hawataki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania MAAFISA HABARI, KIZAZI KIMEBADILIKA: WATU HAWATAKI PRESS RELEASE KILA SIKU

    Kuna jambo nimekuwa nikilitafakari siku hizi kuhusu namna taasisi za umma zinavyowasiliana na umma, hasa kupitia social media. Kwa kweli naamini kuna haja kubwa kwa maafisa habari kubadilika na kuanza kuelewa vizuri hisia, tabia na matarajio ya audience wanayoihudumia. Dunia imebadilika...
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Je INGEKUA wewe ungefanyaje kwa watu ambao hawataki uwe hapo ulipo?

    Ukipata tatizo, wake kwa waume, wananchi kwa watu maarufu, viongozi wa DINI kwa viongozi wa kimila, wasanii, matajiri, wote wanakuja kwako wakiwa wanaburuzika na magoti, wanakuhusudu na kukuabudu kama mwokozi wa maisha Yao. INGEKUA Mimi, nshajipatia nchi ya watu wa aina hii, ningekua kama...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Si afya kuendelea kutoa matamko, Watanzania hawataki siasa sasa hivi, wameridhika, wamempokea Makamu mpya

    Nukuu ya Steve Nyerere kwa Maandishi "Tukiikubaliane kwamba yaliyopita si ndio yetu, tugange yajayo. Laiti pili, mimi sizani, na hili ninawaomba kwa wenyeviti wa Chama cha Mapinduzi wa mikoa yote, sizani kama kuna afya sana kuendelea kutoa matamko. Kwa sababu tamko limeshatolewa na Kamati Kuu...
  4. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wake zetu wanataka tuwe kwao vile ambavyo hawataki watoto wao wakiume wawe kwa wake zao- Sodoku Myebusi

    Mke anataka mshahara wote umkabidhi yeye. Anataka umsikilize yeye kuliko mtu mwingine yeyote Duniani. Wanawake wengi wanapenda mwanaume ambaye kwake atakuwa bwege. Afanye kila kitu ambacho mwanamke huyo atataka. Mali zote ziandikishwe jina lake mwanamke. Mume awahi kurudi nyumbani, akiweza...
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu hawataki katiba mpya, maandamano makubwa yaitishwa mpaka taifa letu lipate katiba mpya.

    Bila maamdano haki haipatikani. Maandamano yaitishwe nchi nzima mpaka waseme po. Katiba mpya ndio suluhu ya ufisadi na na wanasiasa wezi kama CCM mtandao. Bila maandamano hatupati katiba mpya.
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana watu wa kumuambia ukweli kuwa Wananchi hawampendi na hawataki awe rais wao?

    Hili ni swali la msingi sana kwa kiongozi yoyote yule duniani. Unaowatawala hawakutaki, wanakuona wewe ni fisadi na muuaji. Hakuna watu wa kukuambia picha halisi ya nini kinachoendelea? Kwa nini uchukiwe? Kwa nini ukae madarakani huku raia wakisema hukuchaguliwa na wananchi? Kwa nini ukae...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kudos US kwa kumuwekea vikwazo rais wa ICC maana wapo compromised. Hawataki kudeal na waharifu ila wapo obsessed na Israel na nchi za mrengwa wa kulia

    mcTobby
  8. Poker

    JamiiForums Tanzania 10th dimension ni kielelezo cha Mungu yupo

    Dunia tunayoiishi kwa muundo wa 3d ni umetengenezwa na kiumbe kilichopo level ya 10d yaani 10th dimension. Kila kitu kinachoeendelea kimepangwa, kuanzia mwezi, nyota na sayari nyingine. Mtu ukifa basi unaingia katika 4th dimension moja kwa moja. 10th dimension ni uhalisia wa uwepo wa Mungu .
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna Maafisa wa LATRA wanaokamata Bodaboda na Bajaj hawavai sare, wengine hawatoi Control Number wanataka cash

    Mara kadhaa nimeona na nimesikia stori za baadhi ya maafisa wa LATRA, hasa jijini Dar es Salaam, wanavyotekeleza majukumu yao ya kuwakamata madereva wa bodaboda na Bajaj. Kinachonishangaza ni kuona baadhi ya maafisa hao wakiwa katika operesheni za ukaguzi na ukamataji bila kuvaa sare au mavazi...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Zahanati ya Kijiji Ndomondo - Wilaya ya Nachingwea tunateseka, hawataki Bima ya (NHIF), tunalipishwa cash

    Zahanati ya Kijiji Cha Ndomondo, Kata ya Ndomoni, Wilaya ya Nachingwea tunateseka na huduma za afya kwa Watumiaji wa Bima (NHIF), Mganga Mkuu anawatoza ‘cash’ wagonjwa wenye Bima ili wapate huduma na ikitokea mgonjwa hana fedha basi anafukuzwa na kuambiwa aende kwenye kituo kingine kwa madai...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kama Chadema hawataki Maridhiano CCM sii iliriadhane na Vyama 18 vilivyopo. Kuna haja gani ya kumsubiria "Mwenzao" waliyemfunga

