tume huru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tathimini: Kwa huu mziki waliouwasha CHADEMA Leo huko Arusha kama kungekuwa na tume huru na Katiba mpya CCM wasingetoboa uchaguzi 2025

    Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 haikutungwa na wananchi. Ilitungwa na kamati maalumu ya wanaCCM hawakuzidi hata watu ishirini. Ndio maana inawafanya CCM kudhurumu uchaguzi na kukaa madaraknai kwa nguvu. Katiba inasababisha kuwa tume ya uchaguzi isiwe huru Leo...
  2. Ileje

    JamiiForums Tanzania Tume ya Samia ya Jaji Chande imefeli sasa Serikali iruhusu Tume Huru za Kimataifa

    Kama alivyojidai mwenyewe kuwa Tume ya Jaji Chande ni yake yeye Rais Samia na kwamba watu hawana haki ya kuihoji,sasa ni wakati muafaka wa kuruhusu kualika Tume Huru za Kimataifa kuja kufanya uchunguzi wa nini kilisababisha mauaji ya kimbari yaliyofanywa na polisi wakishirikiana na vyombo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tume ya Chade ni ya Rais na sio tume huru

    Tume ya Chade ni ya Rais na sio tume huru. Yaani anaweza kuamua chochote kuhusu hiyo tume anaweza kuamua kuiweka kwenye makabati na kufungia mandazi au kuchagua sentensi mbili za wapinzani wake au kujisafisha. Tunataka tume ya kitaifa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Bila kupatikana kwa katiba mpya ya wananchi tume huru ya uchaguzi Nchi haitakuja kutawalika tena

    Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kama wananchi tuendelee kuamini scripts za porojo na uzushi kuhusu Oct 29, 2025 au tusubiri matokeo ya tume huru ya uchunguzi?

    Licha ya kwamba inafahamika wazi kwamba, tayari kipo chombo mahususi cha kisheria kilichoundwa na mtukufu rais ili kuondoa utata na sintofahamu juu ya jambo hilo, na kuipa tume hiyo jukumu la kutafiti, kuchunguza na hatimae kubainisha ukweli au uzushi kuhusu kilichodaiwa kutokea baada ya...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi: Iundwe Tume huru ya kulichunguza Jeshi la Polisi

    Polisi makao makuu waliunda Kamati kuchunguza kutekwa kwa Mdude mpaka sasa kimyaa japo afisa wao alitajwa bayana. Mzee Kibao uchunguzi unaendelea, Soka na wenzake Mahakama ikaamuru Polisi wa chunguze hadi leo kimyaa labda bado wanaichunguza amri ya mahakama. Soka na wenzake uchunguzi...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya na tume huru ndio maridhiano ya kweli

    Je yakifanyika yale yale yaliofanya amani itoweke baada ya maridhiano, je maridhiano yatakuwa na maana? Maridhiano ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sio sinema
  8. M

    JamiiForums Tanzania Siku CCM ikiruhusu tume huru ya uchaguzi, CHADEMA itashinda kabla ya saa nne

    Siku tume huru ya uchaguzi ikipatikana ccm hawana chao tena nchi hii. Chadema ilikuwa inapendwa hata kabla ya haya mauaji ya halaiki ya watanganyika. Baada ya haya mauaji ya kikatiri nadhani ccm itapata kura ya wanu na abdul tu. Chadema watachukua kombe kabla ya saa nne asubuhi. Hakuna...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Angalia Tume HURU ya KUJICHUNGUZA

    TUMÉ HURU YA KUJICHUNGUZA......
  10. 888I

    JamiiForums Tanzania Tume ya Jaji Chande wanahitaji picha na video ili "wajue" kilichotokea Oktoba 29?

    Mambo vipi wana JF.,. Nimeona hii taarifa rasmi ya Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Oktoba 2025 – wanaomba wananchi wapeleke maoni, ushahidi, picha, video, maandishi na nyaraka zozote za matukio hayo kwa barua pepe: maoni@tume.uchunguzi.go.tz au WhatsApp/SMS. Sasa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hasa kinachofanya hizi tume ziitwe "Tume Huru"? Uhuru wake ni upi hasa?

    "Tume Huru ya uchaguzi imemaliza kazi yake siku chache tu zilizopita na matokeo yake tumeyaona. Sasa kumeundwa "Tume Huru" nyingine ya kuchunguza mambo ambayo kila mtu mwenye akili timamu anajuwa sababu zake na matukio yaliyo ambatana na sababu hizo. Kwa nini pawepo na matarajio tofauti na...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Duuh! Rais Samia leo kageuka msemaji wa tume huru

    Hii nchi haishiwi vituko, mgombea baada ya ushindi kageuka msemaji wa walio mtangaza
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samia awashukuru Tume ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Uchaguzi wa Uhuru na Uwazi

    *Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo. Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Wananchi Bunda wameandamana kupinga utekaji, kudai tume huru n.k

    Huko Bunda? Mkoani Mara; wananchi hawakuwa nyuma.
  15. A

    JamiiForums Tanzania CCM inazidi kupoteza Fursa ya Kujijenga Upya Kupitia Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    CCM wanaendelea kufanya makosa makubwa sana kisiasa. Huu ulikuwa muda wao sahihi kabisa wa kutengeneza katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kama wangefanya hivyo, wangejihakikishia nafasi ya kubaki kama chama kikuu nchini hata kama wangeondoka madarakani leo. Kwa mfano, kule Marekani, vyama...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tutenda pale bandarini kwa DP world wengine bungeni, wengine nendeni ikulu nendeni, wengine nendeni kwenye tume huru

    Tutaenda pale bandarini kwa DP world wengine bungeni, wengine nendeni ikulu nendeni, wengine nendeni kwenye tume huru kudai mabadiliko wanajifanya hawasikii. Sasa tuone watalinda wapi.
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa upinzani madhubuti wa Chadema na Tume Huru ya Uchaguzi. CCM inachukua mgombea yoyote hata asiye na ushawishi kwa wapiga kura.

    CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na...
  18. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Admin wa Tume Huru ya Taifa Uchaguzi amefanya kwa Makusudi au ndio ukweli? Chapisho lililopo kwenye tovuti lina makosa ya uandishi!

    Tume huru ya uchaguzi wametoa chapisho ambalo lina makosa ya kiuandishi jambo ambalo sio la kawaida kwa taasisi.. kwanza kabisa mwanzoni linasomeka hivi.... Tume Huru ya Taifa ya Uchafuizi imetangaza kuwa Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utafanyika Siku ya Jumatano ya tarehe 29 Oktoba, 2025...
  19. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watendaji wa Uchaguzi Mkuu wametakiwa kuitumia elimu baada ya kumaliza mafunzo yaliyoandaliwa na Tume Huru ya Taifa

    Watendaji wa Uchaguzi Mkuu wametakiwa kuitumia ipasavyo elimu waliyoipata katika mafunzo ya siku tatu yaliyoandaliwa na Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi ikiwalenga waratibu wa uchaguzi, wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchagyuzi ngazi ya jimbo. Rai hiyo imetolewa na mratibu wa...
Back
Top Bottom