penati

Filippo Luigi Penati (30 December 1952 – 9 October 2019) was an Italian politician. He was born in Monza. He was mayor of Sesto San Giovanni between 1994 and 2001, and president of the Province of Milan between 2004 and 2009. He died in Sesto San Giovanni, aged 66.

View More On Wikipedia.org
  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania KMC FC yadhulumiwa Penati: Sasa mechi zote tunataka refa toka nje ya nchi

    Katika mchezo wa KMC dhidi ya Yanga, Shedrack Boka alifanya faulu ya wazi na ni penalty lakini kwakuwa refa kwa sababu alizo nazo pekee na woga kwa mashbiki wa Yanga akaamua kufunika na kusababisha KMC kukosa pointi moja na imewaadhiri sana. Kuanzia msimu ujao tunaomba Mechi zote tutumie marefa...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa kina Kayoko na Arajiga ile isingekuwa penati; wana kanuni zao

    Mkenya ameona penati halali kabisa, soote tumeona hivyo. Mkenya kaweka tuta bila kujali ni dakika ya ngapi Ila hawa marefu wetu wakubemba wangepeta hiyo, kwa sababu kanuni zake za kipuuzi zinamwambia huwezi kuweka penati kuanzia dakika ya 80
  3. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaamini Brahim Diaz alijikosesha penati!!

    Kuna watu wa soka wanaamini Brahim Diaz aliamua kujikosesha makusudi ile penati ili kuwarudisha mchezoni Senegal na isionekane kama wamefanyiwa hujuma. Mimi nakataa, Diaz kakosa kiuhalisia kabisa. Golikipa Mendy sio mara yake ya kwanza kudaka penati ya panenka. Alishawahi kudaka penati ya...
  4. Chizi Maarifer

    JamiiForums Tanzania Nguvu iliyotumika kwenye tukio la penati ya Stars imeendana na tukio lenyewe

    Mpo kwenu dakika za majeruhi kwenye boksi mpinzani anataka kukufunga na kuzua taharuki sasa unategemea beki amuachie tu mpaka ashinde wakati yeye amepewa jukumu la ulinzi ? Je , unataka na refa akacheki kwenye VAR azue taharuki kwa wanaMoroko waliojaa uwanjani wangevamia ingekuwaje usalama...
  5. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikipenda huwa nakaba hadi penati hakuna kupumua

    Nilikua mahala kwenye SIKUKU zetu hizi, nikiwa na jamaa YANGU tunapiga stori, akanijuza changamoto zake za mahusiano. Changamoto kubwa ni kuhusu mpenzi wake kufahamiana na washikaji kibao akidai ni Wana TU wengine ni kaka zake, nothing else, Jamaa hicho kitu kinamkera sana mpaka wanagombana...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kenya yatupwa nje michuano ya CHAN 2024 na Madagascar kwa Mikwaju ya Penati 3-4

    Mchezo wa Robo fainali kati ya Kenya na Madagscar umemaliza kwa magoli 1-1 na sasa kinachosuburiwa ni muda wa ziada (Extra time) yaani dakika 30 za hatma baada ya hapo itakuwa mikwaju ya penalty endapo kama matokeo yatabaki yalivyo. Alphonce Omija 55' Fenohasina Razafimaro 69'
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nashauri kama itawezekana na itawapendeza Wahusika naomba leo Kipa awe Aishi Manula kwani naona upo uwezekano wa kwenda katika Penati

    Namkubali na Namheshimu Kipa anayedaka sasa, ila kwa Ujuzi wangu nina Mashaka nae tu hasa katika Penati zikitokea.
  8. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Penati ya mwisho kwenye maisha

    Huyu ni Cristian Ronaldo anakipaji ana ujuzi na uzoefu wa kupiga penalty. Ila linapokuja suala la kupiga penalty ya mwisho itakayo amua ushindi wa timu yake ya Taifa huonekana kujawa na hofu plus wasi wasi Huirudisha hali ya utulivu wa mwili na akili kabla hajaupiga mpira kwa kufanya hivi...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nasikia kuna mtu anafanya warm up nafikiri utakuwa mpango wa kuingiza wapiga penati

