Binafsi sina chama cha siasa na sijawahi kuwa mshabiki wa chama chochote cha siasa katika maisha yangu yote.
Naomba niseme yafuatayo, kwanza sina chuki na kiongozi wowote wa aidha CCM au CHADEMA au chama chochote cha siasa.
Nimefuatilia ziara na ufanyaji kazi wa waziri wa Afya Dr. Dorothy...
Upepo unapeperusha mawingu kwa taratibu na huwezi kujua kama mawingu yanasafiri, kumbe ni dunia ndiyo inazinguka kwenye muhimili wake.
Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa vinasema Kyagulanyi alikubalika miongoni mwa wapiga kura vijana ambao ni 78% kulingana na watu wazima kwa asilimia...
Baba, Mama, na watoto wao wawili mapacha walioteketea kwa moto huko Kilimanjaro.
Hivi, katika mazingira ambako mabaki ya mtu aliyekufa hayawezi kupata huduma za mazishi zinazotolewa na dini za kigeni kama vile Ukristo, Uislamu, Uhindu, na Ubuda, utaratibu gani wa kisheria unapaswa kutumika...
Unapokuwa Mwanasiasa makini lazima uingie field ili uonje machungu ya kile unachoropoka mara kwa mara kuwa hakipo ili watu wajue kweli na wewe unapata machungu!
Mtu yupo Belgium anazungumza habari za wakulima wa Mtwara na Katavi kukopwa mazao yao,hii inaleta sense?
Unaposema mtakomaa ili...
Tangu kuchaguliwa kwa John Magufuli kuwa Rais wa Tanzania, msamiati wa "wananchi wanyonge" umeleta mjadala mkubwa sana kwenye medani za siasa hapa nchini. Rais Mwenyewe amekuwa kila mara akihanikiza kwamba yeye ni "Rais wa wanyonge"
Ni nani hao watanzania wanyonge ambao kila mwanasiasa wa...
Wamarekani wana hii kitu wanaita Miranda warning.
You have the right to remain silent. Anything you say can be used against you in court. You have the right to talk to a lawyer for advice before we ask you any questions. You have the right to have a lawyer with you during questioning. If you...
Wakuu,
Hili ni bandiko la mshangao na masikitiko kwa sauti za wafanyakazi kutoka sekta binafsi zimeiga seriklali kutoongeza mishahara kwa asilimia 6%-10% kwa zaidi ya miaka mitano sasa, lakini hata motisha ya jumla kwa mwaka kwa wafanyakazi imeondolewa bila maadalizi ya kisaikolojia kwa watenda...
Ni mwaka sasa tangu marehemu Omela Wangwe auwawe kwa kupigwa na Mwanajeshi ndani ya ofisi ya kata ya Kahama wilayani Ilemela.
Marehemu hakukamatwa kwenye tukio lolote, bali alipigiwa simu ili aje aeleze wapi alipata milango aliyokuwa anaiuza kama dalali na alikamatwa na watuhumiwa wanne na...
Walioweka mfumo wa Mihimili 3 yaani Serikali, Mahakama na Bunge hawakuwa wajinga, walijua wanafanya nini na walikuwa na nguvu za Umungu lkn bado waliona umuhimu wa kuwa na Mahakama na Sheria kwamba kila Binadamu ana haki ya kusikilizwa na ndo maana hata wauwaji wanafikishwa Mahakamani na...
Serikali imesema sheria inaruhusu hati ya kumiliki viwanja kuandikwa majina ya familia ikiwemo mume, mke pamoja na watoto hatua ambayo itasaidia kuondoa migogoro ya mirathi.
Akizungumza leo Jumamosi Desemba 19, mkoani Kilimanjaro. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliamu Lukuvi...
Nianze kwa kupongeza juhudi kubwa zinazofanywa na watumishi wote wa TANESCO nchini kote bila kuwasahau watumishi wanaotuhakikishia huduma hii ya umeme ipo kwa watumiaji muda mwingi KATIKA ENEO la Mbezi na viunga vyake vyote pokeeni pongezi hizi.
Naendelea kutambua na kuheshimu kazi inayofanyika...
Kwa nini Mkuu wa Mkoa, Wilaya au mtu yoyote yule apige viboko Mtanzania mwingine ? Nani anampa hiyo haki, kwa Sheria gani ? Waziri Kabudi tuokoe hapa kujua haki zetu, Mkuu wa Mkoa akinipiga kibogo niende wapi kushitaki ? Tafadhali Waziri Kabudi ongea na mshua, tunadhalilishwa sana na weusi...
Kusitisha ajira maana yake ni kumalizika kwa mahusiano ya kikazi baina ya mwajiri na mwajiriwa au mfanyakazi, kusitisha ajira kihalali, kuachisha kazi isivyo halali, kusitisha kazi kwa makubaliano, mwajiri kusitisha kazi, kuachishwa kazi, kuacha kazi, kustaafu, kuritaya, mwenendo mbaya wa kazi...
Kwa mujibu wa Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 kifungu cha 26 (1) inaeleza kuwa baada ya wazazi kutengana au kuachana (kwa kuzingatia masharti ya sheria ya ndoa) mtoto atakuwa na haki zifuatazo:-
(a) Kuendelea kupata elimu bora aliyokuwa akiipata kabla ya wazazi wake kutengana au talaka;
(b)...
Chadema kwa muda mrefu imesemwa sana kwa kushindwa kujenga majengo yake Kama ofisi kuanzia ofisi ya makao makuu, kanda, mkoa na hata majimbo ya uchaguzi na kata.
Nakubaliana na hoja kuwa ruzuku waliyo kuwa wanapokea kama chama isingeweza kujenga ofisi, kulipa mishahara ya wafanyakazi na kufanya...
Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu.
Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo...