ccm

 1. S

  CHADEMA ku-survive bila ruzuku: CCM oneni aibu na iwe mwanzo wa kufuta ruzuku kwa vyama vyote vya siasa

  Kama CHADEMA wameweza ku-survive bila ruzuku mpaka leo hii, na zaidi wameweza kubuni utratibu mpya wa kuwaingizia mapato kupitia michango ya wanachama,basi CCM kama chama kikongwe kinapaswa kuona aibu na kuacha kuendelea kupokea ruzuku kutoka serikalini. Wakati umefika vyama vya siasa vianze...
 2. Fasta fasta

  CCM acheni kuogopa Katiba mpya, inawezekana ikawa ndiyo mwokozi wenu

  Habari wadau, CCM inasema Katiba mpya sio kipao mbele chao kwa awamu hii, lakini nikiangalia najiuliza kwanini wanaiogopa katiba mpya wakati ni mustakali wa taifa letu? Tumwombe Rais Mama yetu iundwe tume huru kila wilaya yenye mchanganyiko wa vyama vyote, hata kwa siku tatu waingie mitaani...
 3. Mag3

  Video: Ama Mwenyekiti wa CCM Mkoani Mara ni mnafiki

  Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana... Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa! Juzi kwa mwendazake leo kwako...waepuke wanafiki hawa, kaa mbali nao na waogope kama ukoma! 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7.
 4. mngony

  Vijana wengi CCM ni wanafki,wenye tamaa na wasio na Uzalendo

  Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo. Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
 5. mngony

  Vijana wengi CCM ni wanafiki, wenye tamaa na wasio na Uzalendo

  Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo. Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
 6. Leak

  Mwenyekiti wa CCM Mara asema Rais Samia ataongoza nchi hadi mwaka 2030, awaonya wanaompinga

  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Mara Samuel Kiboye maarufu kwa jina la Namba tatu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza nchi hadi mwaka 2030 kwani wananchi wa Kanda ya Ziwa wanampenda na wanamkubali. Ameyasema hayo mbele ya Rais Samia ambaye yuko ziarani mkoani mwanza. Mwenyekiti...
 7. King Mufasa

  Shaka Hamdu Shaka: CCM haina mpango wa kushughulika na Katiba Mpya, kipaumbele ni kujenga nchi

  CCM yasema haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu, kipaumbele chake ni kujenga nchi. - Wanasiasa waache kuitumia agenda hiyo kama turufu ya kuwahadaa wananchi. "CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa ukamilishaji wa...
 8. GENTAMYCINE

  Kwanini Tarimba Abbas Tarimba wa (CCM) ana Uchungu na Urais wa TFF kuliko Jimbo lake la Kinondoni?

  Hivi hizi Hasira zake na haya Machungu yake dhidi ya Kuutaka kwa udi na uvumba huku akiwa ameshapoteza sifa na matumaini angezihamishia katika Kuyazungumzia Matatizo Sugu ya Wakazi wa Jimbo lake la Kinondoni leo hii asingeshukuriwa na Kupendwa zaidi na Wapiga Kura wake? Kwa jinsi Mbunge Tarimba...
 9. GENTAMYCINE

  Kwa Kauli za Chuki za Mbunge Tarimba Abbas (CCM) dhidi ya Simba SC na TFF naiomba Simba SC iachane rasmi na SpotiPesa yake

  "TFF ni Simba SC na Simba SC ni TFF na tumeshaona jinsi Simba SC inavyobebwa na TFF kiasi cha wengine Kuchoshwa na Upuuzi huu ", Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas Tarimba. Chanzo: Sports Court Wasafi FM leo. Simba SC nadhani tumeshauvumilia huu unafiki uliopitiliza wa Mbunge wa Kinondoni...
 10. D

  Alama ya Nyundo na Jembe kwenye bendera ya CCM ni ya kuwamaliza Wakulima?

