huru

The Chronicle of Huru (Romanian: Cronica lui Huru) was a forged narrative, first published in 1856–1857; it claimed to be an official chronicle of the medieval Moldavian court and to shed light on Romanian presence in Moldavia from Roman Dacia and up to the 13th century, thus offering an explanation of problematic issues relating to the origin of the Romanians and Romanian history in the Dark Ages. Publicized and endorsed by the Romantic nationalist intellectuals Gheorghe Asachi (who edited the published version) and Ion Heliade Rădulescu, it was argued to have been the work of Paharnic Constantin Sion (or another member of his family) or that of Gheorghe Săulescu, Asachi's friend and lifelong collaborator.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mahakamani huru ya Tanzania isione huruma, aibu wala haya katika kuwahukumu wakiuka sheria na wasio itii katiba ya nchi.

    In fact, kwa kufanya hivyo uhuru, hadhi na heshima ya mahakama ya Tanzania dhidi ya wakiuka sheria na katiba ya nchi itakua juu, si tu ya wananchi, bali pia hata juu ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ambao wao kwa makusudi wamekosa adabu na utii kwa mamlaka na katiba ya nchi. Sheria na...
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Muda wa kuwa huru duniani, ni mchache sana kuliko muda wa miangaiko

    Sehemu kubwa ya maisha ya mwadamu yametawaliwa na maangaiko. mfano:- Kuanzia umri wa miaka 0-5 yupo huru Miaka 6-25 au zaidi yupo kwenye miangaiko ya shule Miaka 25-70 yupo anapambana na kazi ili apate mkate wa kila siku. Miaka 70-75 yupo huru Baada ya hapo ni kifo Kwa hiyo, muda wa kuwa huru...
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Dunia inafahamu ukweli kuhusu kesi ya Tundu Lissu, Lissu ameiambia Mahakama akipatikana na kesi anyongwe mpaka kufa asipopatikana na kesi aachiwe huru

    ‪Dunia inafahamu ukweli. Ndiyo maana Tundu Lissu anasema akipatikana na hatia, anyongwe hadi kufa. CCM wanasema adhabu siyo kunyongwa pekee‬ ‪Tundu Lissu anaeleza Mahakama kwamba adhabu ya uhaini ni kuachiwa huru au kunyongwa hadi kufa. CCM wanasema Mahakama iamue kwa hisia tu‬ ‪Anyways...
  4. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania Watu wanafanya Money Laundering nyie mnakazana na story za kuuza UTU, Migongo, Mara Kafara Pesa ziko nyingi sana mtaani na hawajui wapi pakuzipeleka

    Hakuna mtu atasponsor lifestyle ya gharama kubwa hivyo kwasababu ya sex ya namna yoyote, ila wanapenda mfikiri hivyo. Mjini hela iko nyingi sana na inaonekana wameirudisha baada ya kuona hakuna maandamano, kwa hiyo harakati zao zitakwenda fresh. Siwezi directly kusema inatokana na mitikasi ya...
  5. econonist

    JamiiForums Tanzania Tuache ubabaishaji, hakuna Adhabu mbadala kwenye kosa la uhaini Zaidi ya Kunyongwa au kuwa huru.

    Naona Kuna njama zinafanywa na jamhuri kutaka Lissu apewe adhabu nyingine ili kumdogosha Lissu. Kwa ushahidi wa Jamhuri na utetezi wa Lissu ni ukweli kwamba Mh Lissu hana hatia ya Uhaini. Hivyo wanajaribu kitafuta vikosa vidogo vidogo na adhabu za kumdhalilisha Lissu. Kwa mfano, wanataka wampe...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hizi Kesi zote tatu za Mauaji , Wakili Kibatala anashinda MAHAKAMA ya RUFANI dhidi ya Jamhuri

    Hizi Kesi zote tatu za Mauaji , Wakili Kibatala anashinda MAHAKAMA ya RUFANI dhidi ya Jamhuri. Dada wa Msuya akauliwa, J4 Akaua mfanyakazi wake akafungwa, Rufani akaachiwa. Super Sami aliuwawa, Wakafungwa na kuhukumiwa Kunyongwa, Leo Wameachiwa Kibatala yeye anachofanya, Anacheza na Mashimo...
  7. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Endapo ukijua hili basi utakuwa huru

    Huwa ni nawashangaa sana wanaokimbiza na kazi na mafanikio yasiyo na maana kwao. Mtu unasoma mpaka degree ili upate kazi uweze kuwa please jamii, ununue ki IST cha kuvimbia kitaa, yaani una chase status kisa unaona bila hicho hauna maana! No wonder watu wa narudia kufanya kazi zile zile na...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

    Je, watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa? Na je, wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa...
  9. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa Vs akiachiwa huru na mahakama?

    Watu wengi wanaongea kwa mihemuko, eti Lissu atafungwa ata miaka miwili then ataachiwa, sijui sheria wameisoma wapi. Hapa Kuna mawili akutwe na hatia , ahukumiwe kunyongwa hadi kufa au hasikutwe na hatia achiwe huru na mahakama. Kwa hizo scenarios kutatokea nini Lissu akikutwa na hatia na...
  10. Kigongoi kwetu

    JamiiForums Tanzania Waliofanya jaribio dhidi ya yake hawatapendwezwa awe huru.

