Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Serikali haifanyi kazi kwa presha ya maneno ya watu, bali inatekeleza ahadi zake kwa wananchi, ikiwemo kuboresha sekta ya elimu nchini.
Makonda ameyasema hayo wakati akizindua Shule ya Msingi Butiriti, iliyopo Wilaya ya...