nairobi

Nairobi () is the capital and the largest city of Kenya. The name comes from the Maasai phrase Enkare Nairobi, which translates to "cool water", a reference to the Nairobi River which flows through the city. The city proper had a population of 4,397,073 in the 2019 census, while the metropolitan area has a population of 9,354,580. The city is popularly referred to as the Green City in the Sun.Nairobi was founded in 1899 by the colonial authorities in British East Africa, as a rail depot on the Uganda Railway. The town quickly grew to replace Mombasa as the capital of Kenya in 1907. After independence in 1963, Nairobi became the capital of the Republic of Kenya. During Kenya's colonial period, the city became a centre for the colony's coffee, tea and sisal industry. The city lies on the River Athi in the southern part of the country, and has an elevation of 1,795 metres (5,889 ft) above sea level.According to the 2019 census, in the administrative area of Nairobi, 4,397,073 inhabitants lived within 696 km2 (269 sq mi).Home to thousands of Kenyan businesses and over 100 major international companies and organizations, including the United Nations Environment Programme (UN Environment) and the United Nations Office at Nairobi (UNON), Nairobi is an established hub for business and culture. The Nairobi Securities Exchange (NSE) is one of the largest in Africa and the second-oldest exchange on the continent. It is Africa's fourth-largest exchange in terms of trading volume, capable of making 10 million trades a day.

View More On Wikipedia.org
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yashiriki Mafunzo ya Mifumo ya usimamizi upimaji wa Milki Nairobi

    NAIROBI, KENYA Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inashiriki mafunzo ya wiki moja kuhusu mifumo ya usimamizi wa upimaji na milki za ardhi, yanayofanyika jijini Nairobi, Kenya. Mafunzo hayo yameanza tarehe 14 Septemba na yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 18 Septemba 2026...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Club Imeuzwa, Lakini Madeni Yameachwa? Nairobi City Stars Players Wataka Majibu

    Wachezaji wa zamani wa Nairobi City Stars wameibua madai kwamba bado wanadai mishahara na allowances walizopata katika msimu uliopita—takribani miezi mitatu baada ya kuahidiwa kuwa arrears zao zingelipwa. Mmoja wa wachezaji, ambaye ameomba kutotajwa, anasema club iliwalipa mshahara wa mwezi...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Magari Yageuka Majivu Kilimani: Moto wa Saa Nne, Chanzo Hakijulikani

    Moto mkubwa ulizuka usiku wa Septemba 7 katika gereji iliyoko Ole Dume Road, Kilimani, Nairobi, na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali. Magari kadhaa yaliyokuwa yameegeshwa katika eneo hilo yaliteketea, huku baadhi yakiharibika kiasi cha kutoweza kurekebishwa tena. Vifaa mbalimbali vilivyokuwa...
  4. Da Dona

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda "Besigye brought two loaded pistols to Nairobi meeting"-court hears

    British-American national Andrew Wilson, also known as “Orlando,” has told the High Court in Kampala that Dr Kizza Besigye arrived at a private meeting in Nairobi with two pistols loaded with live ammunition. Wilson made the allegation on Monday while continuing his testimony in the ongoing...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Burundians Wamiminika Ubalozini Nairobi Huku Serikali Ikikaza Sheria kwa Wafanyabiashara Wageni

    Mamia ya raia wa Burundi wanaoishi Kenya wamejitokeza katika jijini Nairobi, wakitafuta pasipoti, hati za kusafiria na nyaraka nyingine, wakati serikali ya Kenya inaanza utekelezaji wa agizo la kukagua biashara zinazoendeshwa na raia wa kigeni. Foleni kubwa ilishuhudiwa Jumatatu, Septemba 7...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eric Omondi Akamatwa Nairobi CBD Akiendesha Kampeni ya “Punguza Mzigo”

    Mchekeshaji na mwanaharakati Eric Omondi amekamatwa na polisi katika eneo la Nairobi CBD alipokuwa akikusanya saini kuunga mkono mpango wake wa “Punguza Mzigo” wa kutaka mabadiliko ya mfumo wa utawala nchini. Omondi alikamatwa Jumatatu asubuhi na maafisa wa polisi waliokuwa wamevalia kiraia...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Nairobi wataka Besigye na Lissu kutoka gerezani na kuachiliwa huru

    Wanaharakati nchini Kenya wameongeza shinikizo la kutaka kuachiliwa kwa viongozi wa upinzani wa Uganda na Tanzania, Dkt. Kizza Besigye na Tundu Lissu, wanaoshikiliwa katika nchi zao kwa tuhuma zinazohusiana na uhaini. Katika maandamano yaliyofanyika Nairobi Alhamisi, Septemba 3, 2026...
  8. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usalama Nairobi: Tukio la Mchana Linalowafanya Wakenya Kuuliza Maswali

    Hali ya usalama Nairobi inaendelea kuwa mbaya. Video hii inayosambaa mitandaoni inaonyesha mwanamke akipokonywa simu mchana peupe kwenye barabara ya Thika Super highway. Vijana wawili wanaonekana wakimbana kwenye ukuta na kuondoka na simu yake. Ni picha ya wazi ya jinsi uhalifu na vurugu...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Waandamana Nairobi Kupinga Sh3.2M ya KRA

