutangaza utalii Kanda ya Asia, Australia

  BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imefanya mkutano na Mabalozi wa Tanzania wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi zilizopo kanda ya Asia na Australasia kwa lengo la kuimarisha mikakati thabiti ya utekelezaji wa kuvitangaza vivutio vya utalii wakati wa kipindi hiki ambapo sekta ya utalii duniani...
 12. falcon mombasa

  Wazalendo tusaidiane kuishauri Wizara ya Maliasili na Utalii kuboresha utalii

  Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi sio mtaalamu sana wa masuala haya ila naamini bado sio sababu ya kushindwa kukusanya maoni kuishauri serikali kupitia wizara ya utalii nini kifanyike kukuza utalii. Nasisitiza tuweke uzalendo kwanza kwenye thread hii. Hii ni nchi yetu sote sisi na...
 13. K

  Ushauri: Sanaa na Utamaduni uwe chini ya Wizara ya utalii

  Sanaa zetu zinatakiwa ziwe chini ya wizara ya mambo ya nje na kuweza kutangazwa na kuleta pesa za kigeni. Vilevile kuwaletea vipato wasanii wetu. Kwa sasa wizara waliyopo wamekuwa kama viranja tu wa kukosoa na kupiga faini bila kusaidia kuwaongezea vipato wasanii. Wasanii wetu na sanaa kwa...
 14. Sky Eclat

  Waziri Kigwangalla awacharukia wanaomsema hajui Kiingereza

  Kigwangalla awacharua wanaomsema hajui kingereza asema sio sifa kuijua Waziri wa Maliasilia na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla amesema kuna watu huwa wanajaribu kumkosoa lugha yake ya kingereza. “Huwa nina washangaa sana maana kwanza siyo sifa kujua lugha hiyo mimi naitumia kama njia ya...
 15. N

  Utalii Ajira zazidi kupotea tuwaombe wenzetu-Arusha

  Hali si swari kwa wenzetu
 16. Mfukua Makaburi

  Nafikiria kwenda utalii nchi jirani ya Zanzibar. Naombeni utaratibu

  Nafikiria kwenda Zanzibar kutalii. Naomba kufahamu maeneo mazuri ya kutalii. Gharama zikoje kwa sasa na mahala pazuri pa kulala ambako sio ghali. Mahala ambapo ntapata room double isiyozidi 200k per day. Kwa ujumla Zanzibar sijawahi kufika nataka kwenda kutalii angalau siku 2 au 3 nijionee...
 17. G Sam

  Mwenendo wa utalii nchini: Waziri Kigwangalla aonyesha kukata tamaa

  Nyie MATAGA mkipewa mbinu ya kupambana na majanga makubwa mnaleta jeuri na kibri siyo? Haya kuna mwenzenu humu amekata tamaa japo alitoa hadi video na kuhamasisha. Halafu na nyie watu wa I.T ndiyo nini kutujazia mazagazaga hivyo mezani? Hamjui kuwa yanaonekana kwenye video?
 18. J

  Baada ya kusakamwa sana, Dkt. Kigwangalla azindua video ya vivutio vya utalii aliyoibuni, asema sasa watalii wataanza kumiminika Tanzania

  Waziri wa utalii Dkt. Kigwangalla leo amezindua video ya kupromote utalii wetu duniani kote. Dkt. Kigwangalla amesema video hiyo ambayo itasambazwa dunia nzima ikionyesha vivutio vya utalii nchini itawafanya watalii waanze kumiminika Tanzania licha ya mkwamo wa Corona ulioikumba dunia...
 19. Z

  CORONA: Bila mikakati mipya, Utalii Tanzania huenda ukashindwa kuinuka?

  Kuna mambo kadhaa ya kufahamu kwa kina kabla ya kujadili hili. Kwanza tuukubali ukweli huu kuwa, kusambaa kwa Corona duniani ndio kuliko pelekea kusimama kwa shughuli za utalii hapa Tanzania. Sio mtu, watu au mamlaka fulani iliyoamuru kusitisha shughuli za utalii hapa Tanzania. Watalii wenyewe...
 20. Sky Eclat

  Kipanya: Tafsiri ya ugonjwa wa corona katika sekta ya utalii

  Utalii sasa hivi umekuwa haramu kwa wengi
Top Bottom