  Alama ya nyundo na jembe kwenye bendera ya CCM ni ya kuwamaliza Wakulima. Nyundo inawagonga kichwani na jembe linawafukia kabisa. Marais Wastaafu wanajengeana nyumba baada ya kugawana nyumba za serikali na kupeana benzi, wakulima wamesahaauliwa. Mama yetu tafadhali sikia kilio cha Wakulima...
 11. Sky Eclat

  Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

  Msigwa anaeleza jinsi ofisi ya Speaker ilivyotumika kuwashawishi Wabunge wa Upinzani hujiunga na CCM.
 12. Mboga 1

  Msigwa: bora nisiwe mbunge kuliko kuhamia CCM

  Katika mahojiano na mwandishi wa Star TV muheshimiwa Peter Msigwa asema aliitwa ofisini kwa spika ndugai akishawishiwa kuhamia ccm kwa malipo ya ubunge pia amezungumzia suala la wabunge wasio na chama maarufu kama covid 19
 13. T

  Kwani Wakulima waliikosea nini Serikali ya CCM?

  Nilimsikia waziri wa fedha akisema, kwa ajili ya kukuza kilimo cha umwagiliaji vikundi vya skimu za umwagiliaji, vitatozwa ada ya kuendeleza miradi ya umwagiliaji. Hivi ni kweli kwamba serikali imeshindwa kubuni mbinu za kuwatafutia ruzuku wakulima wetu hata kwa kukopa toka mabenki mbalimbali...
 14. I

  Katibu Mkuu CCM weka alama Tanga

  Mh. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa chama tawala,ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ukiwa ziarani Tanga ninajua sipo nje ya ajenda zako lakini ninakupa dondoo kidogo kwamba kero zilizopo Tanga ni. Migogoro ya ardhi iliyosababishwa na Shigela,Mayeji na kikosi kazi chao cha...
 15. peno hasegawa

  CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji ni aibu kubwa kwa CCM.

  CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji, ni aibu kubwa sana kwa CCM Kwani haiwalipi watendaji wake hata Senti Tano ikiwa ni sehemu ya mshahara. Hii ni aibu kubwa , mwenyekiti wa CCM Taifa ili kukiboresha chama Anza na hilo. Chama kuendeshwa kwa njia hiyo ninkuzalisha Wala Rushwa na...
 16. Countrywide

  CCM ina hazina kubwa ya viongozi, Rais Samia njia nyeupe hadi 2030

  Bila shaka wote tunaweza kukubali kuwa CCM ni chama kikongwe duniani na kilichokaa muda mrefu madarakani. Haya yote hayafanyiki kwa bahati mbaya, Bali ni kutokana na hadhina kubwa ya viongozi ambayo imekuwa nayo. Wengi wanasema watanzania hawajielewi ndio maana hadi sasa CCM inaendelea...
 17. B

  Dodoma: Katibu Mkuu CCM akutana na Katibu Mkuu wa CNDD - FDD cha Burundi

  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo leo tarehe 10/06/2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Tawala Cha Burundi cha CNDD -FDD Ndg. Reverien Ndikuriyo. Mazungumzo hayo yemefanyika katika Ofisi za Makao za Makao Makuu ya CCM jjini Dodoma. Katika...
 18. kindikinyer leborosier

  CHADEMA kuweni makini, mnademka sana na ngoma za CCM

  Assalam wanajamvi! poleni na majukumu ya kila siku ya kujikwamua kisiasa, kiuchumi, na kiutamaduni! Niende moja kwa moja kwenye hoja, neno kudemka lilipata umaarufu miezi kadhaa likiwa na maana ya kucheza sana ngoma inayopigwa, ndugu zangu CHADEMA mnademka sana et sasa mpo huru sasa mnafanya...
 19. Nyani Ngabu

  Vikao vya CCM Ikulu vinakera

  Kwa karibu miaka 10 sasa baadhi yetu tumekuwa tukipinga na kukemea vikali sana vikao vya CCM kufanyikia ikulu ya Dar es salaam. Haya mambo yalishika kasi sana enzi za Jakaya Kikwete [ambaye siku hizi ni kipenzi cha makamanda]. Magufuli naye sasa anauendeleza huo utaratibu wa hovyo. Hii...
 20. S

  Mali za CCM zipigwe mnada; nyingi ziliibwa kwenye mfumo wa Chama kimoja TANU na ASP

  Ni mali nyingi sana Chama hiki kimejimilikisha kama tunavyoona kila CCM anaepata uongozi serikalini nae hukwapua mali na hata kugonga milango ya BoT na kufanya mazabe mpaka hufanikiwa kumega, tumesikia kutoka kwa mkaguzi ya kuwa kuna hela haioni. Na ndio tukaona hakuna MCCM anaeendelea, mwisho...
Top Bottom