    Nimemsikia samia akisema wanamsubiria mwenzao anatafakari mambo kadhaa. Na hawa wengine nmewaona wana furaha wakitabasamu kuwa pale. Sasa hawa si wapo tayari? Kuna Chauma, ACT, CUF,TLP,NLD,NCCR n.k kwa nini CCM na samia wasiamue tu kuridhiana na hawa mpaka wamsubirie Lissu? Je hawa wengine...
  12. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Wabunge wote wa Mkoa wa Singida wamekuwa hawataki Lissu aachiliwe, too sad

    Leo Wekend nilipata wasaa wa kukutana na mtu wangu wa idara za juu, katika maongezi kanihabarusha jambo la ajabu sana kuhusu Lisu, kwamba swala la Lisu lina shinikizo kubwa sana la Kisiasa, kuna pande mbili ndani ya watu wa juu CCM, moja haitaki aachiliwe na nyingine ikisema aachiliwe tu. Ila...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kijana ulieajiriwa bila mkataba wa uhakika, hakikisha una ofisi kabla ya 35, mabosi wanawakwepa 35+, usisubiri kujifunza kwa uchungu life starts at 40

    Tanzania, kwenye sekta nyingi nje ya Serikali na makampuni machache makubwa, ajira mara nyingi hazina uhakika wa muda mrefu. Ukiongeza na tabia ya baadhi ya waajiri kupendelea waombaji wa umri mdogo ambao hawajavuka 30 za mwanzoni, ni risky kubwa sana kuendelea kuweka matumaini yako hapo...
  14. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watangazaji wa TV na Radio nchini Tanzania hawataki kucheza nyimbo za CIVILIAN-COIN au kwa kuwa Hana Pesa za Promotion? Je, nyimbo za mamtoni?

    https://youtu.be/SkLvVyZveTI?si=bz4jU76WkZBGn5If Bado ni kiwingu kwa Tanzania juu yakutopigwa redioni na kwenye TV za Tanzania Ngoma za CIVILIAN-COIN bila sababu yoyote ile. Tangu aachie Ngoma ya "Who am I?" na Leo "Home boy" lakini bado Watangazaji nchini hawataki kupiga. Wasiseme hawana HIZO...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Je Russia alikogeukia Mama inapendezwa na staili ya siasa za Tanzania...

    Bunge la Ulaya limepitisha azimio la kusimamisha msaada wa maendeleo wa takriban Euro 156M (zaidi ya TZS bilioni 440) kutokana na masuala ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kukosekana kwa utawala bora, kukandamizwa kwa demokrasia na uhuru wa maoni. Uamuzi huu ulitangazwa jana Mei 03, 2026...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukweli ambao wanasiasa na walamba asali au wafuata mikumbo hawataki kabisa kuusikia

    Wanasiasa waambiwe kuwa bila uwepo wao hakuna kitakachokwama, hakuna kitakachoharibika. Huu ukweli hawautaki kabisa wanasiasa Kuna mwanasiasa mmoja sasa hivi marehemu, jamaa aliaminishwa kuwa akimaliza kutawala awamu zake mbili nchi italala , nchi itasimama. Walamba asali na wafuata mikumbo...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Juma Mkomi: Uhamisho ni hadi ipite miaka minne, pia wapo Watumishi hawataki kuhamishwa kukaa na wenza wao

    Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi amezungumza hayo Mei, 26, 2026 kuelekea, kikao kazi cha kitaifa kitakachofanyika jijini Dodoma Juni 1 hadi 3, 2026. Kikaso hicho kitawakutanisha Wakurugenzi na Wakuu wa Idara za Utawala na Usimamizi wa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Hatutaki fidia, Tunataka Serikali ya Samia iondoke madarakani, kama wanaweza waturudishie roho za watoto wetu

    Wakuu, Nimekutana na hii sauti Mtandaoni inayoumiza sana namna huyu mama anauchungu moyoni mwake, Iko hivi, tukisema turidhiane na kulipa fidia huu siyo uponyaji kwa Taifa na wakati wote hata kabla ya ripoti ya chande tayari seriakli inafahamu nini wananchi wanakitaka Wananchi wanataka...
  20. Mad Max

    JamiiForums Tanzania BYD Shark 6: Wabongo hawataki Masihara, Mil 170+ kabla ya TRA sio poa!

    Walivyofungua dealership ya kuuza 0 km kuna watu wakajua watafeli. Ila naona vyuma vinatoka. Hii Shark 6 inakuja kupambana na kina Navara, Hilux au Ranger. Ila yenyewe ni PHEV, ina engine ya cc 1500 au 2000 kwa performance, zote turbo i4. Kwa umeme peke yake unaweza kwenda km 85 ila kwa...
Back
Top Bottom