kukamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari Tanzania watoa Tamko Juu ya Kukamatwa kwa Dkt. Conrad Agonza Kahyoza

    Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimepokea taarifa kuhusu tukio lililotokea tarehe 8 September 2026 katika eneo la Lugalako, Kinondoni, Dar es Salaam, linalomhusisha Dkt. Conrad Agonza Kahyoza ambaye ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili - Mloganzila na...
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

    Zama hiz nadra sana kusikia madawa ya kulevya yamekamafwa au gold smugglers wamekatwa airports. Watu wana bills za kulipa?
  3. lord atkin

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kukamatwa na kushitakiwa ni kuvikwa taji la dhahabu

    "Kwenye siasa za ukombozi siyo hizi za udalali, kukamatwa na kushitakiwa ni kuvikwa taji la dhahabu". Tundu Lissu akihutubia watia nia April 3, 2025
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Nimeambiwa CCM walisikitika mimi kukamatwa. Nashukuru wameonesha kazi na utu

    Madeleka: ‘Nimeambiwa CCM walisikitika mimi kukamatwa. Nashukuru wameonesha kazi na utu’ Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka ameyasema haya leo Agosti 18, 2026, wakati akiongea na vyombo vya habari baada ya kuachiliwa kwa dhamana kutoka Kituo Kikuu cha Polisi (Central) jijini Dar es Salaam...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi Wamemkamata Nabii Tito wakati 2018 walimuachilia kwamba ana matatizo ya akili?

    Kukamatwa kwa Nabii Tito ni Ishara tosha kwamba Polisi wanatumilka Kisiasa. Mwaka 2018 Polisi walimkamata Dodoma, Halafu wakampeleka Mirembe, kisha wakamuachia eti ana matatizo ya akili. Kipindi hicho alikuwa anaisifia CCM. Alipoanza kusema CCM na Samia ni wauaji wa Oktoba 29 mwaka 2025...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kudharau amri ya mahakama ni kosa dogo ambalo mtuhumiwa hapaswi kuhojiwa polisi. Kosa likifanyaki hakimu hutoa amri ya mkosaji kukamatwa na kuadhibiwa

    Utamhoji vipi mtu polisi kwa kosa kama hili ambalo kiuhalisia hufanyika kwenye viunga vya mahakama mbele ya jaji au hakimu. Hata kama ni nje ya mahakama Jaji au hakimu hutoa amri ya mkosaji kukamatwa na kisha kuhukumiwa.
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa, hoja za wapinzani hazijibiwi. Kilichobakia ni watu kutishiwa kukamatwa na kutekwa. Kwa namna hii hakuna maridhiano.

    Kuna upinzani ndani ya CCM na nje ya CCM. Nje ya CCM ni Chadema chini ya Lissu na Heche. Imeonekana haina habari za siasa za kitapeli za kulaghai wananchi. Ndani ya CCM kuna kundi kubwa la wanaCCM ambao hawaiungi mkono hii serikali ambayo hata wao wanasena hakuna uchaguzi uliofanyika Oktoba...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Tundu Lisu aachiwe huru kwa mujibu wa sheria, akamatwe tena na kufunguliwa mashtaka upya yenye ushahidi mpya uliothibishwa.

    Aachiwe huru mara moja na kisha akamatwe tena hapo hapo baada ya kesi kufunguliwa upya, ili hatimae ushahidi mpya utumike katika kumtia hatiani na apewa haki anayostahili kama watuhumiwa wa uhaini wengine duniani. Hii itasaidia sana kutokuingilia uhuru na maamuzi ya mahakama za Tanzania, lakini...
  9. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa muhadhiri wa UDOM, hakuwezi kuathiri autonomy za wakufunzi wetu?

    Umoja wa wanataaluma chuo kikuu cha Dodoma (UDOMASA) umetoa taarifa ya kukamatwa kwa mwanataaluma mwenzao kwasababu ya tuhuma za kuhamasisha maandamano tarehe 7/7/2026. Taarifa kutoka UDOMASA zinasema kuwa tarehe 3 Julai, 2026, Bw. Melkisedeki Kitunzi Kaijage alipokea wito kupitia mkuu wake wa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Aunguruma. Apiga Marufuku Na kutoa Maagizo ya Kukamatwa na kufuatiliwa viongozi Wanaojadili kuhusu Uchaguzi Wa 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Amepiga Marufuku Na kutoa Maagizo Mazito kwelikweli ya kufuatiliwa na kukamatwa wale Viongozi Wote Ambao wamekaa maofisini na kwenye makundi ya Wasapu wakifanya kazi ya kujadili kuhusu Uchaguzi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wakenya wamenyooka kama Rula. Maranga, Chief Justice (rtd) akamatwa kwenye maandamano

    Anapinga Nairobi National Park kumegwa kutengeneza car parking lot!
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Lissu aliyedaiwa kukamatwa amerejea akiwa na pingu; nini kilimtokea?