    Hakika kumekucha safari hii sio mchezo Sub zote zimeisha Ila tunaingiza wapiga penati ambao wako wanafanya warm up. Sasa tusiangushane.
  10. Inside10

    JamiiForums Tanzania Fadlu Davis Kocha Wa Simba: Refarii Asitunyime Penati

    Kocha mkuu wa Simba amezungumza kuelekea mchezo wa Dabi nakumesema.." Labda watacheza kwa ajili ya sare, labda wataamua kubaki nyuma na kucheza kuipata sare maana bila shaka wakipata sare watakuwa mabingwa, na sisi tunahitaji kucheza kushinda (ili tuwe mabingwa)... Hivyo utakuwa mchezo wa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kwa wasiokubali magoli ya penati pelekeni mapendekezo FIFA ziondolewe

    Labda kama wewe sio mjuzi wa Sheria za soka. Peneti ni moja ya adhabu zinazotolewa kwa mchezaji akimchezea vibaya mchezaji mwenzie ndani ya penati boxi. Kuna njia moja TU ya kuzuia penati,nayo ni kucheza kwa nidhamu dhidi ya adui Yako ndani ya penati boxi,lakini ukicheza vibaya adhabu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Asec wagomea penati hadi refa akaangalie kwenye VAR

    RS Berkane wamepata penati ya kijinga, Asec wamegoma katakata hadi refa akacheki kwenye VAR, hili ni fundisho kubwa kwetu kuelekea mechi na waafrika kusini
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa uchezaji mbovu wa Beki Baka (japo wana Yanga SC wanamsifia) ataisababishia Taifa Stars kufungwa sana Magoli ya Penati

    Ibrahim Baka ana Uchezaji wa Kizamani / wa Kishamba sana ambao ukiwa ni Mtu tu wa Mpira kama Mimi utamshangaa. ANGALIZO Tafadhali ukijijua kuwa humpendi GENTAMYCINE wala THREADS zake acha KUSHOBOKA kumsoma, bali wapishe Wengine.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Alieelewa sababu za penati ya Atletico Madrid kukaliwa anieleweshe

    Maajabu yametoka huko Madrid baada ya Madrid kupewa ushindi wa penati.
  15. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la Sheria Mpya upigaji Penati

    Colina Pierluigi moja ya marefa Bora katika Historia ya soka na Mwenyekiti wa marefa wote toka shirikisho la mpira duniani FIFA. Amenukuliwa akitoa pendekezo kuhusu upigaji mpya wa penati zitakazo patikana ndani ya dakika za mchezo kuwa Kama zile za Matuta Yani unapiga Mara moja ukikosa au...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC ikishinda Magoli ya Penati anachekwa iweje nao leo wanalilia kunyimwa Penati?

    Kufanya kosa si Kosa bali kurudia Kosa ndiyo Kosa. Kesho tukiwaacheni kwa Moko Alama sahauni kwani tayari tumeshajipanga hadi Ubingwa. Kudadadeki....!!!!!!!
  17. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Refa kutunyima Penati ya wazi: Wazee wa Simba watoe tamko.

    Kwanini refa ametunyima penati? Baada ya kipa kupata kadi mbili za njano ilibidi tupate penati ili kufidia dakika zetu. Yani alivyotoa kadi yapili ya njano angetenga mpira kwenye box, na azuie mtu yeyote kukaa golini ili mutale afunge tuongoze ligi. Kwa maamuzi haya ya leo ya refa wazee watoe...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

    Ni jioni ya leo saa 10:15 pale KMC Complex. Ubaya Ubwela
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

    Simba Sports wanashuka dimbani kwenye soku ya mkesha wa krisimasi kumenyana na maafande wa JKT katika dimba la KMC Je, Dozi ya goli 5 alizotoa Simba kwa Kagera ataendeleza kwa maafande? Mechi ni Saa 10:15 jioni kupitia Azam Sports 1HD Usikose uhondo huo
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Azizi Ki aliona jiwe akipiga penati

    Taarifa Rasmi ya Yanga kupitia msemaji wake. My Take Hivi huyu jamaa anawaonaje fans wa Yanga?
Back
Top Bottom