• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

mtu

 1. Mshumaa_Tz

  Njia nzuri yakumuacha mtu unayempenda

  Habari JF Kuna binti niko naye kwenye mahusiano kwa kipindi kama cha miezi 3 Sasa kiukweli mimi nampatia vitu baadhi ambavyo viko katika ndani ya uwezo wangu takribani kama wiki 8 hivi. Sasa Mimi huyu binti simpendi ila ndo hivyo kama mnavyojua mapenzi yanakuaga hayana Ujanja. Hivyo basi Mimi...
 2. VON BISMACK

  Nini unachokikumbuka kwa mtu ambaye hayupo leo duniani

  Tulio wai kupoteza watu waliochangia leo kuwa kama tulivyo. Wana Jf. Katika kuishi tunakutana na watu wengi sana lakini wapo watu ambao kamwe hatuwezi kuwasahau pindi wanapo tangulia mbele ya haki (kifo). Hii ni kutokana na sababu nyingi zikiwemo ukaribu, urafiki, undugu pengine Mahusiano yetu...
 3. Extrovert

  Mtu mwenye uzoefu na biashara ya Bar tafadhali

  Wadau mko freshi?! Wazee natafta mtu mwenye Bar management skills aje kunishika mkono. Setup ya bar iko freshi, nachohitaji ni ubia na mtu mwenye uzoefu ili tuweze ku boost sales. Mapato yakiongezeka maradufu nitakachofanya tutakuwa tunagawana faida baada ya kutoa expenses at 50% yani pasu...
 4. J

  Uhakiki: Msajili akuta madudu NCCR Mageuzi na CHAUMA Zanzibar. Kimoja ofisi ziko sebuleni kwa mtu na kingine mali zake ni kiti na meza basi!

  Msajili wa vyama vya siasa ambaye kwa sasa anafanya uhakiki wa vyama vyote vya siasa nchini amekuta mapungufu kwa baadhi ya vyama vya siasa Zanzibar. Msajili amesema baadhi ya vyama hali zao zinatisha na kimojawapo ofisi yake ipo sebuleni kwa mtu ambapo familia ya mtu huyo inatumia pia sebule...
 5. J

  Waziri mkuu: Mtu yoyote atakayetoa taarifa za Corona zaidi ya waziri wa afya na viongozi wakuu wa nchi atakamatwa na polisi

  Mh Kassim Majaliwa amesema ni waziri wa afya pekee mh Ummy Mwalimu ndiye atakayekuwa akitoa taarifa za Corona nchini. Mh Majaliwa amesema itakapolazimu zaidi basi ama yeye Waziri mkuu, Makamu wa Rais au Rais Magufuli ndio watakaozungumza na si vinginevyo. Waziri mkuu amesisitiza kuwa mtu...
 6. Equation x

  Je, utagunduaje mtu uliyenaye si rafiki wa kweli?

  Kwa picha hii;hao ni marafiki tangu walipokuwa vijana mpaka kufikia uzeeni
 7. Equation x

  Je, utagunduaje mtu uliyenaye si rafiki wa kweli?

  Marafiki ni watu muhimu sana katika maisha yako,ingawa ni vigumu sana kupata marafiki wa kweli kwa sababu wengi ni wanafiki, na utawagundua hasa pale utakapokutana na changamoto za kimaisha. Swali linakuja,Je utagunduaje mtu uliyenaye si rafiki wa kweli? Mtu anayejisifia sana si mtu mzuri...
 8. Th los proffcnal

  Chanzo kingine cha kodi bila kuumiza mtu mmoja mmoja

  Serikali ingeanzisha utaratibu kodi zote za nyumba au frame za maduka ziwe zinalipiwa kwenye account bank ya mmiliki hii ingesaidia bank wangepata mapato na serikali nayo ingenufaika. Pia malipo ya mtandaoni yangehamasishwa sana yakitokea magonjwa ya mlipuko kama CORONA inakuwa nafuu watu...
 9. qaswida mix

  Je mtu mwenye aleji aruhusiwi kutoa damu

  Mimi ni kijana wa miaka 23 mimi huwa sili kabisa mayai na harufu yake nikiskia natapika. Jana niljtoa damu Muhimbili kwa ajili ya ku save maisha ya rafiki yangu niliuliza kama na aleji nikajibu sina ila baada ya kutolewa damu nilihisi kzungu zungu sana mpka nikajikuta sijui nini kinaendelea...
 10. msemakweli2

  Sehemu za Gym ni hatari Mke wa mtu akienda lazima aliwe

  Kutokana na kauchunguzi kadogo nilikokafanya nimegundua wake za watu wanaokwenda gym kujidai wanaenda kufanya mazoezi zaidi ya 80% hutafunwa hukohuko na wale trainer asipotafuniwa huko basi atapatia bwana huko huko, mwanaume mwenzangu chukua hatua sasa
 11. qaswida mix