    Katika mazingira ya kawaida maadui wake waliotaka kumtoa uhai hawafurahishwi huyu bwana kuendelea kuishi. Walitegemea wangemaliza historia yake lakini wakashindwa. Ukiacha maeneo mbalimbali ya kisheria aliyopitia na kushinda lakini ukweli unabaki wazi kwamba hawawezi kukubali awe huru kwa sababu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa na Warioba vs Kikwete ilishindikana kupata Tanganyika au Zanzibar huru. Je, kipindi cha Samia tutatoboa ?

    G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa, na Warioba vs Kikwete. Vipindi hivi vitatu vilitikisa mjadala kuhusu mustakabali wa Muungano, lakini hatimaye havikuzaa Tanganyika au Zanzibar huru. Leo tunajiuliza swali lilelile: Je, kipindi cha Samia Suluhu Hassan ndiyo tutatoboa? Je, tutafika kwenye...
  12. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Mahakama Haulindwi kwa Maneno, Bali kwa Muundo: Kwanini Kauli ya kikatiba kwamba "Mahakama ni huru", bila muundo bora ni Udhaifu mkubwa..?

    Karibu kila Katiba duniani inasema "Mahakama ni huru." Ni sentensi rahisi kuandika, lakini historia imeonyesha mara nyingi kwamba sentensi hiyo peke yake haitoshi. Uhuru wa kweli wa Mahakama haupimwi kwa maneno ya utangulizi, unapimwa kwa maswali magumu zaidi: nani anateua Majaji, kwa muda gani...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Taifa Bila Vyombo vya Habari Huru na Imara ni Taifa Mfu. Gazeti la MwanaHalisi Lisamehewe Kuandika Ukweli?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, ambapo nimeibua hoja 4 nikiuliza kama wajua kuwa Taifa lisilo la mhimili wa Nne ulio huru na imara ni kama taifa mfu kwasababu ile mihimili mitatu ya Serikali, Bunge na Mahakama, itakuwa huru kujivinjari na madudu ya kila aina...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari acheni kelele. Zanzibar sio dola huru. Pambaneni kuwe na serikali tatu.

    Zanzibar sio dola huru hii ni kwa mujibu wa Montevideo convetion of statehood Article one. Mtapiga kelele sana na hicho chama chenu cha wahafidhina wa Act Wazalendo lakini hamtafanikiwa.
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Nairobi wataka Besigye na Lissu kutoka gerezani na kuachiliwa huru

    Wanaharakati nchini Kenya wameongeza shinikizo la kutaka kuachiliwa kwa viongozi wa upinzani wa Uganda na Tanzania, Dkt. Kizza Besigye na Tundu Lissu, wanaoshikiliwa katika nchi zao kwa tuhuma zinazohusiana na uhaini. Katika maandamano yaliyofanyika Nairobi Alhamisi, Septemba 3, 2026...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kenya Waandamana Ubalozini kushinikiza Tundu Lissu aachiliwe huru

    Leo wanaharakati wa Kenya wameandamana Mpaka ubalozi wa Tanzania na Uganda nchini Kenya, wakizitaka mamlaka zimuachilie huru Tundu Lissu na Kizza Besige, wanaharakati hao wameipa masharti Serikali ya Kenya. Wanaharakati wa Kenya wamesema Kizza Besige alitekwa nchini Kenya akapelekwa Uganda na...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Nchimbi, yupo hai, mfu, huru, kizuizini au ughaibuni?

    Kihisitoria, Makamu wa rais wa kwanza kujiuzulu nchini alikuwa Aboud Jumbe. Alirubuniwa na wachoyo na walafi wa madaraka hasa vijana wakiongozwa na marehemu Seif Shariff Hamad ili wamuondoe wachukue ukanda wakaisha kuishi na kufa kwa upanga kama walivyoishi kwao. Nchimbi kaondolewa. Tunajua ni...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ukiona kiongozi ana mpambe/mtu/mlinzi nyuma yake, basi jua hayuko huru

    Nimetafakari juu ya ulinzi binafsi wa viongozi wetu, hasa wabkitaifa. Ukiona kiongonzi ana mpambe au mmlinzi au mtu yeyote nyuma yake, basi ujue hayuko huru. Huyo ni mateka wa system ambao iko chini ya Idara Kuu ya Usalama.. Hao wapambe au walinzi, si tu wako gado kumlinda kiongozi, lakini...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Vuguvugu la kudai Tanganyika huru linanukia?

    Harakati za Tanganyika kujitenga na Zanzibar zinasukumwa na malalamiko ya kisiasa na kiuchumi kuhusu muundo wa sasa wa Muungano wa serikali mbili. Wanaounga mkono vuguvugu hili wanahoji kuwa iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika imepoteza utambulisho wake wa kikatiba, jina, na nembo za taifa, tofauti...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Heko mahakama huru za Tanzania kwa kusikiliza mashauri, kuamua na kutoa haki kwa uwazi

    Hongera mawakili na wanasheria mbalimbali nchini, kwa weledi, umahiri na umakini katika kusikilizana kupeana fursa za kujieleza kisheria, kutafakari na hatimae kufikia hitimisho la mashauri mabalimbali pasina kuacha shaka na bila kupoteza wakati kwa pande zote husika. WaTanzania wote tuna imani...
Back
Top Bottom