    Nasikia kwamba Msaidizi wa Lissu aliyedaiwa kukamatwa akiwa nyumbani kwake maeneo ya Bunju amerejea akiwa na pingu. Je, nani walikuwa wamemkamata ? Amefikaje nyumbani akiwa na Pingu? Pia soma:David Djumbe (Msaidizi wa Lissu) adaiwa kutekwa
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Obama akamatwa na CIA ,baada ya Trump kutoa agizo akamatwe kwa kosa la uhaini

    Kumekuwepo na chapisho linalosambazwa na baadhi ya watumiaji wa mtandao wa Facebook likidai kuwa aliyekuwa Rais wa 44 wa Marekani, Barack Obama, amekamatwa baada ya Rais wa sasa wa Marekani, Donald Trump, kutoa amri hiyo kufuatia kile kinachoendelea Mashariki ya Kati. Katika chapisho hilo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Stephen Wasira: Waliofanya Vurugu wapatikane na kukamatwa Ndipo Tufanye Maridhiano

    Ndugu zangu Watanzania, Soma hapa ujumbe wa Mheshimiwa Stephen Wasira Makamu Mwenyekiti wa CCM MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kabla ya kuanza kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa, ni vyema kuwabaini kuwachukulia hatua za kisheria kupitia...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Mzee akamatwa Kenya kwa kuoa mtoto, ajitetea na dini ya Kiislamu, asema ameona hata mtoto wa miaka tisa akiolewa

    Video: Lizee la hovyo la jamii ya Kisomali Kenya umri wa miaka 46 limekamatwa Kenya kwa kuoa katoto, kuhojiwa linasema dini ya kiislamu inaruhusu hata kuoa katoto ka umri wa miaka tisa. Majirani walitoa ripoti kwamba walikua wanaskia huyo mtoto akilia usiku, inasemekana mtoto alikua...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Raia wa Burundi akamatwa kwa kujifanya msaidizi wa Rais Samia

    Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limemkamata Gadiel Lameck Mtema (45) raia wa Burundi kwa tuhuma za kujifanya msaidizi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kitengo cha maombi ya ufadhili na udhamini na kufanya jaribio la kuwatapeli shilingi milioni 15 viongozi wa kanisa la EAGT Kidatu mkoani humo, kwa...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Kim Jong Un awasifia wanajeshi 'waliojilipua' kuepuka kukamatwa na Ukraine

    Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amewapongeza wanajeshi wa wa nchi hiyo waliojitoa uhai kwa kujilipua wakati wakiipigania Urusi dhidi ya Ukraine, na kuthibitisha sera inayoshukiwa kwa muda mrefu kwenye uwanja wa vita. Katika hotuba yake wiki hii, kiongozi huyo wa Korea Kaskazini alisema wale...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Akamatwa kwa kumuua mtoto wake wa miezi nane na kumtenganisha kichwa na kiwiliwili

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Salmin Rajab (29) fundi ujenzi, mkazi wa Sinoni Jijini Arusha kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake aitwaye Sahiri Salmin mwenye umri wa miezi nane, kwa kumchinja shingoni na kutenganisha kichwa na kiwiliwili. Akithibitisha kutokea kwa...
  19. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Askari aliyemkamata Rais wa Venezuela akamatwa kwa tuhuma za ku-bet

    Askari wa kikosi maalum cha Jeshi la Marekani, Gannon Ken Van Dyke, amekamatwa kwa tuhuma za kutumia taarifa za siri za kijeshi kujipatia fedha kupitia kamari. Kwa mujibu wa waendesha mashtaka wa Marekani, Van Dyke alikuwa sehemu ya operesheni ya siri iliyosababisha kukamatwa kwa aliyekuwa Rais...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Akamatwa kwa kujenga mahandaki sita bila kibali Mwanza

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Evance Ndeka Bisesagu (47), mfanyabiashara na mkazi wa Bupumula wilayani Ilemela kwa tuhuma za kuchimba mahandaki sita bila kufuata taratibu za kisheria. Mtuhumiwa huyo amekamatwa Aprili 22, 2026 kufuatia taarifa za wananchi kuhusu uwepo wa mahandaki...
Back
Top Bottom