ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. Foffana

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa anatumia ID ipi humu?

    Habari zenu Wakubwa Naomba kuulizia ID anayotumia Waziri wetu wa afya humu Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa nina jambo nataka kumshirikisha Nilimsikia akidai kuna alimjibu mtu humu JF kuhusu kero zinazotokea kwenye sekta ya afya na huwa anapita sana humu kujibu jibu maoni na maswali ya watu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ipi ni machines ya ndoto yako

    Ipo hivi kama ni mtafutaji na mpamabanaji mtaani Kuna vitu hukusaidia kwenye mapambano navyo ni kama machines nk, na ili upige hatua kwenye maisha lazima ukubali kuendana na technologia hivyo kumiliki machines ni sehemu ya maisha. Zipo machines ambazo ni ndoto Kwa wengine na wengine wanamiliki...
  3. Mtukutu Mkuu

    JamiiForums Tanzania KODTEC KT 2913 ,SEAPIANO OLD MODEL IPI NICHUKUE

    Wakuu habari za jumapili natumaini mko powa Kwa sasa nataka nichukue radio sina sana mawe yakutosha nilitaka nichukue hii radio ya kodtek kt 2319 au seapiano zile old model au hisense hi fi radio maana atleast kuna muziki Tupeane kuna spiki nzuri zaidi ya hizi tukiachana na anker,sony,jbl...
  4. aise

    JamiiForums Tanzania Ipi tofauti kati ya Sea na Ocean?

    Wenzetu ambao mmesoma Elimu mbali mbali, ni ipi tofauti kati ya Sea na Ocean? Kuna maneno ya kiswahili ya Sea na Ocean?
  5. Stability

    JamiiForums Tanzania Hadi leo waafrika lukuki wanajiuliza kazi kubwa iliyokuwa inamfanya biggy kukutana na viongozi wa juu afrika ni ipi?

    jamaaa alikuwa muwekezaji kama dangote au alikuwa ni mtu wa tenda na supply za kimataifa?
  6. Brown Mduma

    JamiiForums Tanzania Nichukue gari ipi kati ya haya na kwanini

    Wakuu kati ya gari hizi nichukue ipi; Vitz old model,Funy Cargo,Suzuki swift old model,corrola ya 4E, raum old model
  7. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania idadi ya watu waliokufa na walio hai ipi kubwa?

    Wasalaam.Kutokana na Theory na vyanzo mbali mbali vya kidini na kisayansi huthibitisha dunia iliumbwa miaka mingi iliyopita.Je watu waliokufa wakafufuliwa leo idadi yao itazidi walio hai? Naomba wataalamu mnijuze
  8. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Nyie mnaohangaika na Dini ipi ya kweli sijui dini ipi nzuri jifunze hili.

    Ndiyo, hili ni swali kubwa sana la kijamii na kihistoria. Lakini kuna jambo moja muhimu: si sahihi kulifanya kuwa “Waafrika dhidi ya wazungu” pekee. Tatizo kubwa ni kwamba Afrika imekuwa na changamoto katika kujenga mifumo inayozalisha na kueneza sayansi, teknolojia, mitaji na taasisi imara kwa...
  9. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    Hello wana great thinkers 🧠 Blue Monday ✍️ Je, tunapaswa kuamini intuition yetu ya ndani bila kutumia reasoning? Yaani ile umekaa tu pap... ukapata sauti au msukumo wa ndani unaokuambia usifanye jambo fulani halafu ukaamua kuitii bila kwanza kufikiria kwa kina na kuchambua sababu? Umewahi...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi nia na madhumuni ya Tundu Lisu kuihamishia familia yake ng'ambo, na kisha yeye kurejea nchini pekeyake ni ipi hasa dhidi ya umoja na amani ya TZ?