  Je, inaruhusiwa kumchukulia mtu barua za EMS ambazo imetoka nje ya nchi

  Na barua kutoka Google imeshatumwa Tanzania sasa jinsi ha kuipata na sikuanfika sanduku lolote nimetuma hivi: BAKARI JUMA SALUMU KINONDONI DAR ES SALAAM 11000 TANZANIA Hivo ndo nilivi jaza kwenye address yangu HAPO SIJATUMIA PO BOX SASA JE NINAWEZA IPATA BARUA INATOKA ADSENSE...
 12. Return Of Undertaker

  IGP Sirro: Hatujafikia hatua ya kufunga mipaka ya nchi kutokana na ugonjwa wa Corona

  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania (IGP) Simon Sirro amesema jeshi hilo limejipanga imara kwenye mipaka ili kuhakikisha kwamba watu wanaoingia nchini wanafuata utaratibu na endapo wakibainika kuwa na viashiria vya virusi vya Corona basi hatua zinachukuliwa kwa mujibu wa taratibu...
 13. R

  Sina cha kujivunia katika umri huu kwa hiyo nimepiga marufuku mtu yeyote kuniita mzee wala kuniamkia shikamoo

  Nakutana na mijitu ina mafanikio makubwa kuliko mimi, wengine ni viongozi kabisa wanang'ang'ana kuniamkia shikamoo, za nini? Kama unaniheshimu nipe hela! Yaani nyie mkishafanikiwa mnataka tu kudhalilisha wenzenu waonekane ni wazee waliofeli? Mkome kabisa. Tukikutana nikakusalimia 'mambo vipi'...
 14. T

  Ipi ni njia bora: Kufungua biashara kama mtu binafsi au kwa kutumia kampuni?

  Wakuu, Kuna biashara nawaza kuianzisha, sasa kwa mazingira ya sasa ya nchi yetu na kwa mustakabali wa biashara husika, njia ipi ni bora? Kufungua biashara na kuiendesha kama mtu binafsi au kuiendesha chini ya kampuni? Faida na hasara zake ni zipi? Hebu wazoefu fungukeni.
 15. J

  Dr. Elly: Siyo kila mtu anatakiwa avae maski bali wanaohudumia wagonjwa na wanaohisi wameathirika

  Kuna mjadala wa jinsi ya kujikinga na virusi vya Corona unaendelea muda katika luninga ya Channel Ten. Mtaalamu Dr Elly Josephat kutoka MAT anasema kuvaa maski kwa mujibu wa maagizo ya WHO ni kwa wale wanaohudumia waathirika na wale wanajishuku au kuhisi kuwa wameathirika. Na kuna jinsi ya...
 16. FRANCIS DA DON

  Takwimu: Mtu mwenye umri wa chini ya miaka 50 kufa kwa Corona ni sawa na jogoo kutaga mayai, sasa kwanini tunapanic?

  Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.2 ya ya watu wenye umri chini ya 50yrs hufa wanapougua Corona, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa...
 17. N

  CORONA Yaingia Tanzania

  #BREAKING: Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu amethibitisha kuwa Mtu mmoja amethibitika kuwa na virusi vya corona Tanzania, ni Raia wa Tanzania Mwanamke mwenye umri wa miaka 46 ambae aliwasili Tanzania na Ndege kupitia Uwanja wa Ndege wa KIA akitokea Ubelgiji.
 18. Pascal Mayalla

  Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?

  Wanabodi Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu ambayo umeipitisha weekend kwa mazabe mazabe, halafu blue Monday inakuja!, usingizi huwa...
 19. Makirita Amani

  Ukikutana na mtu aliyekuzidi akili, fedha au mafanikio, muulize swali hili moja kama unataka kufika viwango vyake

  Haijalishi umepiga hatua gani kwenye maisha yako, kuna mtu ambaye amepiga hatua zaidi kwenye eneo hilo. Na uwepo wa watu ambao wamepiga hatua zaidi yako ni kiashiria kwamba hata wewe unaweza kupiga hatua zaidi ya hapo ulipo sasa. Lakini je tunawezaje kupiga hatua kubwa kama ambazo wamepiga...
 20. J

  Mama Samia: Rais Magufuli ni mtu anayetambua mamlaka yake na hakubali kushindwa kwa lile analoliamini

  Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema Rais Magufuli ni mzalendo kwa maneno na matendo, ni mtu anayetambua mamlaka yake na asiyekubali kushindwa katika lile analoliamini. Mama Samia alikuwa akijibu swali la mwandishi wa BBC aliyetaka kujua yeye kama msaidizi namba moja wa Rais Magufuli...
Top