    Ijumaa, Agosti 28, shughuli za biashara katika sehemu za Nairobi CBD, Kamukunji, Gikomba na Nyamakima ziliathirika baada ya wafanyabiashara kufunga maduka yao na kuandamana kupinga kiwango kipya cha tathmini ya forodha kilichowekwa na Kenya Revenue Authority (KRA). Kiini cha maandamano hayo ni...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Content Creators Msijali”: Gavana Johnson Sakaja Afafanua Nani Hasa Atalipa Ada Mpya za Filming Nairobi

    Baada ya mjadala kuzuka kuhusu ada mpya za filming Nairobi, Gavana Johnson Sakaja amefafanua kuwa content creators wa kawaida, influencers na vijana wanaotengeneza video za social media sio walengwa wa ada hizo. Sakaja amesema Nairobi City County Finance Act, 2026 inalenga zaidi professional na...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KSh8,000 Kupiga Shoot Nairobi? Sheria Mpya Yazua Gumzo

    Sheria hiyo mpya imeweka ada ya KSh8,000 kwa kila commercial filming session ya local production, huku production teams kutoka nje zikitozwa KSh50,000. Music video production itagharimu KSh10,000, huku content creation studios zikitozwa KSh40,000 kwa mwaka. Influencers wanaoandaa monetised au...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi yaweka ada mpya za Harusi, Roadshow na matukio yenye kelele

    Wakazi wa Nairobi wanaopanga harusi, ibada, roadshow, ujenzi au hafla nyingine zinazoweza kusababisha kelele sasa wanaweza kulazimika kulipia vibali vya kelele chini ya Nairobi City County Finance Act, 2026. Chini ya sheria hiyo, harusi zinazofanyika katika maeneo ya makazi zitatozwa KSh20,000...
  13. O

    JamiiForums Kenya Ni Japan Ama Nairobi? Otamatsuri 2026 Yavuta Maelfu na Kuteka Mtandao

    “A Japanese idol concert in Kenya.” Video moja tu yenye maneno hayo imegeuka kuwa gumzo mtandaoni, ikionyesha umati wa Wakenya ukiimba, kuruka na kushangilia kwa nguvu wakati msanii wa Japan akitumbuiza Nairobi. Video hiyo ilinaswa wakati wa Otamatsuri 2026, tamasha la anime, manga na pop...
  14. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Fahamu machache kuhusiana na Mtaa wa Karen ndani ya Jiji la Nairobi.

    Kuzaliwa kwa Karen. Ipo hivi. Kati ya mwaka 1929 na 1930, koloni la walowezi wa Uingereza nchini Kenya lilikuwa linakabiliwa na anguko kubwa la kiuchumi. Tatizo lilianza baada ya Soko la Hisa la Wall Street nchini Marekani kuporomoka, na madhara yake yakafika hadi Kenya. Bei ya kahawa ilishuka...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi inajiandaa na El Niño: Timu zasafisha Mirija na kuondoa uchafu kwenye Mito

    Nairobi County imeongeza maandalizi ya kuzuia mafuriko kabla ya mvua za El Niño kuanza kuonekana, huku timu zikiwa zimesambazwa kuvunja vizuizi kwenye mifumo ya maji na njia za mito kote jiji. Kulingana na taarifa, vikosi vya Green Army na timu nyingine za mazingira vinafanya kazi ya kusafisha...
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Geoffrey Mosiria, Magufuli wa Jiji la Nairobi

    Hivi karibuni ameibuka mtu mmoja nchini Kenya anayefahamika kama Geoffrey Mosiria. Huyu ni kiongozi wa Serikali ya Kaunti ya Nairobi ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na namna anavyotekeleza majukumu yake kwa vitendo, jambo ambalo wananchi wengi wanaona ni tofauti na baadhi ya viongozi...
  17. O

    JamiiForums Tanzania FALSE Kenya National Police re-appointment Nairobi OCS

    The National Police Service (NPS) has officially flagged and dismissed as fake a viral document circulating on social media that claimed to list new appointments and transfers for more than 30 Officers Commanding Stations (OCSs) across Nairobi.
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sakaja Apanga Karakana ya Kisasa kwa Mafundi Wanaoathiriwa na Ukarabati wa Mto Nairobi

    Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja ametangaza mipango ya kujenga karakana ya kisasa itakayowahudumia mafundi wa magari wanaoathiriwa na mpango wa ukarabati wa Mto Nairobi. Kituo hicho kipya kinatarajiwa kuwa na uwezo wa kuhudumia hadi magari 1,200 na kitakuwa na huduma mbalimbali, zikiwemo vyumba...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi Drivers Wapewa Pigo as County Proposes Parking Fee Hike kutoka KSh300 hadi KSh535

    Madereva wa Nairobi wanaweza kulipa zaidi kwa ajili ya maegesho ya magari baada ya Nairobi City County kupendekeza kuongeza ada ya kila siku ya parking kutoka KSh300 hadi angalau KSh535 chini ya sera mpya ya ushuru na bei. Kaunti imesema ada za sasa hazitoshi kugharamia matengenezo ya barabara...
Back
Top Bottom