    Je, ni kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia uchaguzi na kuvuruga uchaguzi huku familia yake ikiwa salama ughaibuni? Au nia na dhamira yake hasa kutoka moyoni mwake, ilikua afanye nini dhidi ya umoja, amani na usalama wa waTanzania, bila kua pamoja na familia yake? Na, kwanini aliitanguliza...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hatuelewi nauli rasmi ya usafiri wa umma Arusha - Moshi ni sh ngapi? LATRA toeni ufafanuzi

    Baadhi ya wasafiri wanaotumia usafiri wa umma katika njia ya Arusha – Moshi – Arusha tumekuwa tukikumbana na changamoto kuhusu utofauti wa bei ya nauli inayotozwa na watoa huduma. Katika nyakati mbalimbali, imeonekana kuwa baadhi ya abiria hutozwa nauli tofauti, huku viwango vikibadilika kati...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ipi sahihi sana kati ya Kumsomesha mtoto msingi english medium ya ada 3m per year vs kumsomesha kayumba na kumnunulia kiwanja cha 3m kila mwaka?

    habari wadau, naombeni majibu njia gani nzuri ambayo mtoto itamsaidia sana mbeleni. kati ya hizo option mbili, maana baba yake kipato changu kidogo hakiruhusu kufannya vyote kwa pamoja. hivyo kipi sahihi cha kufanya ambacho kitamsaidia mtoto na hata akiwa mtu mzima hatanilaumu baba yake ...
  13. KimChi

    JamiiForums Tanzania Nishati NAFUU ni ipi katika Biashara yangu

    Wana JF habari, Nina biashara yangu ya chips. Natumia mkaa kukaangia viazi na gas kuchomea chips, Nina mpango wa kununua gas deep fryer kwaajili ya kukaangia viazi. Swali ni je deep fryer ipi ni NAFUU kwa matumizi ya nishati yake(NB sio unafuu wa bei ya deep fryer) kati ya fryer ya umeme na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni ipi namna rahisi ya kulipia hizi AI apps online?

    Kuna baadhi ya apps humu mtandaoni pamoja na kwamba zinajitangaza kama ni free, la ajabu unapomaliza kuitumia na kuhitaji kui save au download wanakuletea mpango wa kulipia kwanza.Kinyume cha hapo kazi yote uliyoifanya unaipoteza.. Sasa ni njia zipi rahisi za kulipia maana nyingi ya hizo kama...
  15. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Movie/series ipi ni addictive ?

    Nina muda mwingi na sina pakuupeleka kwasasa, Naombeni list ya movie au series ambayo ni addictive kuitazama, Naomba kuwasilisha
  16. M

    JamiiForums Tanzania Alphard vs verifirre ninunue ipi kwa mtumizi ya familia ya watu 8

    Habar wakuu nampango wakununua gari kwa ajili ya familia maana Nina familia ya watu 8 na huwa tunasafiri mara kwa mara mwendo km150,Sasa nahitaji gari comfortable yaenye nanafasi ninunue ipi kati ya hizo
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Biblia ya kweli ni ipi? Injili ya Wagnostiki ina nafasi gani kwenye Ukristo?

    Biblia ya kweli na sahihi kwa Wakristo ni ipi ? Je imakamilika au inaweza kuongezea vitabu vingine kadri vitakavyogunduliwa ? Kati ya biblia zifuatazo ipi sahihi 1. Ethiopian Orthodox-vitabu 81. 2.Eastern Orthodox-vitabu 76. 3. Catholic -vitabu 73. 4. Protestant -vitabu 66. Ipi nafasi ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ni "Text To Voice" ipi ina kiswahili safi kilichonyooka?

    Nimejaribu text to sound tofauti tofauti ila nakutana na lafudhi za ajabu,hata kama wamekuandikia "Tanzanian Kiswahili". Kama kuna Mtu anafahamu yenye kiswahili safi anisaidie.
  19. papag

    JamiiForums Tanzania App ipi ya kuangalia live football?

    Habari wakuu? Nauliza ni App ipi ya free ninayo weza kuangalia mpira kwenye smart tv? natanguliza shukrani.
  20. GwajiBoy

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ipi nifanye

    Habari Mimi ni kijana wa miaka 25+ ninamtaji wa Tah 1M niko shinyanga mjini sasa naombeni ushauri wakuu, 1: Kufugua biashara ya duka la mangi mtaani. Kwa sababu ya ufinyu wa mtaji. Mzunguko mtaani ni mkubwa 2: Kufungua duka sokoni (kibanda kipo hakuna Kodi) ili niwe nachanganya baadhi ya...
Back
Top Bottom